Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Jamaa ana akili ndogo sana, yaani yeye anajua kuwa air resistance Ina act opposite na motion ya objects, na Wala haifanyi kitu kimove Bali Ina slow motion ya kitu.

Sasa yeye anakwambia ukirusha kitu kitaslow down speed (which is true) mpk itafikia speed 0, then hiyo object itaanza kufall down due to air resistance (which is not true, air resistance haisababishi motion Bali Ina slow down au kustop kabisa motion ni kama tu brake za gari hata ukipiga brake kiasi Gani haiwezi kufanya gari ianze kurudi nyuma)

Then wakati hiyo object ikiwa inafall down ukimwambia Bado air resistance it's act ku oppose motion anakataa kuwa air Resistance haiwezi kufanya ivo tena 😀😀 Sasa sijui yeye Air Resistance anaielewaje😀😀. Embu naww mueleweshe huyu kilaza.
Jamaa shule ndogo halafu mbishi, anakwambia jua kuonekana linachomoza na kuzama ni illusion tu ya macho😀
 
Kwa hiyo umeelewa somo kwamba kinachofanya parachute lishuke chini taratibu ni air resistance. Kwamba air resistance ipo Kila upande ambao object itaenda still itakutana tu na air resistance.
Safi kijana
Sasa nani asiyejua kuhusu parachute?

Nimekuelezea cases tofauti Kati ya parachute na Jiwe na jinsi air resistance inavyo affect object hizo mbili.....sasa kama bado hujaelewa sina namna ya kukusaidia.
 
Jamaa ana akili ndogo sana, yaani yeye anajua kuwa air resistance Ina act opposite na motion ya objects, na Wala haifanyi kitu kimove Bali Ina slow motion ya kitu.

Sasa yeye anakwambia ukirusha kitu kitaslow down speed (which is true) mpk itafikia speed 0, then hiyo object itaanza kufall down due to air resistance (which is not true, air resistance haisababishi motion Bali Ina slow down au kustop kabisa motion ni kama tu brake za gari hata ukipiga brake kiasi Gani haiwezi kufanya gari ianze kurudi nyuma)

Then wakati hiyo object ikiwa inafall down ukimwambia Bado air resistance it's act ku oppose motion anakataa kuwa air Resistance haiwezi kufanya ivo tena 😀😀 Sasa sijui yeye Air Resistance anaielewaje😀😀. Embu naww mueleweshe huyu kilaza.
Uongo.
 
Jamaa shule ndogo halafu mbishi, anakwambia jua kuonekana linachomoza na kuzama ni illusion tu ya macho😀
Hahh eti Shule ndogo,.....sawa tufanye ni kweli basi kwamba Jua ambalo huwa mnasema lipo 93 Million miles huwa linazama na kuchomoza kila siku. 🤝🏼
 
Logic Logic Logic...........

Screenshot_20240508-201659.png
 
Naomba majibu mkuu..
Kwanini position ya kuzama na kuchomoza kwa jua inabadilika?
Kwanini majira ya kuzama na kuchomoza kwa jua yanabadilika?
Una picha za miishio ( edges) za Dunia? Naziomba tuma hapa, na baada ya miishio hiyo kuna Nini?

Addition: ijumaa iliyopita China walirusha roketi live kwenye media kwa wakafika point astronauts peni zao zilikuwa zinaelea tu hewani kwanini?
Flat earthers wajinga kweli Hadi Leo hamjanijibu
 
Inafikia point watu wanadevelop model kama hii ambayo inapredit night sky alafu watu wanaendelea kuuliza shape ya dunia.
1715413384928.png

Huu sasa ni ukichaa
 
Kwa mawazo na akili hizi, HAKUNA mtu wa flat Earth atakayeweza kuja kuleta mapinduzi kwenye maswala yanayohusu anga milele.
Conspiracy theories make IGNORANT people feel smart and relevant
 
Watu wanatakiwa wajifunze jinsi ya kufanya analysis......

Watu wengi wanaangukia kuchambua "effects" badala ya "causes"

A rational Individual should think about "WHY"........Kwa mfano jiulize Kwanini kuna uwepo wa watu wanaopinga nadharia ya Dunia Tufe linalozunguka? Ni zipi sababu za msingi za watu hao?

Hilo hapo juu ndiyo jambo la msingi la kufanya na sio kuwaita watu wajinga wakati actually huna hoja za kujibu maswali yao.....
 
Ni zipi sababu za msingi za watu hao?
Aaaah, seeking for attention?
Mkuu hakuna model yoyote ya flat earth inayoweza elezea movement ya vitu angani bila kuwa na mapungufu, hawa wanaosema dunia ni tufe wanakila sababu za kukasirika na kutoa majina ya kejeli kwa flat earther.
Kwa lugha rahisi, knowledge ya flat earth hamna msaada wowote kwa dunia ya sasa zaidi ya kuwafanya watu wawekeze muda wao kwenye vitu ambavyo vilishafanyiwakazi na mababu zao zaidi miaka 2000 iliyopita.
 
Kwahiyo unataka useme Globe earth model hazina mapungufu yoyote?

Then,. Sidhani kama una uthibitisho wowote kwamba Dunia ni Tufe linalozunguka unadhania Tu ndiyo maana watu wanapata room ya kukupinga wewe na wenzako...

Then, naomba nikuulize swali,....hivi unadhani maswali ya flat earthers hayana logic yoyote?! Ikiwa jibu ni "yes" niruhusu nikuulize swali moja Tu.
 
Ingekuwa ina mapungufu isingetumika kutengeneza computer applications zinazoweza kupredict movement ya vitu angani.

Hiyo hapo juu ni moja wapo.

Mimi nachofikiri nadharia nzima ya dunia sahani ni useless kwa sababu hanipi chochote ambacho ni useful, itakapopatikana model inayofanyakazi hapo ndipo nitapobadili mtazamo wangu.

Sio rahisi kusema maswali ya mtu hayanalogic, ila yakiwa yanauliza kitu ambacho alishaelezewa hapo maswali hayo yanakosa logic.
 
Sasa una hoja gani?.....mpaka Leo umeshindwa kuthibitisha kama dunia ni Tufe linalozunguka....

Unaleta hadithi tu au hadithi ndiyo hoja?
Wewe umepinga Kwa hoja Gani zilizokosa majibu? Yaani unanitaka nikuthibitishie kivipi wakat ndio uhalisia uliopo? Wewe unaekataa kitu kilichopo ndio utoe hoja za kupinga zilizokosa majibu.

BTW kama kukuthibitishia nimeshamaliza ila unachoweza ww ni kusoma tu UONGO,
 
Back
Top Bottom