hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
1. Yap kuna nadharia watu wanakurupuka tu mfano ndiyo hizo ambazo haziwezi kuthibitishika ikiwemo evolution, dunia tufe linalozunguka pamoja na gravity.Kila nikiisoma tena hii comment yako naona nabishana na mtu wa aina gani!
"Uthibitisho nilio nao ni wa kitafiti sio nadharia"
1. Wewe unadhani nadharia huwa ni mtu anakurupuka tu kisha anaitoa?
2. Umeamini utafiti wa uyo ofsa halafu huamini utafiti wa NASA 😂😂😂
Anyway, nakusubiri unielezee huo utafiti ulifanywaje, na akaconclude vipi kama dunia ni flat, natumaini hakuna nadharia kwenye huo utafiti otherwise haitoeleweka unabishana kwasababu gani.
2. Ofsa gani unayemzungumzia?...hakuna sehemu nimetaja habari za ofsa yoyote humu....,tuliza akili haina haja ya kujibu chap chap bila kuelewa context.