Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Unaamini Dunia ni Tufe ?

Na,. Je unaamini kuna two sides of Tufe?

Na Je unaamini kwamba ikiwa usiku upande mmoja wa Tufe that means Jua limetizamana na the opposite side of Tufe?

Kama majibu ya hayo maswali hapo juu ni "NDIYO "......Basi hutakiwi kubisha ninachokisema.
Ndio naamini Kwa zaidi ya 90%

Hakuna two sides za tufe, Hata ukichukuwa mpira huwezi kunambia unaside mbili ni 3D,

Alafu nilikuuliza ukichukua mpira unambiae wapi Kuna curvature
 
Pia nimeuliza kama designated flight path zipo curved ni kitu gani kina fanya wa assume flat earth & non-rotating?
Sijaelewa ulitaka map Yao iwe inarotate au? Alafu utawezaje kuonyesha raman ambayo ni tufe? Ndio maana wakai project kwenye 2D
 
Ndio naamini Kwa zaidi ya 90%

Hakuna two sides za tufe, Hata ukichukuwa mpira huwezi kunambia unaside mbili ni 3D,

Alafu nilikuuliza ukichukua mpira unambiae wapi Kuna curvature
Mpira una side mbili bhana,....labda kama kipofu huoni....au una shida mahala.

Yaani nikichukua mpira kisha upande mmoja Niki umark "A" upande mwingine nikiumark "B"

Nikikuambia nionyeshe upande "B" utashindwa??????

Mpira ndiyo ukiuleta tunaweza kupima Mkunjo wake Kwa kutumia radius (kipenyo) yake.
 
Sijaelewa ulitaka map Yao iwe inarotate au? Alafu utawezaje kuonyesha raman ambayo ni tufe? Ndio maana wakai project kwenye 2D
Relax uelewe,..... nimekuuliza swali inapaswa ujibu sio unaniuliza tena

Nimeuliza kwanini wana assume non rotating earth na flat.

Ramani haihusiani na rotation,....au unataka useme Kwa ajili ya ramani ndiyo maana Wana assume hivyo no,...Bali ndiyo uhalisia Dunia ipo flattened & stationary!
 
Mpira una side mbili bhana,....labda kama kipofu huoni....au una shida mahala.

Yaani nikichukua mpira kisha upande mmoja Niki umark "A" upande mwingine nikiumark "B"

Nikikuambia nionyeshe upande "B" utashindwa??????

Mpira ndiyo ukiuleta tunaweza kupima Mkunjo wake Kwa kutumia radius (kipenyo) yake.
Daaah kaka embu tuliza kichwa😀😪

Sasa hapo huoni kama umechagua point mbili opposite😀 haimaniishi Kuna side mbili.
Sasa Kwa mfano kwenye huo huo mpira uliomark upande A na B, namm nikaonengezea point C na D zikawa opposite side to each other utasema unapande nne, na nikiongeza zaidi na zaidi utasemaje? Maana Kila point kwenye mpira Ina opposite side yake.

Kuhusu curvature kwenye mpira huwez Kunambia point hii ndio Kuna curvature never. Curvature inatokea after some distance.
 
Kwasababu Coriolis effect ingekuepo hata sisi na viumbe wengine tungeihisi,..haipo ni nadharia tu.
Sasa ungehisi vipi wakat ww upo attached na Dunia or upo close na Dunia? Na unauhakika Gani ni uongo umethibitisha wapi ni uongo?
 
Daaah kaka embu tuliza kichwa😀😪

Sasa hapo huoni kama umechagua point mbili opposite😀 haimaniishi Kuna side mbili.
Sasa Kwa mfano kwenye huo huo mpira uliomark upande A na B, namm nikaonengezea point C na D zikawa opposite side to each other utasema unapande nne, na nikiongeza zaidi na zaidi utasemaje? Maana Kila point kwenye mpira Ina opposite side yake.

Kuhusu curvature kwenye mpira huwez Kunambia point hii ndio Kuna curvature never. Curvature inatokea after some distance.
No,..ukisema hivyo that means unataka umaanishe kila umbo hata mstatili halina sides kwa kuwa unaweza ukalimark umbo husika to infinity.

Daah,..Sasa kama huwezi kusema point hii ndiyo kuna curvature,...huoni kama mdanganganya watu kuhusu "Ship visibility"??? Maana huwa mnasema humu kwamba Ship disappear over the earth's curvature., that means hapo Meli inapoanza kutumbukia towards the curve ndiyo Mkunjo unapoanzia....

Kwa style hii mnakua mnajichanganya sasa..
 
Wana assume kivipi? Embu elezea.

Kuhusu flat sio kweli wanaassume tufe, kama huamini jifunze kuhusu great circle route
Kwahiyo unahisi Mimi nakudanganya?

Assumption ya Non-rotating earth na assumption kwamba Dunia ni flat zinatumika kwenye Piloting.....sijajitungia ndiyo uhalisia kapitie pitie huko utaona.

Okay,...wana assume non-rotating earth kwasababu wakiwaaminisha marubani kwamba Dunia ina rotate basi hata elimu ya Piloting itabidi ibadilike na ingewalazimu kusoma namna Dunia inavyo rotate ili kuhakikisha rubani anatua kwenye sehemu aliyokusudia bila kuwa affected na rotation of the earth.... umenipata.?
 
No,..ukisema hivyo that means unataka umaanishe kila umbo hata mstatili halina sides kwa kuwa unaweza ukalimark umbo husika to infinity.
Mstatili unasides zinaoneka kabisa, ila tufe halina corner Wala edge, Lina infinity points na ndio maana wewe ukichukua mpira ukaonesha side mbili kama unachosema mwingne akija atakuonesha side mbili ila point tofaut na zako ulizosema, ila maumbo polygon kama mstatili hata wakiwa watu kumi wote wataonesha side zile zile.

Hata wewe mwenyewe umeelezea Kwa kutaka point na sio side😀
 
Jua lipo upande gani wa Dunia mida hii kiasi ambacho Afrika Mashariki hatulioni?
 
Mstatili unasides zinaoneka kabisa, ila tufe halina corner Wala edge, Lina infinity points na ndio maana wewe ukichukua mpira ukaonesha side mbili kama unachosema mwingne akija atakuonesha side mbili ila point tofaut na zako ulizosema, ila maumbo polygon kama mstatili hata wakiwa watu kumi wote wataonesha side zile zile.

Hata wewe mwenyewe umeelezea Kwa kutaka point na sio side😀
Dunia si ni Tufe?

Na si unasema Tufe halina sides?

Okay,....nitajie pande Nne za Dunia
 
Back
Top Bottom