Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Kwahiyo wewe kwenye maisha yako yote hujawahi kuona raw photo ya dunia?

Sasa unavyosema kwamba una uthibitisho kwamba Dunia ni tufe na inazunguka, huwa unatudanganya?

Tukuamini vipi, kama hata raw photo ya Dunia huna ila unasema ni tufe na inazunguka?
Kwani unajua ninaposema raw photo namaanisha nn? Kwahy kuongeza quality ya picha inabadirisha umbo la Dunia?
 
Do you have senses?,,,,,, nimekuambia Dunia ni flat na imetulia kama unavyoina na kuihisi...........sasa kama huna senses zinazokuwezesha kujithibitishia mwenyewe kuhusu hilo sidhani kama naweza kukusaidia.
Nani kakwambia naona hivyo? Leta uthibitisho hapa. Namm nikikwambia Dunia ni duara kama unavyoona utasema nn?
 
Huna msimamo,......simamia kauli yako ya mwanzo la sivyo nikikubana zaidi utasema hujawahi kusema kwamba Dunia inazunguka.
Nasimamia ya pili kuwa hizo ni raw photos hakuna mahali nimesema hizo si raw photos Bali nilikujibu kuwa picha za NASA zinakuwa processed from raw photos na Wala sikusema hizo picha nilizotuma sio raw photos
 
Nona ushasahau tena,..unakumbuka ulisema kupitia observation yako uliona nini?

Kuwa na kumbukumbu nzuri.
Wapi nilisema kuwa naona Dunia nzima ni tambare? Huo uwezo wa kuona hivyo nimeutoa wapi? I can only see less than 1% of the whole earth so usinilishe maneno et naona Dunia nzima ni tambarare.

So leta uthibitisho hapa
 
Nona ushasahau tena,..unakumbuka ulisema kupitia observation yako uliona nini?

Kuwa na kumbukumbu nzuri.
Leta uthibitisho kama unavyokomaa ww tukuletee hapa, usianze kusema sijui kama unavyoona and stuffs like that tuthibitishie, leta picha za Dunia tambarare zikiinesha mabara yote, video zikionesha Jua linamove. Ukishindwa futa point yako ya Dunia ni tambarare kwanza kabla hujakubali kuwa Dunia ni duara.
 
Sawa, Lete link hapa saa 6:30 watu tujoin ili utuonyeshe jinsi Dunia inavyozunguka na pia ututhibitishie pasina shaka kwamba Dunia ni tufe!

NB: Subject ya mdahalo iwe...."MDAHALO WA KUONYESHA DUNIA INAVYOZUNGUKA NA KUTHIBITISHA KWAMBA DUNIA NI TUFE!

#TUNASUBIRI.
Nikurekebishe hapo!
Mtu ambaye hajiamini anachokisema ni kama wewe apo, kwanini upick eti subject ya mdahalo iwe." Mdahalo wakuonesha dunia inavyozunguka na ni tufe" kwanini isiwe kuonesha kama dunia ni flat na haizunguki???
Usiende kinyume na mdahalo, mdahalo ni kujadili nadharia mbili 1. Dunia ni tufe na inazunguka 2. Dunia ni flat na haizunguki
Acha kuzunguka zunguka kama mtu asiyeamini anachokisema, saa 12 kamili ntakuwepo hapa mpaka saa 12 na nusu na watu wote wanaohitaji kuhudhuria huu mdahalo tutaweka link hapa.
Kila mtu atapewa nafasi ya kuchambua nadharia yake, atuelezee kwa kina kuhusu anachokiamini kisha tuanze kuargu kama watu wenye uelewa sio unakuja na kititle cha kipuuzi hakina kichwa wala miguu, c'mon jiamini mdg angu
 
ALERT!
Saa 12 kamili link itatumwa humu, tutaacha watu wajoin kisha saa 12 na nusu mdahalo utaanza, mimi nahitaji awepo walau mshuhuda mmoja tu ambaye kazi yake iwe kusikiliza. Flat earther mwingine yoyote atakayehitaji atajoin kwenye huu mdahalo.

Title:
"Uchambuzi yakinifu juu ya nadharia ya Dunia tufe na nadharia ya Dunia tambarare"

Main speakers:
abdulrahman Said hateeb10

Venue:
Google meeting

dosho12 DR Mambo Jambo Poor Brain
 
Na kama kuna mtu wa kumpiga tumpige tuu hateeb10
😄😄😄😄😄
 
Wewe ndiyo hujiamini.......mdahalo ujikite kwenye kuthibitisha na sio kuchambua...........kuchambua na kuthibitisha ni vitu viwili tofauti andaa uthibitisho sio uchambuzi...sawa?
 
Wewe ndiyo hujiamini.......mdahalo ujikite kwenye kuthibitisha na sio kuchambua...........kuchambua na kuthibitisha ni vitu viwili tofauti andaa uthibitisho sio uchambuzi...sawa?
Kwann unahisi hoja haihitaji uthibitisho ila za wengine ndo zinahitaj uthibitisho pekee?
 
ALERT!
Saa 12 kamili link itatumwa humu, tutaacha watu wajoin kisha saa 12 na nusu mdahalo utaanza, mimi nahitaji awepo walau mshuhuda mmoja tu ambaye kazi yake iwe kusikiliza. Flat earther mwingine yoyote atakayehitaji atajoin kwenye huu mdahalo.

Title:
"Uchambuzi yakinifu juu ya nadharia ya Dunia tufe na nadharia ya Dunia tambarare"

Main speakers:
abdulrahman Said hateeb10

Venue:
Google meeting

dosho12 DR Mambo Jambo Poor Brain
Uchambuzi yakinifu?

Hakuna anayetaka uchambuzi,..kama kuchambua watu washafanya hivyo maelfu ya miaka......Andaa uthibitisho sio uchambuzi,!
 
Back
Top Bottom