Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Kuobserve naobserve hata sasa, ila kufanyia utafiti Mimi Bado ila ww umeshafanyia utafiti kwahy tuendelee utuambie ulivyofanya utafiti mbn unaogopa utafiti wako?
sawa vizuri,...unavyo Observe umegundua nini au observation imekupa majibu gani

a. Kuhusu umbo la dunia
b. Whether inazunguka/not

Mimi siogopi utafiti wangu,..nataka nijue wewe ukitafiti on your own unagundua nini.
 
sawa vizuri,...unavyo Observe umegundua nini au observation imekupa majibu gani

a. Kuhusu umbo la dunia
b. Whether inazunguka/not
Sikuwa na majibu kwasababu sikufanya research kuhusu observation yangu, wewe uliefanya nambie uligundua nini kama hitimisho lako na ulifanyaje mpk ukafikia hitimisho Hilo?
 
Hajawahi kuthibitisha kwamba dunia inazunguka,...hawezi kuthibitisha anaogopa, hawezi kabisa kuthibitisha.

abdulrahman Said Eti unaweza kuthibitisha pasina shaka yoyote kwamba dunia inazunguka?
Ndiyo, na nimeshakuthibitishia zaidi ya mara moja! Ntarudia
Kama dunia imekaa pale pale ni kwa vipi kila baada ya siku 365 vipindi vinajirudia? Kipupwe, vuli, masika na kiangazi ?? Sisi wana hisabati tuna kitu tunaita periodic motion! Kujirudia kwa hivi vipindi huoni kama dunia at some point iko kwenye periodic motion na inapita exact the same position kila baada ya kipindi fulani??
Ntakupa pia mfano wa wanaolauch satellites! Unaelewa jinsi zinavyowekwa kwenye orbit? Wakati wa kuirusha kuipeleka sehemu husika lazima warushe kuelekea uelekeo wa dunia inapozunguka ili kusave matumizi ya fuel! Unless umewahi kurusha satellite yako na haukufatra hii principal tutakusikiliza otherwise kupingana na waliorusha utakuwa na matatizo ya akili
 
Sikuwa na majibu kwasababu sikufanya research kuhusu observation yangu, wewe uliefanya nambie uligundua nini kama hitimisho lako na ulifanyaje mpk ukafikia hitimisho Hilo?
Kwahiyo una observe lakini huna chochote unacho gain from your observation...? Tunaiitaje hiyo?

Changamoto!
 
Kuobserve naobserve hata sasa, ila kufanyia utafiti Mimi Bado ila ww umeshafanyia utafiti kwahy tuendelee utuambie ulivyofanya utafiti mbn unaogopa utafiti wako?
Kabisa, na katika utafiti wake atuelezee mfumo wa flat earth umekaaje, kati ya dunia, mwezi na jua kipi kinazunguka na kipi kipo stationary, vimeshikana vipi, kwa vipi dunia, jua na mwezi havianguki? Hizi phenomena kama kupatwa kwa mwezi anaelezea vipi? Kile kimvuli ambacho siku za nyuma alikubali kama ni cha dunia jana akaamua kukataa atuelezee ni kimvuli cha nini na kinatokea vipi, kutokana na research yake
 
Huyo jamaa hapo mnaumiza kichwa tu hajui hata kutetea hoja yake ya kwa nini anasema dunia ni flat
Kwani wewe unavyoona Dunia sio flat?

Unaiona ni tufe na inazunguka si ndiyo.....fikiria kiundani sio unaamini blindly.

Kwahiyo unaamini ukichimba hapo ulipo consistently unaweza kutokea Uswisi? .....iMPOSSIBLE!
 
Hhah mbona simple sana kuthibitisha kuhusu hilo........nadhani ukileta majibu ya observation yako itakua tayari tumethibitisha kwamba dunia ni flat&haizunguki!
Nikuulize swali, observation ni conclusion?

Hizi ni procedures za scientific investigations:

1. Ask a question
2. Form a hypothesis
3. Test the hypothesis
4. Analyze and interpret data
5. Draw conclusions

HYPOTHESIS a supposition or proposed explanation made on the basis of limited evidence as a starting point for further investigation.

Sasa wewe hapo umekomea kwenye hypothesis then unakonklude
 
Kwani wewe unavyoona Dunia sio flat?

Unaiona ni tufe na inazunguka si ndiyo.....fikiria kiundani sio unaamini blindly.

Kwahiyo unaamini ukichimba hapo ulipo consistently unaweza kutokea Uswisi? .....iMPOSSIBLE!
Observation ni conclusion?? Basi nambie ruler ukiweka kwenye maji inapinda.
 
Kabisa, na katika utafiti wake atuelezee mfumo wa flat earth umekaaje, kati ya dunia, mwezi na jua kipi kinazunguka na kioi kioo stationary, vimeshikana vipi, kwa vipi dunia, jua na mwezi havianguki? Hizi phenomena kama kupatwa kwa mwezi anaelezea vipi? Kile kimvuli ambacho siku za nyuma alikubali kama ni cha dunia jana akaamua kukataa atuelezee ni kimvuli cha nini na kinatokea vipi, kutokana na research yake
Na origin of the universe
 
Kwahiyo una observe lakini huna chochote unacho gain from your observation...? Tunaiitaje hiyo?

Changamoto!
Huwezi kuconclude simpky from your observation. Hiyo ni initial start ya research! Hata hivyo a simple observation will still show you kama dunia ni spherical ni vile tu your mind is not skeptical
Umeulizwa kuhusu ruler hapo, ukichukuwa ukaiweka kwenye maji itapinda je inatosha kuhitimisha kama ruler imepinda?
Mpo kwenye gari mnatembea at the same speed, ukimuangalia mwenzako utaona kama hatembei je inatosha kuhitimisha kwamba hatembei??
Ukiangalia miti kwa nje utaona inatembea, je inatosha kuhitimisha kama miti ile inatembea???

Only a fool will claim eti macho yangu yamenithibitishia kitu fulani
 
Kabisa, na katika utafiti wake atuelezee mfumo wa flat earth umekaaje, kati ya dunia, mwezi na jua kipi kinazunguka na kioi kioo stationary, vimeshikana vipi, kwa vipi dunia, jua na mwezi havianguki? Hizi phenomena kama kupatwa kwa mwezi anaelezea vipi? Kile kimvuli ambacho siku za nyuma alikubali kama ni cha dunia jana akaamua kukataa atuelezee ni kimvuli cha nini na kinatokea vipi, kutokana na research yake
Nitakujibu,..nataka kwanza niweke msingi wa mjadala sawa.

Kwa mfano mpaka sasa hakuna ambaye ameweza kuthibitisha dunia ni tufe linalozunguka....

Pia mpaka sasa...hakuna aliyetupa majibu ya observation aliyofanya yeye mwenyewe......sasa kama hata kutumia tools mlizonazo kufanya research hamtaki mnataka kujadili kwa kutumia nadharia za wengine...hapa nitakua najadiliana na nyie au marehemu waliotunga hizo nadharia?
 
Huwezi kuconclude simpky from your observation. Hiyo ni initial start ya research! Hata hivyo a simple observation will still show you kama dunia ni spherical ni vile tu your mind is not skeptical
Umeulizwa kuhusu ruler hapo, ukichukuwa ukaiweka kwenye maji itapinda je inatosha kuhitimisha kama ruler imepinda?
Mpo kwenye gari mnatembea at the same speed, ukimuangalia mwenzako utaona kama hatembei je inatosha kuhitimisha kwamba hatembei??
Ukiangalia miti kwa nje utaona inatembea, je inatosha kuhitimisha kama miti ile inatembea???

Only a fool will claim eti macho yangu yamenithibitishia kitu fulani
Maswali kama hayo hawezi kujibu, anajua yatamkaba anarudisha majeshi ajipange upya😄😄 Nia yake si kubishana tu
 
usizunguke zunguke,..nimesema atupe majibu ya observation yake no matter ana perceive hayo majibu ni kweli au uongo?

Umeelewa?
 
Nitakujibu,..nataka kwanza niweke msingi wa mjadala sawa.

Kwa mfano mpaka sasa hakuna ambaye ameweza kuthibitisha dunia ni tufe linalozunguka....

Pia mpaka sasa...hakuna aliyetupa majibu ya observation aliyofanya yeye mwenyewe......sasa kama hata kutumia tools mlizonazo kufanya research hamtaki mnataka kujadili kwa kutumia nadharia za wengine...hapa nitakua najadiliana na nyie au marehemu waliotunga hizo nadharia?
Naomba nikuweke sawa hapa!
1. Umekataa picha za spherical earth na hauna picha za flat earth!
2. Mpaka sasa hauna na hauwezi kuthibitisha kama earth ni flat zaidi ya kusema macho yako yanaona kuwa ni flat (ambayo ni upuuzi wa hali ya juu)
 
Maswali kama hayo hawezi kujibu, anajua yatamkaba anarudisha majeshi ajipange upya😄😄 Nia yake si kubishana tu
Hahh sasa kuna swali gani hapo....anakutetea hajui nimekuuliza majibu ya observation yako kwasababu gani.

lete majibu ya observation yako kuhusu umbo la dunia na whether inazunguka ama la...bila kujali kama unaona majibu ya observation yako ni kweli/uongo...Bring it on the table!
 
Nitakujibu,..nataka kwanza niweke msingi wa mjadala sawa.

Kwa mfano mpaka sasa hakuna ambaye ameweza kuthibitisha dunia ni tufe linalozunguka....

Pia mpaka sasa...hakuna aliyetupa majibu ya observation aliyofanya yeye mwenyewe......sasa kama hata kutumia tools mlizonazo kufanya research hamtaki mnataka kujadili kwa kutumia nadharia za wengine...hapa nitakua najadiliana na nyie au marehemu waliotunga hizo nadharia?
Wewe umesema umeshasoma na hukubaliani na hizo investigations, Sasa ni swala la ww kusema ni wapi hukubaliani ueleweshwe
 
Back
Top Bottom