Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Sawa tafakari zaidi kuhusu hilo...ili upate uhakika.
Yaani hujanielewa, nilimaanisha kuwa Jua lipo face nyingne ya Dunia tufe, ila sikuwa na uhakika ya kuwa ni exactly opposite na sisi tilipo.

So endelea kuuliza ulichotaka assume lipo opposite na tilipo. Go on.
 
Ndiyo lile swali nililouliza kwamba kwenye dunia Tufe means muda huu Jua lipo chini ya miguu yetu in terms of reference to....?
 
Ndiyo lile swali nililouliza kwamba kwenye dunia Tufe means muda huu Jua lipo chini ya miguu yetu in terms of reference to....?
Halipo chini ya miguu yetu, ila mwanga wa Jua upo upande wa pili wa face ya Dunia na tulipo
 
Sawa,... vizuri umekua mkweli ndiyo maana nikasema tokea mwanzo kwamba Mimi naona Coriolis effect ni nadharia tu Kwasababu hakuna aliyewahi kuhisi wala kuona effect yake.
But picha zipo zinaonesha hiyo effect
 
Sio sahihi kutumia picha kuonyesha Coriolis effect,... atleast video yaani picha ndiyo kabisa hazifai kutumika....
Kwann isifae? Ni sawa na upige picha unashake kichwa Ile picha haitaonekana vzr Kwa sabab ya deflection
 
Jua Kwa ukubwa wake ulee? Liwe chini ya kimguu chakoo?
Hujanielewa nadhani,... namaanisha chini yaani upande wa pili wa Dunia Tufe ambapo kimsingi ni sawa na kusema chini ya miguu yetu(Opposite side of the Tufe).... Umeliona hili Tufe πŸ‘‰πŸΌπŸŒ? Liangalie vizuri nadhani utanielewa namaanisha nini.
 
Kama unajua map projection nadhani utaelewa, google Map projection utaelewa
Hapa pafanyie kazi hateeb10 najua unataka nitaje east,north, south na west lakn hiyo ni map projection na ndio maana Kuna latitude na longitude halafu pia Kuna eastings na northings kama unajua mambo ya GIS utanielewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…