Nimesoma kuhusu Dunia kuwa na umbo la tufe,....kitu pekee kinachofanya nisikikubaliane nayo ni kwamba logically ukiieleta kwenye uhalisia inakataa......
kwa mfano:-
a. Hakuna mechanism au uthibitisho wowote wenye uhalisia unaoonyesha kwamba Dunia ina move,.......kitu ambacho hakiendani na senses zetu kwahiyo siwezi kukubali tu ilimradi, au kwakuwa watu wengi wameamua kukubali.
b. Hakuna picha au video halisia ambayo imekua captured ikionyesha Dunia ilivyokua na umbo la tufe (different from how we observe it)
c. Hakuna maelezo ya kutosha yanayoelezea namna maji yanavyo stick kwenye running ball (earth).
d. Zipo sababu nyingine ila nihitimishe kwa kusema kwamba siku nikiweza ku observe kile ambacho kinasemwa basi nitaamini,.......au waseme hivyo vitu ni unobservable kwamba hata wao hawajawahi ku observe.