Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Sasa kama binadamu wote hatuwezi ku feel kama dunia inazunguka,....Wewe unaesema Dunia inazunguka umejuaje?
Kuna vifaa vina detect, kama satelite pia constilation star zina kuwa tofauti wakiziangalia baada ya muda
 
Safi kabisa, na je huyo samaki akipewa uthibitisho akaukataa na kuja na madai yake(mapya) kuwa Dunia nzima ni maji hapo nani atakuwa anahusika kuleta uthibitisho?
NB: kumbuka samaki hajakomea kukataa madai ya samaki wengine tu Bali amekuja na madai yake mapya.😀🙏
Samaki aliyesema Dunia nzima sio maji ndiyo anatakiwa kuthibitisha amejuaje Kuhusu hilo.......Samaka aliyekataa hajaja na madai mapya bali yeye anasema kile anachokiona.
 
d. Zipo sababu nyingine ila nihitimishe kwa kusema kwamba siku nikiweza ku observe kile ambacho kinasemwa basi nitaamini,.......au waseme hivyo vitu ni unobservable kwamba hata wao hawajawahi ku observe.
Kuobserve sio shida je wewe ni part ya scientists wanaoweza kwenda kuobserve? Au upo economically good kuweza kufanya tafiti zako mwenyewe uende unapotaka kwenda Ili tu kuthibitisha?

Najua huna uwezo huo😄, na nikuache na swali dogo tu, kama ww unataka mpk Kila kitu ukione ndo ukubalianenavyo je, ulishawahi kuona electrons? Kama hujawahi inamaana hukubali kama zipo.
 
Uthibitisho wa Dunia kuwa inamove upo labda kama hujasoma vzr. Kutoendana na sense zako sio sababu, ndo maana nikakupa mfano wa ruler kwenye maji je utasema inapinda?
Kwahiyo uthibitisho ni mpaka nisome idea za wengine?

Hakuna njia nyingine ya kuthibitisha?
 
Samaki aliyesema Dunia nzima sio maji ndiyo anatakiwa kuthibitisha amejuaje Kuhusu hilo.......Samaka aliyekataa hajaja na madai mapya bali yeye anasema kile anachokiona.
Ndo tunarudi kule kule, kwahy hypothesis ndio konklusion kwako? Halafu unapokuja na madai lazima utoe uthibitisho.
 
Kwahiyo uthibitisho ni mpaka nisome idea za wengine?

Hakuna njia nyingine ya kuthibitisha?
Kama unaweza kuthibitisha kisayansi na ikamake sense sio shida😄, ila hata kusoma Kwa wengine sio shida pia, we unadhani alietengeneza ndege aligundua mwenyewe vitu vyote vilivyoifanya ndege kuruka angani? Alisema materials za watu mbali mbali then akaunganisha idea.
 
Ndo tunarudi kule kule, kwahy hypothesis ndio konklusion kwako? Halafu unapokuja na madai lazima utoe uthibitisho.
Kwani kati ya Samaki aliyesema Dunia yote ni maji,..na aliyesema Dunia yote sio maji.......Nani kaja na madai hapo? kwenye jamii ya Samaki wanaoishi katikati ya bahari..

NB: Nimekuuliza ushawahi kufanya observation as part of research kwenye issue tunayojadili,..hujajibu mpaka sasa hivi..
 
Sawa vizuri,..lete hizo picha halisia tuzione........ au ndiyo kama hii 🌎
Nijibu umesoma au hujasoma? Hizo picha unazoniomba umeshawahi kuziona au hujawahi? Kama hujasoma sema na kama umeshawahi kuziona sema zinashida Gani kabla hatujaenda mbali.
 
Kwani kati ya Samaki aliyesema Dunia yote ni maji,..na aliyesema Dunia yote sio maji.......Nani kaja na madai hapo? kwenye jamii ya Samaki wanaoishi katikati ya bahari..

NB: Nimekuuliza ushawahi kufanya observation as part of research kwenye issue tunayojadili,..hujajibu mpaka sasa hivi..
Wewe si umeshafanya? Kama ulivyosema hapo awali? Basi tutumie experiment yako kujadiri
 
Kama unaweza kuthibitisha kisayansi na ikamake sense sio shida😄, ila hata kusoma Kwa wengine sio shida pia, we unadhani alietengeneza ndege aligundua mwenyewe vitu vyote vilivyoifanya ndege kuruka angani? Alisema materials za watu mbali mbali then akaunganisha idea.
Sawa,..kwahiyo uthibitisho pekee kwasasa kwamba dunia ni tufe na inazunguka ni kupitia kusoma pekee?

Hatuwezi kuthibitisha kwenye uhalisi?
 
Wewe si umeshafanya? Kama ulivyosema hapo awali? Basi tutumie experiment yako kujadiri
Hahh nataka tutumie observation yako,....nikikuambia utumie results nilizopata mimi utakataa utasema mimi kichaa.....

Tutumie majibu uliyopata wewe kupitia observation kama mwanzo wa research yetu......upo tayari?
 
Sawa vizuri,..lete hizo picha halisia tuzione........ au ndiyo kama hii 🌎
main-qimg-53c91f7b6f5556dcd1c9b674d395a27c-lq.jpeg

1946_V-2_13_First_photo_from_space.jpg

1968_Earthrise_297755main_GPN-2001-000009_full.jpg
 
Sawa,..kwahiyo uthibitisho pekee kwasasa kwamba dunia ni tufe na inazunguka ni kupitia kusoma pekee?

Hatuwezi kuthibitisha kwenye uhalisi?
Walioandika wamethibitisha ndio wakaandika hayo hayajashushwa kutoka mbinguni. Kwahy hata ww kama unaweza kufanya Fanya.
 
Nimesoma kuhusu Dunia kuwa na umbo la tufe,....kitu pekee kinachofanya nisikikubaliane nayo ni kwamba logically ukiieleta kwenye uhalisia inakataa......
kwa mfano:-
a. Hakuna mechanism au uthibitisho wowote wenye uhalisia unaoonyesha kwamba Dunia ina move,.......kitu ambacho hakiendani na senses zetu kwahiyo siwezi kukubali tu ilimradi, au kwakuwa watu wengi wameamua kukubali.
b. Hakuna picha au video halisia ambayo imekua captured ikionyesha Dunia ilivyokua na umbo la tufe (different from how we observe it)
c. Hakuna maelezo ya kutosha yanayoelezea namna maji yanavyo stick kwenye running ball (earth).
d. Zipo sababu nyingine ila nihitimishe kwa kusema kwamba siku nikiweza ku observe kile ambacho kinasemwa basi nitaamini,.......au waseme hivyo vitu ni unobservable kwamba hata wao hawajawahi ku observe.
Wewe jamaa kichwani sijuwi unawekaga vitu gani!
Usiseme hakuna picha, picha zipo ila wewe huzikubali,walau ungeleta picha za flat earth basi hapo ungemake sense na unachokisema, unakataa picha za spherical earth na hauna picha wala uthibitisho wowote wa flat Earth huoni kama ni upungufu wa akili?
Maelezo ya kutosha kuhusu kwanini maji yanastick yapo, unasema maji hayaanguki unataka yaanguke yaende wapi? Kila kitu kinavutwa kuelekea duniani sasa inaanguka inaelekea wapi? Nilikupa mfano, jaalia unampira wa sumaku (very strong magnet) kisha mwagia chenga za chuma unahisi zitaanguka? Kwanini zitaganda ? Gravitational pull ya dunia ndo inafanya wewe uone vitu vinaanguka kuelekea duniani, kuhisi kama kitu kinaweza kuanguka chenyewe bila kuvutwa hayo ni mapungufu ya akili

Ukiachana na upuuzi wa kusema macho yako yameona ukaconclude, toa hapa saivi model yako ya flat earth elezea jinsi vitu vilivyojipangilia. Dunia haizunguki kwa mujibu wako tunaomba sasa utuelezee kipi kinaishikilia dunia isianguke in outerspace ? Nilikupa mfano wa jiwe lifunge kamba, ukilichukuwa ukiliinua juu litaanguka lakini ukianza kuzungusha litabaki katika ule mduara, sasa tuambie wewe kwanini dunia haianguki in space imeganda pale ilipo ni kitu gani kinaishikilia??
 
Hahh nataka tutumie observation yako,....nikikuambia utumie results nilizopata mimi utakataa utasema mimi kichaa.....

Tutumie majibu uliyopata wewe kupitia observation kama mwanzo wa research yetu......upo tayari?
Kwani aliesema kafanya experiment Kwa observation ni Mimi ama niww?
 
Sawa,..kwahiyo uthibitisho pekee kwasasa kwamba dunia ni tufe na inazunguka ni kupitia kusoma pekee?

Hatuwezi kuthibitisha kwenye uhalisi?
PICHA PICHA PICHA ! mbona unakuwa na shida ya akiki mzee, ukiachana tu na kutumia scientific facts na laws of nature (ambayo pia ni uthibitisho tosha) picha zipo
 
Back
Top Bottom