Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
So,.. unataka kusema hizo water bodies zina appear Kwa shape gani?, Je, hazipo level?
Zina appear kama vitu vingine vyote vinavyoappear duniani.
Mwisho wa Dunia ni wapi?
Mwisho wa dunia si ni kule kwenye Ice walls? sijui kwanini kusingekua na kuta za miti, labla ni kwa kua maji yangetoroka.
The same way huwezi kuona mwisho wa anga la Dunia au universe Kwa ujumla wake,.. ndiyo hivyo hata mwisho wa Dunia huwezi kuuona pia.
Naona vya kutosha, mfano mwepesi ni space station iliyo km 400 kutokea duniani, lakini taa za Zanzibar zilizopo approx 60 km kutokea kwenye pwani ya dar hazionekani.
 
Mwisho wa dunia si ni kule kwenye Ice walls? sijui kwanini kusingekua na kuta za miti, labla ni kwa kua maji yangetoroka.
Nani kakuambia mwisho wa Dunia ni huko kwenye ice walls?
Naona vya kutosha, mfano mwepesi ni space station iliyo km 400 kutokea duniani, lakini taa za Zanzibar zilizopo approx 60 km kutokea kwenye pwani ya dar hazionekani.
Sawa,kama unaona vya kutosha,.... unaweza kututajia object uliyoshuhudia Kwa macho yako yoyote iliyopo billion miles in the sky.?
 
Fact is fact, red is red, kuku ni kuku, round earth ni round earth haijalishi macho yako yanaona nini wala akili yako ipoje

Who cares unaamini nini? Hatuongelei IMANI hapa wewe amini unachoamini
Mimi naongelea FACT

Kama akili yako unaamini Red ni yellow hiyo ni imani yako wala haiwezi kubalisha fact kwamba red ni red
 
Hahh huongelei Imani hapa,.wakati huo huo wewe ni muumini wa Dunia Tufe linalozunguka?!

Inashangaza.
 
Nani kakuambia mwisho wa Dunia ni huko kwenye ice walls?

Sawa,kama unaona vya kutosha,.... unaweza kututajia object uliyoshuhudia Kwa macho yako yoyote iliyopo billion miles in the sky.?
Dah, wewe vya kilomita 60 tu huvioni alafu unataka tuongelee vya billion miles kweli?
 
Dah, wewe vya kilomita 60 tu huvioni alafu unataka tuongelee vya billion miles kweli?
Mwanzo ulisema unaweza kuona mpaka space station iliyopo km 400 kutokea Duniani.....

Au sio wewe uliyedai hivyo?

NB:- Macho yana limitation ya kuona, limitation ambayo inatokana na factors mbalimbali ikiwemo distance, obstacles na kadhalika.
 
Uthibitisho upo shahiri lakini wewe huutaki

Ndio maana nikakwambia tatizo ni AKILI yako
No., Tatizo sio akili yangu.

Tatizo huna uthibitisho.

Kwa mfano hakuna Mtu wala taasisi yoyote Ile iliyowahi kuthibitisha kama dunia inazunguka,....sasa wewe huo uthibitisho utautolea wapi ikiwa hata hao unaowaaamini pia hawana uthibitisho?

Think critically.
 
Wewe unahitaji ushahidi wa namna gani ?
Namaanisha kama ni kuzunguka kwa Dunia unataka ushahidi uwe kwa mtindo upi ?
 
Kwahiyo unakubali dunia ni tufe 🌎 Ili sasa upewe ushahidi linavyozunguka?

Kwasababu huwezi kwenda hatua ya pili kabla ya kumaliza ya kwanza

Hapa tunajadili umbo la dunia
 
Ndo unachoweza, πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Ushashiba biryani unaanza fujo kaka,...πŸ™ŒπŸΌ

Bado hujathibitisha kama Dunia ni Tufe linalozunguka....

Kuhusu Gravity,. Einstein alishahitimisha decades ago.
 
We vipi? Nimekwambia nipe elimu unasema hatukubaliani ndo nini sasa? Huwezi kuelezea? Au hujui unachoongea? Sasa kwann ulijinadi unaelimu?

Halafu unasema uniache na swali la nn mm ikiwa wewe hujibu maswali, huleti hiyo elimu yako unayosema unayo, unamatatizo sana wewe.
 
Sasa wewe kilaza nimekuuliza unahisi hatujasoma kuhusu hiyo elimu yako unayojinadi ambayo huwezi kuielezea humu huwezi kuijibia maswali humu? Kweli ww ni mpuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…