hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Wewe maana ya uzito umefundishwa ukakariri ndiyo hivyo hivyo,... unaamini maana ya uzito uliyofundishwa ni universal kwamba kila mtu duniani lazima akubaliane nayo,...kitu ambacho hakiingii akilini.Yani unakubali kitu kina uzito halafu unasema gravity hamna? Nini maana ya uzito kwani, halaf mtu akipanic unaona unaonewa. Katafute kwanza maana ya uzito halafu uje!
Kuhusu upthrust
Wewe ushawahi kuinua mtu akiwa ndani ya maji? Unahisi kwanini anakuwa mwepesi????
ili utoke kwenye box la kukariri inabidi uruhusu akili yako kufikiria on its own,....bila hivyo utakuwa kama robot ambae yupo well programmed.
,...........Nitakurudia