Hilo ndiyo tufe lilivyo sasa.....najua haingii akilini lakina haina jinsi itabidi ukubaliane na kile unachokiamini.Sina haja ya kutoa maelezo, Kama una akili timamu nadhani ukirudi kuiangalia upya hiyo picha utapata majibu
Haipo hivyo,Hilo ndiyo tufe lilivyo sasa.....najua haingii akilini lakina haina jinsi itabidi ukubaliane na kile unachokiamini.
Bado mjadala unaendelea !!??Dunia ingekua Tufe....basi mambo yangekua hivi.......👇🏼
View attachment 2990772
Hapana sio ya kwangu...kwani tufe hilo na hili 🌍kuna tofauti gani?Haipo hivyo,
Hiyo hapo ni ya kwako.
Wewe mtaalamu wa dunia tufe ndiyo inabidi utuambie hayo maji yanayofall yanakwenda wapi..?Bado mjadala unaendelea !!??
Mkuu NAJIFUNZA, hebu fafanua haya yanayo fall yanakwenda wapi kwani?
Wewe unaona ipo sawa na picha yako ile ?Hapana sio ya kwangu...kwani tufe hilo na hili 🌍kuna tofauti gani?
Yes zipo sawa....au kuona kwenye picha niliyoweka kuna majengo ndiyo imekufanya useme hiyo sio sawa? HahhWewe unaona ipo sawa na picha yako ile ?
Weka vitu vyenye uhalisia, Sio hivyo vya kubumbaYes zipo sawa....au kuona kwenye picha niliyoweka kuna majengo ndiyo imekufanya useme hiyo sio sawa? Hahh
kwani kwenye Dunia tufe unalojua wewe majengo yapo au hakuna?
Yes zipo sawa....au kuona kwenye picha niliyoweka kuna majengo ndiyo imekufanya useme hiyo sio sawa? Hahh
kwani kwenye Dunia tufe unalojua wewe majengo yapo au hakuna?
Wewe ndio umepost hiyo picha maji yana fallWewe mtaalamu wa dunia tufe ndiyo inabidi utuambie hayo maji yanayofall yanakwenda wapi..?
NB: Kimsingi swali lako linaonyesha kwamba unakubali maji kwa kuwa ni kimiminika hayawezi kustick kwenye round ball linalozunguka na kuelea angani...si ndiyo?
Ipo wapi hiyo picha ya Dunia tufe inayoonyesha maji yamestick kwenye tufe?Wewe ndio umepost hiyo picha maji yana fall
Picha za dunia tufe maji yame stick.
Ndio nakuuliza ikiwa dunia ni tufe ulitegemea hayo yanayomwagika yanakwenda wapi kwa mujibu wa hiyo picha yako?
Hivyo ndiyo halisia sasa.... hutaki kwasababu tufe haliingii akilini.Weka vitu vyenye uhalisia, Sio hivyo vya kubumba
Mkuu hapa tunaongelea nadharia kwanza kama vile picha yako ilivyokua ya kinadhariaIpo wapi hiyo picha ya Dunia tufe inayoonyesha maji yamestick kwenye tufe?
Ukileta na video itakua umefanya la maana sana...ili tuone how that mechanism really works.
Kinachotakiwa sio sababu,...bali ni uthibitisho wa maji kustick?Mkuu hapa tunaongelea nadharia kwanza kama vile picha yako ilivyokua ya kinadharia
Picha za nadharia za dunia tufe zinaonyesha maji yana stick na sababu ya ku stick imetolewa
Sasa ndio nauliza picha yako hiyo ya kinadharia inayoonyesha kama dunia ingekua tufe basi maji yange mwagika.. je yangemwagika kwenda wapi?
Yanamiminika kwenda wapi?Kinachotakiwa sio sababu,...bali ni uthibitisho wa maji kustick?
kama una uthibitisho lete ili turahisishe maelezo.
Hiyo picha ya maji kumwagika nimeiweka ili kureflect uhalisia wa maji kuwa kimiminika.....hivyo kwenye object yenye umbo la tufe automatically yatamwagika as long as tutaweka nadharia pembeni.........
NB: Kwahiyo wewe unaamini maji yamestick kwenye round-ball na hakuna hata tone linalomwagika away from it? Inashangaza.
Binafsi sijui yanaenda wapi..........nadhani nimejibu swali lako sasa..Yanamiminika kwenda wapi?
Mkuu uli kutetea hoja zako unatakiwa angalau uwe na simple basics knowledge za misingi ya hoja zako..... vinginevyo itakua ni kubisha tuBinafsi sijui yanaenda wapi..........nadhani nimejibu swali lako sasa..
Angalia clip nliyo upload hapo juu, Hiyo ndio Dunia yetuHivyo ndiyo halisia sasa.... hutaki kwasababu tufe haliingii akilini.
Kwa hiyo umeleta kitu ambacho wewe mwenyewe hujui? Sasa kama hujui hata wakikwambia utawaelewa kweli? Mana hujui chochoteBinafsi sijui yanaenda wapi..........nadhani nimejibu swali lako sasa..