The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Umeshaambia kuwa curvature inaanzia 3 miles away(5km) Sasa ww nenda hapo pwani ya dsm, pima 5 km away from that point halafu thibitisha.Sawa,..waambie watumie njia hiyo sasa waje waseme mfano ukiwa pwani ya DSM curvature inaanza kuonyesha athari yake baada kufika eneo gani exactly.
Mambo rahisi tu ila wanazunguka balaa.