The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Umeshaambia kuwa curvature inaanzia 3 miles away(5km) Sasa ww nenda hapo pwani ya dsm, pima 5 km away from that point halafu thibitisha.Sawa,..waambie watumie njia hiyo sasa waje waseme mfano ukiwa pwani ya DSM curvature inaanza kuonyesha athari yake baada kufika eneo gani exactly.
Mambo rahisi tu ila wanazunguka balaa.
Hapana hujanielewa,...Research Tool ya kwanza kabisa ni "Observation"..............Najua, hainisha tatizo
Hahh unataka nithibitishe mimi sasa....?Umeshaambia kuwa curvature inaanzia 3 miles away(5km) Sasa ww nenda hapo pwani ya dsm, pima 5 km away from that point halafu thibitisha.
Sawa observation, then ukimaliza unaconclude kuwa ulicho-observe ndio ukweli? Kumbuka Kuna null hypothesis na alternative hypothesis, je ww ulivyoobserve ni stage Gani nyingne ulifanya?Hapana hujanielewa,...Research Tool ya kwanza kabisa ni "Observation"..............
Kwahiyo primary data utakazopata zitatokana na nini?.........Observation (Unakubali.........?
Hapana hapa ndo tunapotofautianaga mkuu, kwenye jukumu la nani afanye experiment, mimi nipo flexible ya kuwa flat earthers mkitaka kubishia dunia tufe izo kasoro zilizopo muje na experiments well documented hii ndo njia sahihi ya kisayansi yani kama hili la meli na distance iyo ya kupotea nadhani hili flat earthers ndo wangekua mbele kufanya experiments. Lakini ukisema dunia tufe ndo wafanye experiments za kujibu maswali yenu itakua ngumu wao washafanya part yaoSawa,..waambie watumie njia hiyo sasa waje waseme mfano ukiwa pwani ya DSM curvature inaanza kuonyesha athari yake baada kufika eneo gani exactly.
Mambo rahisi tu ila wanazunguka balaa.
Anaepinga ni nani hapa?Hahh unataka nithibitishe mimi sasa....?
Duh, hivi huelewi au unafanya maksudi kaka?Sasa unanipima uwezo wangu kama nimeelewa au unanimock, au unataka tujadiri kuhusu umbo la Dunia?
Wewe si unapinga kuhusu umbo la Dunia kuwa duara? Maana yake naamini umesoma vzr sana kuhusu Dunia tufe ndio maana unapinga. Au unapinga tu Wala hujui chochote?
Kama hujui chochote kuhusu umbo la Dunia tufe sema na usiseme ni tambarare then ndio ntaanza kukuelewesha.
Mimi ndiyo napinga,..ndiyo maana nataka uthibitishe.Anaepinga ni nani hapa?
Just imagine, samaki anaekaa katikati ya bahari ya Hindi akisema aangalie kulia kushoto nyuma na mbele yake ataona maji tupu, kwahy akiconclude kuwa Dunia yote ni maji atakuwa sawa?Hahh unataka nithibitishe mimi sasa....?
Baada ya kufanya observation,....Ulipata majibu gani?Sawa observation, then ukimaliza unaconclude kuwa ulicho-observe ndio ukweli? Kumbuka Kuna null hypothesis na alternative hypothesis, je ww ulivyoobserve ni stage Gani nyingne ulifanya?
Ndo nimekuuliza swali la msingi tu, unauliza hujui chochote kuhusu Dunia kuwa duara (yaani hujasoma kabisa) au umesoma hukubaliani nayo?Duh, hivi huelewi au unafanya maksudi kaka?
Umesema Shule umefundishwa kwamba Dunia ni tufe na inazunguka.....ndiyo nikasema thibitisha hicho ulichofundishwa kwenye uhalisia....yaani thibitisha kwamba :-
a. Dunia ni tufe
b. Inazunguka
Sijakuuliza kwa ajili ya mocking,..najua ulisoma na ukaelewa vizuri kabisa, nataka uthibitishe tu simple kabisa.
Nimekuuliza ww ambae umetumia observation research au sio ww uliesema? Ndo unijibu baada ya kuobserve ulifanya nn next?Baada ya kufanya observation,....Ulipata majibu gani?
Usiwe na haraka....twende taratibu tutafikia hitimisho na tutaangalia je ulicho observe ni cha kweli/uongo,
Hapana hawezi kuwa sawa,....ila ili akubaliane na majibu ya samaki ambao wameweza kwenda mbali zaidi na kujua kwamba kumbe Dunia yote si maji...basi inabidi wahakikishe wanampa uthibitisho Samaki husika kuhusu hilo.Just imagine, samaki anaekaa katikati ya bahari ya Hindi akisema aangalie kulia kushoto nyuma na mbele yake ataona maji tupu, kwahy akiconclude kuwa Dunia yote ni maji atakuwa sawa?
Safi kabisa, na je huyo samaki akipewa uthibitisho akaukataa na kuja na madai yake(mapya) kuwa Dunia nzima ni maji hapo nani atakuwa anahusika kuleta uthibitisho?Hapana hawezi kuwa sawa,....ila ili akubaliane na majibu ya samaki ambao wameweza kwenda mbali zaidi na kujua kwamba kumbe Dunia yote si maji...basi inabidi wahakikishe wanampa uthibitisho Samaki husika kuhusu hilo.
na kujua kama dunia inazunguka ni sababu inafanya movement smothly ni kama ukiwa kwenye ndege au meli hali ikiwa shwar at some point huwezi feel movement yyte sababu wote mnaenda at costant speedJust imagine, samaki anaekaa katikati ya bahari ya Hindi akisema aangalie kulia kushoto nyuma na mbele yake ataona maji tupu, kwahy akiconclude kuwa Dunia yote ni maji atakuwa sawa?
Nimesoma kuhusu Dunia kuwa na umbo la tufe,....kitu pekee kinachofanya nisikikubaliane nayo ni kwamba logically ukiieleta kwenye uhalisia inakataa......Ndo nimekuuliza swali la msingi tu, unauliza hujui chochote kuhusu Dunia kuwa duara (yaani hujasoma kabisa) au umesoma hukubaliani nayo?
Kama hujawahi kusoma kabisa na hujui chochote sema na uachane na madai yako ya Dunia ni tambarare, then niulize nikupe elimi niliyopewa Mimi.
Na kama umesoma na hukubalianinayo sema ni wapi hukubaliani nayo tujadiri na sio kuniuliza swali general kama Hilo.
Sasa kama binadamu wote hatuwezi ku feel kama dunia inazunguka,....Wewe unaesema Dunia inazunguka umejuaje?na kujua kama dunia inazunguka ni sababu inafanya movement smothly ni kama ukiwa kwenye ndege au meli hali ikiwa shwar at some point huwezi feel movement yyte sababu wote mnaenda at costant speed
Uthibitisho wa Dunia kuwa inamove upo labda kama hujasoma vzr. Kutoendana na sense zako sio sababu, ndo maana nikakupa mfano wa ruler kwenye maji je utasema inapinda?a. Hakuna mechanism au uthibitisho wowote wenye uhalisia unaoonyesha kwamba Dunia ina move,.......kitu ambacho hakiendani na senses zetu kwahiyo siwezi kukubali tu ilimradi, au kwakuwa watu wengi wameamua kukubali
Huu wote ni uongo maelezo na picha kuhusu unavyosema vipo, unless kama hujasoma nambie.b. Hakuna picha au video halisia ambayo imekua captured ikionyesha Dunia ilivyokua na umbo la tufe (different from how we observe it)
c. Hakuna maelezo ya kutosha yanayoelezea namna maji yanavyo stick kwenye running ball (earth).