Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Jamaa shule ndogo halafu mbishi, anakwambia jua kuonekana linachomoza na kuzama ni illusion tu ya macho😀
 
Kwa hiyo umeelewa somo kwamba kinachofanya parachute lishuke chini taratibu ni air resistance. Kwamba air resistance ipo Kila upande ambao object itaenda still itakutana tu na air resistance.
Safi kijana
Sasa nani asiyejua kuhusu parachute?

Nimekuelezea cases tofauti Kati ya parachute na Jiwe na jinsi air resistance inavyo affect object hizo mbili.....sasa kama bado hujaelewa sina namna ya kukusaidia.
 
Uongo.
 
Jamaa shule ndogo halafu mbishi, anakwambia jua kuonekana linachomoza na kuzama ni illusion tu ya macho😀
Hahh eti Shule ndogo,.....sawa tufanye ni kweli basi kwamba Jua ambalo huwa mnasema lipo 93 Million miles huwa linazama na kuchomoza kila siku. 🤝🏼
 
Flat earthers wajinga kweli Hadi Leo hamjanijibu
 
Inafikia point watu wanadevelop model kama hii ambayo inapredit night sky alafu watu wanaendelea kuuliza shape ya dunia.


Huu sasa ni ukichaa
 
Kwa mawazo na akili hizi, HAKUNA mtu wa flat Earth atakayeweza kuja kuleta mapinduzi kwenye maswala yanayohusu anga milele.
Conspiracy theories make IGNORANT people feel smart and relevant
 
Watu wanatakiwa wajifunze jinsi ya kufanya analysis......

Watu wengi wanaangukia kuchambua "effects" badala ya "causes"

A rational Individual should think about "WHY"........Kwa mfano jiulize Kwanini kuna uwepo wa watu wanaopinga nadharia ya Dunia Tufe linalozunguka? Ni zipi sababu za msingi za watu hao?

Hilo hapo juu ndiyo jambo la msingi la kufanya na sio kuwaita watu wajinga wakati actually huna hoja za kujibu maswali yao.....
 
Ni zipi sababu za msingi za watu hao?
Aaaah, seeking for attention?
Mkuu hakuna model yoyote ya flat earth inayoweza elezea movement ya vitu angani bila kuwa na mapungufu, hawa wanaosema dunia ni tufe wanakila sababu za kukasirika na kutoa majina ya kejeli kwa flat earther.
Kwa lugha rahisi, knowledge ya flat earth hamna msaada wowote kwa dunia ya sasa zaidi ya kuwafanya watu wawekeze muda wao kwenye vitu ambavyo vilishafanyiwakazi na mababu zao zaidi miaka 2000 iliyopita.
 
Kwahiyo unataka useme Globe earth model hazina mapungufu yoyote?

Then,. Sidhani kama una uthibitisho wowote kwamba Dunia ni Tufe linalozunguka unadhania Tu ndiyo maana watu wanapata room ya kukupinga wewe na wenzako...

Then, naomba nikuulize swali,....hivi unadhani maswali ya flat earthers hayana logic yoyote?! Ikiwa jibu ni "yes" niruhusu nikuulize swali moja Tu.
 
Ingekuwa ina mapungufu isingetumika kutengeneza computer applications zinazoweza kupredict movement ya vitu angani.

Hiyo hapo juu ni moja wapo.

Mimi nachofikiri nadharia nzima ya dunia sahani ni useless kwa sababu hanipi chochote ambacho ni useful, itakapopatikana model inayofanyakazi hapo ndipo nitapobadili mtazamo wangu.

Sio rahisi kusema maswali ya mtu hayanalogic, ila yakiwa yanauliza kitu ambacho alishaelezewa hapo maswali hayo yanakosa logic.
 
Sasa una hoja gani?.....mpaka Leo umeshindwa kuthibitisha kama dunia ni Tufe linalozunguka....

Unaleta hadithi tu au hadithi ndiyo hoja?
Wewe umepinga Kwa hoja Gani zilizokosa majibu? Yaani unanitaka nikuthibitishie kivipi wakat ndio uhalisia uliopo? Wewe unaekataa kitu kilichopo ndio utoe hoja za kupinga zilizokosa majibu.

BTW kama kukuthibitishia nimeshamaliza ila unachoweza ww ni kusoma tu UONGO,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…