Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Sina haja ya kutoa maelezo, Kama una akili timamu nadhani ukirudi kuiangalia upya hiyo picha utapata majibu
Hilo ndiyo tufe lilivyo sasa.....najua haingii akilini lakina haina jinsi itabidi ukubaliane na kile unachokiamini.
 
Bado mjadala unaendelea !!??

Mkuu NAJIFUNZA, hebu fafanua haya yanayo fall yanakwenda wapi kwani?
Wewe mtaalamu wa dunia tufe ndiyo inabidi utuambie hayo maji yanayofall yanakwenda wapi..?

NB: Kimsingi swali lako linaonyesha kwamba unakubali maji kwa kuwa ni kimiminika hayawezi kustick kwenye round ball linalozunguka na kuelea angani...si ndiyo?
 
Wewe unaona ipo sawa na picha yako ile ?
Yes zipo sawa....au kuona kwenye picha niliyoweka kuna majengo ndiyo imekufanya useme hiyo sio sawa? Hahh

kwani kwenye Dunia tufe unalojua wewe majengo yapo au hakuna?
 
Weka vitu vyenye uhalisia, Sio hivyo vya kubumba
 
Yes zipo sawa....au kuona kwenye picha niliyoweka kuna majengo ndiyo imekufanya useme hiyo sio sawa? Hahh

kwani kwenye Dunia tufe unalojua wewe majengo yapo au hakuna?
 
Attachments

  • spaceeves-20240207-0001.mp4
    7.4 MB
Wewe mtaalamu wa dunia tufe ndiyo inabidi utuambie hayo maji yanayofall yanakwenda wapi..?

NB: Kimsingi swali lako linaonyesha kwamba unakubali maji kwa kuwa ni kimiminika hayawezi kustick kwenye round ball linalozunguka na kuelea angani...si ndiyo?
Wewe ndio umepost hiyo picha maji yana fall
Picha za dunia tufe maji yame stick.

Ndio nakuuliza ikiwa dunia ni tufe ulitegemea hayo yanayomwagika yanakwenda wapi kwa mujibu wa hiyo picha yako?
 
Ipo wapi hiyo picha ya Dunia tufe inayoonyesha maji yamestick kwenye tufe?

Ukileta na video itakua umefanya la maana sana...ili tuone how that mechanism really works.
 
Mkuu hapa tunaongelea nadharia kwanza kama vile picha yako ilivyokua ya kinadharia

Picha za nadharia za dunia tufe zinaonyesha maji yana stick na sababu ya ku stick imetolewa

Sasa ndio nauliza picha yako hiyo ya kinadharia inayoonyesha kama dunia ingekua tufe basi maji yange mwagika.. je yangemwagika kwenda wapi?
 
Kinachotakiwa sio sababu,...bali ni uthibitisho wa maji kustick?

kama una uthibitisho lete ili turahisishe maelezo.

Hiyo picha ya maji kumwagika nimeiweka ili kureflect uhalisia wa maji kuwa kimiminika.....hivyo kwenye object yenye umbo la tufe automatically yatamwagika as long as tutaweka nadharia pembeni.........

NB: Kwahiyo wewe unaamini maji yamestick kwenye round-ball na hakuna hata tone linalomwagika away from it? Inashangaza.
 
Yanamiminika kwenda wapi?
 
Binafsi sijui yanaenda wapi..........nadhani nimejibu swali lako sasa..
Mkuu uli kutetea hoja zako unatakiwa angalau uwe na simple basics knowledge za misingi ya hoja zako..... vinginevyo itakua ni kubisha tu
 
Back
Top Bottom