The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
According to the image niliyokupa, image ya kwanza nambie ni kivp hapo unaniambia sio flat?Mpira sio flat,.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
According to the image niliyokupa, image ya kwanza nambie ni kivp hapo unaniambia sio flat?Mpira sio flat,.
Angalia vizuri picha yako,..umepiga kisha edges of the ball umeziacha zinaonekana........ukitaka sogeza camera yako karibu na mpira uhakikishe edges of the ball hazionekani ndiyo upige na uulize,...According to the image niliyokupa, image ya kwanza nambie ni kivp hapo unaniambia sio flat?
Hakuna edges hapo😄, na tangu lini Mpira ukawa na edges??😄😄😄😄😄😄😄😄Angalia vizuri picha yako,..umepiga kisha edges of the ball umeziacha zinaonekana........ukitaka sogeza camera yako karibu na mpira uhakikishe edges of the ball hazionekani ndiyo upige na uulize,...
Nimesema wapi hizo picha nilizoweka sio raw photos??Picha nimezikataa kutokana na sababu ulizoweka wewe mwenyewe kwamba picha za Nasa ni processed sio raw photo, au ulivyosema hivyo ulikua hujui kama unajifunga mwenyewe......sasa unataka niamini kitu ambacho sio halisia?
Kwahiyo mpira hauna edges?Hakuna edges hapo😄, na tangu lini Mpira ukawa na edges??😄😄😄😄😄😄😄😄
Hii imepita, saa 10 na dakika 25 nitatuma link hapaUnafananisha vitu ambavyo havihusiani,......kwasababu hapa tunazungumzia ishu ambayo ni debatable over decades inapaswa zitumike picha halisia ili kuondoa utata., sasa ishu za xrays sidhani kama zina room kwenye suala hili.
NB: Lengo langu mdahalo ufanyike saa6 mchana,..lakini nadhani umeelewa vibaya kwamba ni 12 Jioni..........kama mpo tayari hata dakika 15 toka sasa,,,sio mbaya
Kikomo Cha Mpira Kiko wapi ndugu??Kwahiyo mpira hauna edges?
Edges ni kikomo/mwisho wa kitu....mpira hauna kikomo?
Dah,...ngoja ninyamaze tu.
Sasa hata kama ukisema ni raw photos...hayo mamlaka unayatolea wapi wakati hujazipiga wewe?Nimesema wapi hizo picha nilizoweka sio raw photos??
Sio unyamaze tu, tangu lini Mpira ukawa na edges?? Nikikwambia uzungushe kitu around huo Mpira utafikia kikomo? Au utazungusha mpk utakapo zeeka??😄😄Dah,...ngoja ninyamaze tu
Naww uhakika kama sio raw umetolea wapi?? Maana mm nilipotoa hawajasema kama sio raw, kwahy ww hiyo statement yako ya kuwa sio raw umetoa wapi??Sasa hata kama ukisema ni raw photos...hayo mamlaka unayatolea wapi wakati hujazipiga wewe?
Uhakika kama ni raw/not unautolea wapi?
Mpira wako ukiujaza upepo to the fullest,..unajaa kwa size gani to the maximum?Kikomo Cha Mpira Kiko wapi ndugu??
Unajicheka jinsi usivyojua maana ya ukomo wa kitu au?Sio unyamaze tu, tangu lini Mpira ukawa na edges?? Nikikwambia uzungushe kitu around huo Mpira utafikia kikomo? Au utazungusha mpk utakapo zeeka??😄😄
Kwahy ww hapo uliposema umeona edges za Mpira kwenye picha ya 1, ulimaanisha uliujaza Mpira au ulimaanisha nn ukirelate na unachosema saivi?Hiyo maximum ya ujazo ndiyo kikomo cha mpira,....ukisema kitu hakina kikomo maana yake kimejaa each & everywhere
Nina uhakika kwamba sio raw kwasababu Dunia tunavyoiona haipo hivyo kama kwenye picha zako................. Ila kama unaamini Dunia ipo hivi👉🌎,........sishangai ukiamini picha hizo kirahisi.Naww uhakika kama sio raw umetolea wapi?? Maana mm nilipotoa hawajasema kama sio raw, kwahy ww hiyo statement yako ya kuwa sio raw umetoa wapi??
Unajua maana ya ukomo wa kitu?,,,,,isije ikawa hujui tunazungumzia nini hapaKwahy ww hapo uliposema umeona edges za Mpira kwenye picha ya 1, ulimaanisha uliujaza Mpira au ulimaanisha nn ukirelate na unachosema saivi?
Yaani how volume capacity ya kitu inarelate na edge ya kitu??😄😄😄
Jibu swali mm naww nan asiejua ukomo wa kitu? Nimekwambia zungusha kitu kwenye Mpira uone kama hautazunguka mpk unazeeka bila kufika kikomoUnajicheka jinsi usivyojua maana ya ukomo wa kitu au?
Unavyoiona ukiwa wapi?? Na hizo picha zimepigwa kutoka wapi?? Sababu za kusema sio raw ni nn kutokana picha nilizoweka ni nn? Yaani nambie exactly kwamba umeona kitu fulani na fulani sio kugeneralize tu.Nina uhakika kwamba sio raw kwasababu Dunia tunavyoiona haipo hivyo kama kwenye picha zako................. Ila kama unaamini Dunia ipo hivi👉🌎,........sishangai ukiamini picha hizo kirahisi.
Au kwa kukurahisishia,..mpira wako unachukua space kiasi gani?Kwahy ww hapo uliposema umeona edges za Mpira kwenye picha ya 1, ulimaanisha uliujaza Mpira au ulimaanisha nn ukirelate na unachosema saivi?
Yaani how volume capacity ya kitu inarelate na edge ya kitu??😄😄😄
Hujui maana ya edge/mpaka/boundaries ndiyo maana unajichanganya,.......Jibu swali mm naww nan asiejua ukomo wa kitu? Nimekwambia zungusha kitu kwenye Mpira uone kama hautazunguka mpk unazeeka bila kufika kikomo