Sasa uzito na gravity vinahusiana nini?
Au formula ulizokariri ndiyo zinakuambia uzito unahusiana na gravity?
NB:- Einstein 1915 said,. GRAVITY IS NOT A FORCE!
Kasome tena text nlishakujibu hapo naona hujaelewa.
Ndo mana nakwambia wewe unanasua nasua mambo, kwanza umesema huamini theory halafu saivi unaleta the general theory of relativity (Ambayo pia hujaelewa). Ntakueleza, sis tuliletwa duniani kwajili ya watu kama nyinyi.
Ntaanza na classical mechanics.
"Any two bodies with masses attract each others with a force proportional to product of their masses"
Ukiondoa neno force hapo the laws implies kwamba vitu vyenye mass lazima vivutane the interaction was describe as a force in classical mechanics na imeonesha kadri masses zake zinavyoongezeka basi iyo uvutani pia unaongezeka. This effect was named gravitation and it was said to produce an attractive force between masses
Ukija the general theory of relativity.
Tuanze interpretation ya gravity
"Gravity is a curvature of a space-time caused by mass and energy" , [ space-time ni model inayofuse time in other three dimensions of the universe]. What does it mean, this means ukiwa na mass or any form of energy the space-time will bend around it, the more the mass the more the space-time curves. Nikakupa mfano wa ndoo na kitambaa, funika kitambaa juu ya ndoo alafu chukuwa majiwe mawili moja lenye 1Kg lingine lenye 2Kg amza na la 1Kg weka juu ya kitambaa utaona kinacurve kwenda chini ukiongeza mass ndo kina zidi kucurve na ukiweka yote mawili basi lile lenye mass ndogo litaelekea kwa lile lenye mass kubwa, nisiweke maelezo mengi but kiufupi gravity inasababisha mass ziweze kuvutana
Hitimisho, kwenye newtonian mechanics huu mvutano (gravity) tunasema unatokana na uwepo wa force but kwenye general theory of relativity huu mvutano (gravity) tunasema unatokana na bending of space-time causing a mass to move toward the other mass along the shortest line.
Einstein hajapinga uwepo wa gravity, Einstein anakubali uwepo wa gravity, the sole difference is how the gravity can cause masses to attract each others. Is it by a force or curvature of space-time?? And that's science sio tu kama wewe unakurupuka unasema density ikiwa ndogo kitu kinaanguka, why hujuwi. IMBÉCILE
NB. Combined IQ ya Einstein na Isaac Newton ni kubwa kuliko ukoo wenu mzima ukijumlisha and they both agree on this invisible attraction between things with mass called gravity, halafu kuna wewe apo, a fool who concluded Earth is flat kwasababu aliobserve akiwa duniani😂😂, an Idiot who ignorantly claims can determine wether he is in motion or not hata kama hana kitu cha kucompare motion yake kwacho.
Every thing is relative kijana, hata tunasema uyu jamaa ni mfupi kwasababu kuna watu warefu, hii inatembea fasta kwasababu hii inaenda slow, huyu mweupe kwasababu yule mweusi