The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Lini? Nani? Alisema ivo?Sio Kwa akili yangu bali ndiyo nadharia ya Dunia Tufe inavyosema....yani kwamba Jua kuna time linakua chini ya miguu yetu na muda mwingine linakua juu ya vichwa vyetu....
Usipindishe hoja husika tuiweke kama ilivyo... akilini mwako inaingia?