abdulrahman Said
JF-Expert Member
- Sep 11, 2019
- 719
- 952
Sasa unataka yamwagike yaende wapi? Shida watu mnahisi kitu kinaanguka anguka tu ! If there was no gravity tusongekuwa tunaongea hili swala la kuanguka! Sisi hatuanguki (ukiita kuanguka iyo ya literally, somehow unapunguza vitu ) but we are attracted by Earth's gravity, imagine uwe na very strong spherical magnetic ball chukuwa vmunga unga wa chuma usambaze kwenye hilo ball will it fall down? No simply because it is strongly attracted to the ball than does the Earth gravity. The same kwa water masses chukulia sasa dunia ndo iwe huo mpira then vuta picha wewe uko nje kabisa and you're observing them water kwenye uso wa dunia while being attracted strongly to the Earth unataka yaanguke maji yaanguke wapi sasa???Unajua nini miongoni mwa factors zinazofanya nisiamini nadharia za Dunia Tufe ni ukweli kwamba there's no evidence that Water can stick in a round-ball,... tena acha kuwa round bali unaambiwa inazunguka Kwa Kasi.... Na kumbuka unaambiwa sehemu kubwa ya Dunia ni Maji sasa Je unaweza kueleza ni Kwa namna gani maji yanastick kwenye round-ball inayozunguka?
Maelezo yako kimsingi yapo centered kwenye nadharia na husia,... huwezi kuthibitisha uwepo wa curvature Kwa maneno tu kama haya uliyoleta wewe.
Ukija kwenye maji kuremain kwenye surface japo dunia inazunguka kwa spidi kubwa
I'll assume you have zero knowledge of relativity, imagine upo ndani ya gari linalotembea kwa constant speed alafu na wewe uko ndani huwa na wewe unaeliacha gari inatembea peke yako kwenye seat yako or you move along at 0 velocity relative to the car??? Unauliza kama mtoto wa darsa la pili
Earth ni inertia frame, it rotates at constant velocity and every thing on its surface moves along with Earth at exact the same speed thus relative motion kati ya Earth na vitu vilivuomo ndani ya earth ni zero thus they are stationary relative to the Earth surface