The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Curvature ni characteristics ya multiple points na sio point Moja, na ndio maana nikakwambia curvature inatokea after some distance Kwa maana Ili utengeneze curve you need multiple points connected Wala sio single point.Daah,..Sasa kama huwezi kusema point hii ndiyo kuna curvature,...huoni kama mdanganganya watu kuhusu "Ship visibility"??? Maana huwa mnasema humu kwamba Ship disappear over the earth's curvature., that means hapo Meli inapoanza kutumbukia towards the curve ndiyo Mkunjo unapoanzia
Bado Kuna ukakasi, Sasa kwann hata kwenye aviation Coriolis effect ipo?Okay,...wana assume non-rotating earth kwasababu wakiwaaminisha marubani kwamba Dunia ina rotate basi hata elimu ya Piloting itabidi ibadilike na ingewalazimu kusoma namna Dunia inavyo rotate ili kuhakikisha rubani anatua kwenye sehemu aliyokusudia bila kuwa affected na rotation of the earth.... umenipata.?
So,... Ships disappears over what?Curvature ni characteristics ya multiple points na sio point Moja, na ndio maana nikakwambia curvature inatokea after some distance Kwa maana Ili utengeneze curve you need multiple points connected Wala sio single point.
Fikria mwenyewe tu, how a single point can curve.
Sorry na delay kujibu,Lini umewahi kushuhudia Coriolis effect..
Inaweza kuwa Opposite face na sisi tilipo,Jua lipo upande gani wa Dunia mida hii kiasi ambacho Afrika Mashariki hatulioni?
Usiwaze kaka,..... namaanisha vyovyote vile ambavyo wewe ulijikuta kwenye situation ambayo ilikua influenced na Coriolis effects.Sorry na delay kujibu,
Unataka uexperience kivipi?
Kama unajua map projection nadhani utaelewa, google Map projection utaelewaDunia si ni Tufe?
Na si unasema Tufe halina sides?
Okay,....nitajie pande Nne za Dunia
CurvatureSo,... Ships disappears over what?
Unaposema "inaweza"......... Unamaanisha huna uhakika?Inaweza kuwa Opposite face na sisi tilipo,
Dunia ni Tufe lenye pande ngapi?Kama unajua map projection nadhani utaelewa, google Map projection utaelewa
Bado sijakupata, kwamba situation kama Gani? Sijawah?Usiwaze kaka,..... namaanisha vyovyote vile ambavyo wewe ulijikuta kwenye situation ambayo ilikua influenced na Coriolis effects.
So,...ni sahihi kusema at that point, curvature of the earth ndiyo inapoanzia mara baada ya Meli kusafiri in a straight line (flat path) Then inatumbukia towards the curve.?Curvature
Ndio Sina uhakika ya kuwa Kwa Sasa mida hii mwanga wa Jua upo opposite na tilipo exactly?Unaposema "inaweza"......... Unamaanisha huna uhakika?
Ushawahi kushuhudia Coriolis effects?Bado sijakupata, kwamba situation kama Gani? Sijawah?
"inapoanzia" means sio point MojaSo,...ni sahihi kusema at that point, curvature of the earth ndiyo inapoanzia mara baada ya Meli kusafiri in a straight line (flat path) Then inatumbukia towards the curve.?
Kwa mujibu wa nadharia ya Dunia Tufe,...NI exactly lipo opposite na tulipo and that's why hatuoni mwanga wake.Ndio Sina uhakika ya kuwa Kwa Sasa mida hii mwanga wa Jua upo opposite na tilipo exactly?
Ndio, kupitia weather patterns, ocean currents. Huwezi kuiona Wala kuifeelUshawahi kushuhudia Coriolis effects?
Mbona swali rahisi hilo?
Kwa muda huu? Sina uhakika ndio maana nikakujibu vileKwa mujibu wa nadharia ya Dunia Tufe,...NI exactly lipo opposite na tulipo and that's why hatuoni mwanga wake.
Kwahiyo ni sahihi au sio sahihi,.... kusema at that point where ships starts to descend towards the curve ndiyo mwanzo wa curvature?"inapoanzia" means sio point Moja
Kwahiyo hujawahi kuiona wala kuifeel?Ndio, kupitia weather patterns, ocean currents. Huwezi kuiona Wala kuifeel