abdulrahman Said
JF-Expert Member
- Sep 11, 2019
- 719
- 952
1. Hakuna mlango wa fahamu unaoweza kuthibitisha dunia ni tufe ama flat wakati ukiwa umekaa hapa duniani, unless uiobserve dunia from a far not much further as it will only appear circular kama umbali ukiwa mkubwa sana. Umeomba kuthibitishiwa kama dunia ni tufe bila kutumia theories kuelezea meanwhile wewe pia huwezi kuthibitisha kama ni flat kwa kupitia milango yako ya fahamu (Toa hio upuuzi wa macho yako yanakwambia ni flat, utarejea mfano wangu kwa comment #4615)Umeandika maelezo mengi ila hujajibu maswali ya msingi,...nimekuuliza hivi:-
1. Ni mlango gani wa fahamu, au chombo gani umetumia ukajithibitishia pasina shaka kwamba Dunia ni tufe?
2. Kwa kuwa milango ya fahamu inatuonyesha Dunia Imetulia (stationary),...Tuambie ni mechanism gani umetumia ukajithibitishia pasina shaka kwamba Dunia Ina move?
NB:- Ili mjadala uwe na tija inabidi tuzivunje vunje hoja kwa maswali fikirishi,... ambayo yatatusaidia kutupa majibu ya yale yanayotatiza.
2. Siku zote huwezi kujuwa kitu kama kinamove ama kipo stationary unless uwe na kitu unacholinganisha nacho motion yake and that's relativity. Jaalia wewe upo ndani ya gari linalotembea kwa speed x halafu uangalie miti kwa nje na mwenzako ambaye yupo nje kasimama anaangalia miti. Mwenzako ataona miti inesimama ila wewe utaona miti inaenda this os how things work Young man.
Sasa wewe upo duniani na unazunguka na dunia How are you expecting milango yako ya fahamu ikwambie kama dunia inamove???? Same upo ndani ya gari linatembea kwa constant speed alafu tufunge vioo kila kitu usiweze kuona nje milango yako ya fahamu itakuambia kama unamove?? Weka hoja kama physicist sio kama mtu wa kunasua nasua vitu pahala
I strongly disagree na hiyo point yako ya milango ya fahmu inakuonesha sijuwi dunia ni flat ama dunia haizunguki, simply put milango ya fahamu haitoi taarifa kamili juu ya kinachoendelea thereby bila kupoteza muda naomba tuelekee kwenye nadharia