Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Ninaposema kwamba kwenye baadhi ya nadharia,..watu wanakua brainwashed & indoctrinated ni kama hivi yani,.....Mtu unaweza kufikia hatua ya kuamini kwamba Mpira kama huu 👉🏼⚽ Hauna ukomo, yaani unaamini kabisa kwamba huwezi kujua ukomo wa mpira.....

Sasa cha kufanya think on your own,...kisha jiulize je mpira una ukomo au hauna... Hapo utapata majibu sahihi..
mpira hauna UKOMO
 
Haiwezi tokea, Nlikua naweka mambo sawa

Ukinionyesha ukomo wa mpira,, Umemaliza mjadala wote
Ukomo wa Mpira huu hapa.....👇🏼

▶️⚽▶️

Nadhani hapo itakufanya uelewe,..eti Mpira hauna ukomo,.. dah!
 
Japo hiyo mishale hakai vizuri ....ila naamini umeelewa nini namaanisha.
 
Japo hiyo mishale hakai vizuri ....ila naamini umeelewa nini namaanisha.
Nikueleze jambo ??? Mpira hauna ukomo na haiwezekani hahahahaha

Ulichokifanya wewe ni kuniletea imagination,, Tukikutana nikakwambia point na kidole ni wapi mwisho wa mpira kamwe hautoweza kufanya hivyo
 
Nitaweza kufanya hivyo,... kwanini nishindwe?

hujui nini maana ya ukomo wa kitu ndiyo maana unaongea vitu visivyoingia akilini.
 
Nitaweza kufanya hivyo,... kwanini nishindwe?

hujui nini maana ya ukomo wa kitu ndiyo maana unaongea vitu visivyoingia akilini.
Unaweza kupoint ukomo wa mpira kwa kidole chako ukanionyesha mwisho ndio hapa ?
 
Ukomo ni nini?

Dunia ina ukubwa gani?

Je, kitu chenye ukubwa fulani, unaweza kusema hakina ukomo?
Kutoka google;

The distance between the north and south poles is approximately 7900 miles while the equatorial diameter is slightly larger at 7930 miles
 
Back
Top Bottom