Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Hayo uliyoweka ndiyo maswali ya darasa la pili sasa,....soma nimekujibu swali lako kwenye post hapo juu
 
Iyo akili yako inayokwambia dunia ni flat kwasababu unaona ni flat ndo haiitajiki hapa, kama unaubongo uchengenue utoe facts sio maelezo kama ya mtoto wa darasa la pili
Hujajibu swali la msingi........."Apart from imaginary calculations ,unakubali kwamba kwenye uhalisia hauna uthibitisho kwamba dunia ni tufe linalozunguka,..?
 
Kwaiyo density ni weight ama?? Unazungumzia density kwenye mfano ukapachika Mass? TF???
Nyoosha maelezo yako, nb 20Kg za hewa zinaelea kwenye 10Kg za maji japo hewa hapo ndo inauzito and we expect ikandamize hayo maji kama uo mfano wako
Imbicile!
 
Hujajibu swali la msingi........."Apart from imaginary calculations ,unakubali kwamba kwenye uhalisia hauna uthibitisho kwamba dunia ni tufe linalozunguka,..?
Uthibitisho upo ambao umeukataa, There are hundreds pictures from NASA and other Astronauts ukiachana na Nasa, wewe ambaye hujawahi hata kwenda unaobserve kutoka chini unabishana nao sasa kama sio theory ni kipi utaweza kuamini?
 
10Kg za maji zinabeba 20Kg za hewa vizuri tu, tena bila shida hiyo unaielezea vipi??

Tukiongeza, manake akili zako ndogo
Sio tu 20Kg, 10Kg za maji zinabeba hata 100Kgs na kuendelea za hewavizuri kabisa
 
Kwaiyo density ni weight ama?? Unazungumzia density kwenye mfano ukapachika Mass? TF???
Nyoosha maelezo yako, nb 20Kg za hewa zinaelea kwenye 10Kg za maji japo hewa hapo ndo inauzito and we expect ikandamize hayo maji kama uo mfano wako
Imbicile!
Hapana density sio weight,...unasema nimepachika mass??,..kwani hujui determinants za density ya kitu ni nini?...........Density haingalii tu uzito wa kitu bali inazingatia na ujazo...na ndiyo maana utaona Shilingi ina uzito mdogo kuliko Meli..lakini utaona Meli inaelea na Shilingi inazama.
 
10Kg za maji zinabeba 20Kg za hewa vizuri tu, tena bila shida hiyo unaielezea vipi??

Tukiongeza, manake akili zako ndogo
Sio tu 20Kg, 10Kg za maji zinabeba hata 100Kgs na kuendelea za hewavizuri kabisa
Kwasababu density haipo determined na uzito tu bali inaangalia na Volume pia,....nadhani nimekujibu juu hapo
 
Uthibitisho upo ambao umeukataa, There are hundreds pictures from NASA and other Astronauts ukiachana na Nasa, wewe ambaye hujawahi hata kwenda unaobserve kutoka chini unabishana nao sasa kama sio theory ni kipi utaweza kuamini?
Kwa mfano picha gani halisia toka NASA inaonyesha dunia ni tufe linalozunguka?
 
Wewe ndo mwenyekuhitaji nenda kwenye site za nasa kaangalie shekhe, na sio Nasa tu picha zipo nyingi zilizopigwa nyakati tofauti tofauti katafute nasa dscovr utaona
 
Sasa ulikuwa na maana gani kwenyw mfano wako a person weigh blah blah blah can blah blah blah meanwhile as long wote ni watu wako na density sawa the only difference is their masses amd so is weight.
Hata nashangaa bado unatumia weight na unapinga gravity, wewe ni mwehu??
Nini maana ya weight kwa maelezo yako ukiacha unayosema uongo?
 
Wewe ndo mwenyekuhitaji nenda kwenye site za nasa kaangalie shekhe, na sio Nasa tu picha zipo nyingi zilizopigwa nyakati tofauti tofauti katafute nasa dscovr utaona
Ninazoziona ni Computer generated,....ukiona picha halisia ambazo zime capture Dunia nzima from end-to-end zilete hapa tuondoe utata.
 
Sasa uzito na gravity vinahusiana nini?

Au formula ulizokariri ndiyo zinakuambia uzito unahusiana na gravity?

NB:- Einstein 1915 said,. GRAVITY IS NOT A FORCE!
 
Sasa uzito na gravity vinahusiana nini?

Au formula ulizokariri ndiyo zinakuambia uzito unahusiana na gravity?

NB:- Einstein 1915 said,. GRAVITY IS NOT A FORCE!
Kasome tena text nlishakujibu hapo naona hujaelewa.
Ndo mana nakwambia wewe unanasua nasua mambo, kwanza umesema huamini theory halafu saivi unaleta the general theory of relativity (Ambayo pia hujaelewa). Ntakueleza, sis tuliletwa duniani kwajili ya watu kama nyinyi.

Ntaanza na classical mechanics.
"Any two bodies with masses attract each others with a force proportional to product of their masses"
Ukiondoa neno force hapo the laws implies kwamba vitu vyenye mass lazima vivutane the interaction was describe as a force in classical mechanics na imeonesha kadri masses zake zinavyoongezeka basi iyo uvutani pia unaongezeka. This effect was named gravitation and it was said to produce an attractive force between masses

Ukija the general theory of relativity.
Tuanze interpretation ya gravity
"Gravity is a curvature of a space-time caused by mass and energy" , [ space-time ni model inayofuse time in other three dimensions of the universe]. What does it mean, this means ukiwa na mass or any form of energy the space-time will bend around it, the more the mass the more the space-time curves. Nikakupa mfano wa ndoo na kitambaa, funika kitambaa juu ya ndoo alafu chukuwa majiwe mawili moja lenye 1Kg lingine lenye 2Kg amza na la 1Kg weka juu ya kitambaa utaona kinacurve kwenda chini ukiongeza mass ndo kina zidi kucurve na ukiweka yote mawili basi lile lenye mass ndogo litaelekea kwa lile lenye mass kubwa, nisiweke maelezo mengi but kiufupi gravity inasababisha mass ziweze kuvutana

Hitimisho, kwenye newtonian mechanics huu mvutano (gravity) tunasema unatokana na uwepo wa force but kwenye general theory of relativity huu mvutano (gravity) tunasema unatokana na bending of space-time causing a mass to move toward the other mass along the shortest line.

Einstein hajapinga uwepo wa gravity, Einstein anakubali uwepo wa gravity, the sole difference is how the gravity can cause masses to attract each others. Is it by a force or curvature of space-time?? And that's science sio tu kama wewe unakurupuka unasema density ikiwa ndogo kitu kinaanguka, why hujuwi. IMBÉCILE

NB. Combined IQ ya Einstein na Isaac Newton ni kubwa kuliko ukoo wenu mzima ukijumlisha and they both agree on this invisible attraction between things with mass called gravity, halafu kuna wewe apo, a fool who concluded Earth is flat kwasababu aliobserve akiwa duniani😂😂, an Idiot who ignorantly claims can determine wether he is in motion or not hata kama hana kitu cha kucompare motion yake kwacho.

Every thing is relative kijana, hata tunasema uyu jamaa ni mfupi kwasababu kuna watu warefu, hii inatembea fasta kwasababu hii inaenda slow, huyu mweupe kwasababu yule mweusi
 
Sasa uzito na gravity vinahusiana nini?

Au formula ulizokariri ndiyo zinakuambia uzito unahusiana na gravity?

NB:- Einstein 1915 said,. GRAVITY IS NOT A FORCE!
Unapoona kitu kizito means kinakutana na strong attraction kuelekea kwenye dunia otherwise kitu kama hakivutwi tungekuwa hakuna haja ya kutumia miguvu kuinua.
Uzito unakuwa determiened na how much attraction a kitu kinaweza kukutana nacho kitokana na gravity, kwenye maji kuna upthrust kubwa ukilinganisha na kwenye hewa, so ukiachana na weight ambayo inavuta chini kuna considerable upthrust ambayo inasukuma jui ndo mana kitu kinakuwa chepesi ukilinganisha na kwenye hewa ambamo upthrust ndogo.
 
Ninazoziona ni Computer generated,....ukiona picha halisia ambazo zime capture Dunia nzima from end-to-end zilete hapa tuondoe utata.
Sasa hata ukiletewa si utaita AI generated kwanini nijisumbue kufanya hivyo? Watu wenye ubongo mdgo kama wewe ni kwenda na nyinyi hivi hivi tu mtaelewa mpaka mavi yatoke kichwani humo,

Unavyosema unataka kuona end to end unamaanisha nn? Kwamba wewe ukipiga picha saivi tunakuona mbele na nyuma ama? 😂


Maharage ya wapi sijuwi hayo, huu mdahalo ningesuggest ufanyike live kwa zoom/Google meeting nikunyonyoe vizuri, ongea na flat eathers wenzako, pawepo na watu wakusikiliza na wafatiliaji pembeni tuongee kwa hoja
 
Mpaka sasa hakuna unachojibu kwa kila nlichokuuliza.
Umedai kitu kitaanguka/kuzama whatever kwasababu tu ya density nimekuuliza density inafanyaje kwanini isingekuwa rangi ya hiko kitu??

Kwasababu huna jibu ntakupa, Hiyo uliyoisema sasa hapo ndo inaitwa Archimedes principle ambayo uliikataa ukasema huamini 😂😂😂😂😂😂
Hukuwa na majibu kwasababu ulisikia tu sehemu kwamba density ndogo ndo inafanya kitu kielee na hujuwi kwanini(nilikupa hii Math, I can help you again ukihitaji). Umepinga Archimedes na ukaitaja Archimedes bila kujuwa kama ni Archimedes. Umekalia tu ooh density ikiwa ndogo density ikiwa ndogo KWANINI DENSITY IKIWA NDOGO??? kasome physics acha kukariri vitu vya kijinga. Mara ooh Einstein alisema gravity sio force, so What? Einstein alipinga hakuna gravity? NO, Einstein anasemaje kuhusu gravity. Gravity is a curvature of space-time caused by mass or energy, which causes two masses to move toward each others along the shortest path hiyo ndio general theory of relativity ambayo umeitoa, natumaini utakuwa unakubaliana nayo ndo mana ukaitoa otherwise unaandika vitu usivyovijuwa?
 
Tufanye huu mdahalo live.
Ita flat Earther wanzako, tutafute na washuhuda tufanye kwa google meeting au zoom !

Natak uniambie iyo resistance ya object moja against nyingine kwenye ku-occupy space ndo kitu gani na umesikia wapi uwepo wake??
 
Why Don’t Planes Just Go Up and Stay Still and Wait for the Destination to Come Because the Earth is Spinning/Rotating?...... abdulrahman Said
 
an Idiot who ignorantly claims can determine wether he is in motion or not hata kama hana kitu cha kucompare motion yake kwacho.
Sawa unaniita mimi Idiot,..Lakini je ni nani Idiot kuzidi yule ambae anadai kitu fulani kipo kwenye motion lakini hana kitu cha ku compare motion yake kwacho?? Wewe unaposema Dunia ipo kwenye motion umefanya comparison na nini?.........Na aliyekuambia ili ujue kitu fulani kipo kwenye motion lazima ufanye comparison na kitu kingine ni nani??


Every thing is relative kijana, hata tunasema uyu jamaa ni mfupi kwasababu kuna watu warefu, hii inatembea fasta kwasababu hii inaenda slow, huyu mweupe kwasababu yule mweusi
Na tunasema hii imesimama kwasababu ile inatembea,....Hujawahi kupata ushahidi wowote kwamba Dunia inatembea,..umeshikiwa akili ukaambiwa Dunia inatembea umekubali na unataka kila mtu aamini hivyo,.. Jitahidi kufikiria vizuri.
 
Vizuri sana,..kumbe unajua kama weight ndiyo inavuta vitu chini,..sasa huo uongo wa kusema gravity ndiyo inavuta vitu chini umeutolea wapi?

NB: Does beam balance depend on gravity?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…