Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Ebu tuone moja
 
Dunia ni mduwala kama mpila wa soccer. Hilo halina ubishi kwani ukitaka kuona umbo la dunia huhitaji elimu ya chuo . Chimba shimo lefu ingia ndan ziba ubakishe dundu utaona umbo. Njia ya pili siku ukisikia eclipse inatokea sehemu, nunuwa miwani maalum ya kuzuwia miozi ya juwa hala nenda sehemu ya eclipse itakapo onekana. Vaa miwani yako halafu angaria kwenye juwa direct utaona nusu ya sura ya mwezi na juwa. Sasa kama utaendelea kuamini kuwa katika sayari zote dunia tu ndio flat wakati sayari nyingine ni duara. Basa tu ambie sababu za dunia kuwa tafauti na sayari nyigine?
 
Una base na common sense,? usingeambiwa kama dunia ni tufe linalozunguka ungejulia wapi kuhusu hilo?..........

Sasa...Hadithi zisiwe nyingi thibitisha dunia ni tufe na inazunguka.
 
Daah akili za watu wa dunia tufe bhana.....πŸ˜€
 
Wew ndo unaamini blindly kama dunia ni flat, the only theory ambayo haiendi kinyume na laws of nature ni spherica earth hizo nyingine ni chai mzee
Kama huamini blindly lete uthibitisho au tuambie mechanism gani umetumia kujua dunia ni tufe linalozunguka................

NB: MARUFUKU KUTUMIA NADHARIA KAMA UTHIBITISHO KWAMBA DUNIA NI TUFE LINALOZUNGUKA,UNLESS UWE HUJUI MAANA YA UTHIBITISHO.
 
Kama huamini blindly lete uthibitisho au tuambie mechanism gani umetumia kujua dunia ni tufe linalozunguka................

NB: MARUFUKU KUTUMIA NADHARIA KAMA UTHIBITISHO KWAMBA DUNIA NI TUFE LINALOZUNGUKA,UNLESS UWE HUJUI MAANA YA UTHIBITISHO.
Wewe unaweza kuleta uthibitisho kama dunia ni flat?
Tuseme kwa hizo common sense zako, mimi pia naona iko sphere nikiangalia na pia naona dunia ikizunguka. Sasa huwezi kunibishia ninachokiona unless una uthibitisho wa picha kama ni flat.
Umepewa picha za NASA unaita AI halafu wewe picha ziko wapi huna, kama sio mwehu ni nini??
 
Ebu tuone moja
Mimi siye nnayebisha, wewe unayebisha nenda nasa kaangalie labda uje na madai yako mengine kama mwehu mwenzako anayekwambia ni ai generated.
Acheni kukaririshana ujinga, eti hakuna picha halisi
Umekaa zako nachingwea uko picha unaziona wapi shekhe
 
Ndiyo naweza kukuthibitishia kwamba Dunia ni flat na haizunguki,.... Sio uthibitisho wa picha bali ni uthibitisho halisia ana kwa ana tusafiri umbali utakao wewe by any transport mode uone jinsi Dunia ilivyo flattened and Stationary.

Common sense gani zikuambie Dunia ni tufe linalozunguka? Hizo sio akili zako ni umeambiwa kwa nadharia ukakubali.
 
Mimi siye nnayebisha, wewe unayebisha nenda nasa kaangalie labda uje na madai yako mengine kama mwehu mwenzako anayekwambia ni ai generated.
Acheni kukaririshana ujinga, eti hakuna picha halisi
Umekaa zako nachingwea uko picha unaziona wapi shekhe
Mwehu yupi huyo? Halafu huku kqwnye mwehu tumefikaje?
 
Kwamba ulivyosafiri ukaona dunia ni flat au sioπŸ˜‚πŸ˜‚
Kipenyo cha dunia ni zaidi ya kilometa elfu sita, rate ya kukunja ni only about 0.0001 radians kwa kilometer moja alafu unasema umeona ni flat.
Ukiambiwa kichwanj una mavi mbishi.
Mimi ntakuthibitishia kwa uhalisia kabisa tofauti na ww unayesema umeona kwa macho.
Nimefunga sana microwaves transmitter za mawasiliano kwenye minara ya simu ilikuwa ngumu mawasiliano kutoka mnara mmoja ifike mwingine kwa kufananisha urefu wa mnara mmoja na mwingine mpka tu adjust zile antena kutokana na curvature ya uso wa dunia pengine siku nikuchukue tufunge wote utoe mavi hayo
 
Mbona unakauli chafu chafu nn shida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…