hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Sawa tafakari zaidi kuhusu hilo...ili upate uhakika.Kwa muda huu? Sina uhakika ndio maana nikakujibu vile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa tafakari zaidi kuhusu hilo...ili upate uhakika.Kwa muda huu? Sina uhakika ndio maana nikakujibu vile
Unahitaji eneo Kubwa zaidi kuweza kuona effect ya deflection kwenye duniaKwahiyo hujawahi kuiona wala kuifeel?
Yaani hujanielewa, nilimaanisha kuwa Jua lipo face nyingne ya Dunia tufe, ila sikuwa na uhakika ya kuwa ni exactly opposite na sisi tilipo.Sawa tafakari zaidi kuhusu hilo...ili upate uhakika.
So,... hujawahi kuona wala kuhisi Coriolis effect?Unahitaji eneo Kubwa zaidi kuweza kuona effect ya deflection
Sijawahi.So,... hujawahi kuona wala kuhisi Coriolis effect?
Ndiyo lile swali nililouliza kwamba kwenye dunia Tufe means muda huu Jua lipo chini ya miguu yetu in terms of reference to....?Yaani hujanielewa, nilimaanisha kuwa Jua lipo face nyingne ya Dunia tufe, ila sikuwa na uhakika ya kuwa ni exactly opposite na sisi tilipo.
So endelea kuuliza ulichotaka assume lipo opposite na tilipo. Go on.
HSo,... hujawahi kuona wala kuhisi Coriolis effect?
Halipo chini ya miguu yetu, ila mwanga wa Jua upo upande wa pili wa face ya Dunia na tulipoNdiyo lile swali nililouliza kwamba kwenye dunia Tufe means muda huu Jua lipo chini ya miguu yetu in terms of reference to....?
Sawa,... vizuri umekua mkweli ndiyo maana nikasema tokea mwanzo kwamba Mimi naona Coriolis effect ni nadharia tu Kwasababu hakuna aliyewahi kuhisi wala kuona effect yake.Sijawahi.
But picha zipo zinaonesha hiyo effectSawa,... vizuri umekua mkweli ndiyo maana nikasema tokea mwanzo kwamba Mimi naona Coriolis effect ni nadharia tu Kwasababu hakuna aliyewahi kuhisi wala kuona effect yake.
Jua haliwezi kuwa chini ya miguu yetu as per nadharia ya Dunia Tufe 👉🏼🌍?Halipo chini ya miguu yetu, ila mwanga wa Jua upo upande wa pili wa face ya Dunia na tulipo
Hiyo video probably ni CGI so sidhani kama ni sahihi kuitumia kwenye mjadala.
Jua Kwa ukubwa wake ulee? Liwe chini ya kimguu chakoo?Jua haliwezi kuwa chini ya miguu yetu as per nadharia ya Dunia Tufe 👉🏼🌍?
CGI kwann?Hiyo video probably ni CGI so sidhani kama ni sahihi kuitumia kwenye mjadala.
Sio sahihi kutumia picha kuonyesha Coriolis effect,... atleast video yaani picha ndiyo kabisa hazifai kutumika....But picha zipo zinaonesha hiyo effect
Probably means not 100% sureHiyo video probably ni CGI so sidhani kama ni sahihi kuitumia kwenye mjadala.
Kwann isifae? Ni sawa na upige picha unashake kichwa Ile picha haitaonekana vzr Kwa sabab ya deflectionSio sahihi kutumia picha kuonyesha Coriolis effect,... atleast video yaani picha ndiyo kabisa hazifai kutumika....
Hujanielewa nadhani,... namaanisha chini yaani upande wa pili wa Dunia Tufe ambapo kimsingi ni sawa na kusema chini ya miguu yetu(Opposite side of the Tufe).... Umeliona hili Tufe 👉🏼🌍? Liangalie vizuri nadhani utanielewa namaanisha nini.Jua Kwa ukubwa wake ulee? Liwe chini ya kimguu chakoo?
Nimesema probably ili usije ukajikatia tamaa na video yako hiyo.....Probably means not 100% sure
Hapa pafanyie kazi hateeb10 najua unataka nitaje east,north, south na west lakn hiyo ni map projection na ndio maana Kuna latitude na longitude halafu pia Kuna eastings na northings kama unajua mambo ya GIS utanielewa.Kama unajua map projection nadhani utaelewa, google Map projection utaelewa