The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Ndio naamini Kwa zaidi ya 90%Unaamini Dunia ni Tufe ?
Na,. Je unaamini kuna two sides of Tufe?
Na Je unaamini kwamba ikiwa usiku upande mmoja wa Tufe that means Jua limetizamana na the opposite side of Tufe?
Kama majibu ya hayo maswali hapo juu ni "NDIYO "......Basi hutakiwi kubisha ninachokisema.
Pia nimeuliza kama designated flight path zipo curved ni kitu gani kina fanya wa assume flat earth & non-rotating?Nilikuuliza swali, unajua Curiolis effect?
Kwanini jambo kama hujui, unaita ni hadithi ?Ni Coriolis effect sio curiolis effect.....ni hadithi tu haina ukweli wowote.
Kwa sababu Gani, usije kuwa ww ndo unaleta maneno tu?Ni Coriolis effect sio curiolis effect.....ni hadithi tu haina ukweli wowote.
Sijaelewa ulitaka map Yao iwe inarotate au? Alafu utawezaje kuonyesha raman ambayo ni tufe? Ndio maana wakai project kwenye 2DPia nimeuliza kama designated flight path zipo curved ni kitu gani kina fanya wa assume flat earth & non-rotating?
Wewe ungekaa pembeni tu maana umekuja kumuabisha mwenzako hateeb10 humu.Gravity imevumbuliwa na Newton, uliza Newton alisema kitu gani kuhusu gravity, Einstein alovamia vumbuzi za watu tu japo naye ana zake.
Mpira una side mbili bhana,....labda kama kipofu huoni....au una shida mahala.Ndio naamini Kwa zaidi ya 90%
Hakuna two sides za tufe, Hata ukichukuwa mpira huwezi kunambia unaside mbili ni 3D,
Alafu nilikuuliza ukichukua mpira unambiae wapi Kuna curvature
Relax uelewe,..... nimekuuliza swali inapaswa ujibu sio unaniuliza tenaSijaelewa ulitaka map Yao iwe inarotate au? Alafu utawezaje kuonyesha raman ambayo ni tufe? Ndio maana wakai project kwenye 2D
Daaah kaka embu tuliza kichwa😀😪Mpira una side mbili bhana,....labda kama kipofu huoni....au una shida mahala.
Yaani nikichukua mpira kisha upande mmoja Niki umark "A" upande mwingine nikiumark "B"
Nikikuambia nionyeshe upande "B" utashindwa??????
Mpira ndiyo ukiuleta tunaweza kupima Mkunjo wake Kwa kutumia radius (kipenyo) yake.
Kwasababu Coriolis effect ingekuepo hata sisi na viumbe wengine tungeihisi,..haipo ni nadharia tu.Kwa sababu Gani, usije kuwa ww ndo unaleta maneno tu?
Wana assume kivipi? Embu elezea.Nimeuliza kwanini wana assume non rotating earth na flat.
Sasa ungehisi vipi wakat ww upo attached na Dunia or upo close na Dunia? Na unauhakika Gani ni uongo umethibitisha wapi ni uongo?Kwasababu Coriolis effect ingekuepo hata sisi na viumbe wengine tungeihisi,..haipo ni nadharia tu.
No,..ukisema hivyo that means unataka umaanishe kila umbo hata mstatili halina sides kwa kuwa unaweza ukalimark umbo husika to infinity.Daaah kaka embu tuliza kichwa😀😪
Sasa hapo huoni kama umechagua point mbili opposite😀 haimaniishi Kuna side mbili.
Sasa Kwa mfano kwenye huo huo mpira uliomark upande A na B, namm nikaonengezea point C na D zikawa opposite side to each other utasema unapande nne, na nikiongeza zaidi na zaidi utasemaje? Maana Kila point kwenye mpira Ina opposite side yake.
Kuhusu curvature kwenye mpira huwez Kunambia point hii ndio Kuna curvature never. Curvature inatokea after some distance.
Alafu vitu vikikushinda kuelezea unasema ni uongo😀, Kila mtu humu akianza kusema ni uongo, tutafika???Kwasababu Coriolis effect ingekuepo hata sisi na viumbe wengine tungeihisi,..haipo ni nadharia tu.
Kwahiyo unahisi Mimi nakudanganya?Wana assume kivipi? Embu elezea.
Kuhusu flat sio kweli wanaassume tufe, kama huamini jifunze kuhusu great circle route
Wewe ushawahi Ku experience Coriolis effect?Alafu vitu vikikushinda kuelezea unasema ni uongo😀, Kila mtu humu akianza kusema ni uongo, tutafika???
Mstatili unasides zinaoneka kabisa, ila tufe halina corner Wala edge, Lina infinity points na ndio maana wewe ukichukua mpira ukaonesha side mbili kama unachosema mwingne akija atakuonesha side mbili ila point tofaut na zako ulizosema, ila maumbo polygon kama mstatili hata wakiwa watu kumi wote wataonesha side zile zile.No,..ukisema hivyo that means unataka umaanishe kila umbo hata mstatili halina sides kwa kuwa unaweza ukalimark umbo husika to infinity.
Lini umewahi kushuhudia Coriolis effect..Sasa ungehisi vipi wakat ww upo attached na Dunia or upo close na Dunia? Na unauhakika Gani ni uongo umethibitisha wapi ni uongo?
Jua lipo upande gani wa Dunia mida hii kiasi ambacho Afrika Mashariki hatulioni?Mstatili unasides zinaoneka kabisa, ila tufe halina corner Wala edge, Lina infinity points na ndio maana wewe ukichukua mpira ukaonesha side mbili kama unachosema mwingne akija atakuonesha side mbili ila point tofaut na zako ulizosema, ila maumbo polygon kama mstatili hata wakiwa watu kumi wote wataonesha side zile zile.
Hata wewe mwenyewe umeelezea Kwa kutaka point na sio side😀
Dunia si ni Tufe?Mstatili unasides zinaoneka kabisa, ila tufe halina corner Wala edge, Lina infinity points na ndio maana wewe ukichukua mpira ukaonesha side mbili kama unachosema mwingne akija atakuonesha side mbili ila point tofaut na zako ulizosema, ila maumbo polygon kama mstatili hata wakiwa watu kumi wote wataonesha side zile zile.
Hata wewe mwenyewe umeelezea Kwa kutaka point na sio side😀