Chosen Rich
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 1,467
- 989
mpira hauna UKOMONinaposema kwamba kwenye baadhi ya nadharia,..watu wanakua brainwashed & indoctrinated ni kama hivi yani,.....Mtu unaweza kufikia hatua ya kuamini kwamba Mpira kama huu 👉🏼⚽ Hauna ukomo, yaani unaamini kabisa kwamba huwezi kujua ukomo wa mpira.....
Sasa cha kufanya think on your own,...kisha jiulize je mpira una ukomo au hauna... Hapo utapata majibu sahihi..
Ukomo wa Mpira huu hapa.....👇🏼Haiwezi tokea, Nlikua naweka mambo sawa
Ukinionyesha ukomo wa mpira,, Umemaliza mjadala wote
HahahaahahahahahaUkomo wa Mpira huu hapa.....👇🏼
⏬
▶️⚽▶️
⏫
Nadhani hapo itakufanya uelewe,..eti Mpira hauna ukomo,.. dah!
Knock out...chaliHahahaahahahahaha
Nikueleze jambo ??? Mpira hauna ukomo na haiwezekani hahahahahaJapo hiyo mishale hakai vizuri ....ila naamini umeelewa nini namaanisha.
Dunia tufe haina ukomo, Ila tunaweka mistari ya kubuni ( Imagination by marking point )Knock out...chali
hivi unaelewa kweli unaposema kitu hakina ukomo?,... Dunia tufe ina ukomo 👉🏼🌍
Nitaweza kufanya hivyo,... kwanini nishindwe?Nikueleze jambo ??? Mpira hauna ukomo na haiwezekani hahahahaha
Ulichokifanya wewe ni kuniletea imagination,, Tukikutana nikakwambia point na kidole ni wapi mwisho wa mpira kamwe hautoweza kufanya hivyo
unaelewa maana ya ukomo?Dunia tufe haina ukomo, Ila tunaweka mistari ya kubuni ( Imagination by marking point )
Unaweza kupoint ukomo wa mpira kwa kidole chako ukanionyesha mwisho ndio hapa ?Nitaweza kufanya hivyo,... kwanini nishindwe?
hujui nini maana ya ukomo wa kitu ndiyo maana unaongea vitu visivyoingia akilini.
Ndiyo kwanini nishindwe?Unaweza kupoint ukomo wa mpira kwa kidole chako ukanionyesha mwisho ndio hapa ?
Mpira hauna mwanzo wala mwisho, vivyo hivyo Dunia.Ndiyo kwanini nishindwe?
Nitatumia sekunde tu kufanya hivyo,... unless hujui nini maana ya ukomo wa kitu.
bado hujajibu swali.... Chosen Richunaelewa maana ya ukomo?
Jua lina ukomo? au limejaa ulimwengu mzima?
Ndiyo kwanini nishindwe?
Nitatumia sekunde tu kufanya hivyo,... unless hujui nini maana ya ukomo wa kitu.
Kama ina mwisho maana yake ina pande, Does a circle have sides ?bado hujajibu swali.... Chosen Rich
Ukomo ni nini?Kama ina mwisho maana yake ina pande, Does a circle have sides ?
bado hujajibu swali.... Chosen Rich
Jua halijajaa ulimwengu mzima,bado hujajibu swali.... Chosen Rich
Jua halijajaa ulimwengu mzima,
Kutoka google;Ukomo ni nini?
Dunia ina ukubwa gani?
Je, kitu chenye ukubwa fulani, unaweza kusema hakina ukomo?
Hapa unataka kuchanganya jambo,Kwanini halijajaa....?
kwahiyo lina ukomo?
Au unataka kusema ukomo unaanza baada ya ile occupied space ? nmekuongezea point ya kutetea hoja yakoKwanini halijajaa....?
kwahiyo lina ukomo?