Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Daah,..Sasa kama huwezi kusema point hii ndiyo kuna curvature,...huoni kama mdanganganya watu kuhusu "Ship visibility"??? Maana huwa mnasema humu kwamba Ship disappear over the earth's curvature., that means hapo Meli inapoanza kutumbukia towards the curve ndiyo Mkunjo unapoanzia
Curvature ni characteristics ya multiple points na sio point Moja, na ndio maana nikakwambia curvature inatokea after some distance Kwa maana Ili utengeneze curve you need multiple points connected Wala sio single point.

Fikria mwenyewe tu, how a single point can curve.
 
Okay,...wana assume non-rotating earth kwasababu wakiwaaminisha marubani kwamba Dunia ina rotate basi hata elimu ya Piloting itabidi ibadilike na ingewalazimu kusoma namna Dunia inavyo rotate ili kuhakikisha rubani anatua kwenye sehemu aliyokusudia bila kuwa affected na rotation of the earth.... umenipata.?
Bado Kuna ukakasi, Sasa kwann hata kwenye aviation Coriolis effect ipo?
 
Curvature ni characteristics ya multiple points na sio point Moja, na ndio maana nikakwambia curvature inatokea after some distance Kwa maana Ili utengeneze curve you need multiple points connected Wala sio single point.

Fikria mwenyewe tu, how a single point can curve.
So,... Ships disappears over what?
 
Kama unajua map projection nadhani utaelewa, google Map projection utaelewa
Dunia ni Tufe lenye pande ngapi?

NB:- Najua unajua jibu lake ila lengo la kukuuliza swali hilo ni ili ujue kwamba ulikosea pale uliposema Tufe halina sides.
 
Ndio Sina uhakika ya kuwa Kwa Sasa mida hii mwanga wa Jua upo opposite na tilipo exactly?
Kwa mujibu wa nadharia ya Dunia Tufe,...NI exactly lipo opposite na tulipo and that's why hatuoni mwanga wake.
 
"inapoanzia" means sio point Moja
Kwahiyo ni sahihi au sio sahihi,.... kusema at that point where ships starts to descend towards the curve ndiyo mwanzo wa curvature?

Swali langu rahisi halitaki maelezo mengi,.....just sahihi/ sio sahihi.
 
Back
Top Bottom