Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
According to the image niliyokupa, image ya kwanza nambie ni kivp hapo unaniambia sio flat?
Angalia vizuri picha yako,..umepiga kisha edges of the ball umeziacha zinaonekana........ukitaka sogeza camera yako karibu na mpira uhakikishe edges of the ball hazionekani ndiyo upige na uulize,...
 
Angalia vizuri picha yako,..umepiga kisha edges of the ball umeziacha zinaonekana........ukitaka sogeza camera yako karibu na mpira uhakikishe edges of the ball hazionekani ndiyo upige na uulize,...
Hakuna edges hapoπŸ˜„, na tangu lini Mpira ukawa na edges??πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Picha nimezikataa kutokana na sababu ulizoweka wewe mwenyewe kwamba picha za Nasa ni processed sio raw photo, au ulivyosema hivyo ulikua hujui kama unajifunga mwenyewe......sasa unataka niamini kitu ambacho sio halisia?
Nimesema wapi hizo picha nilizoweka sio raw photos??
 
Hakuna edges hapoπŸ˜„, na tangu lini Mpira ukawa na edges??πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Kwahiyo mpira hauna edges?

Edges ni kikomo/mwisho wa kitu....mpira hauna kikomo?

Dah,...ngoja ninyamaze tu.
 
Hii imepita, saa 10 na dakika 25 nitatuma link hapa
Tutaongea vzr kwenye mdahalo utatueleza kwanini haumini picha za nasa na unaamini xrays
 
Sasa hata kama ukisema ni raw photos...hayo mamlaka unayatolea wapi wakati hujazipiga wewe?

Uhakika kama ni raw/not unautolea wapi?
Naww uhakika kama sio raw umetolea wapi?? Maana mm nilipotoa hawajasema kama sio raw, kwahy ww hiyo statement yako ya kuwa sio raw umetoa wapi??
 
Kikomo Cha Mpira Kiko wapi ndugu??
Mpira wako ukiujaza upepo to the fullest,..unajaa kwa size gani to the maximum?

Hiyo maximum ya ujazo ndiyo kikomo cha mpira,....ukisema kitu hakina kikomo maana yake kimejaa each & everywhere.
 
Sio unyamaze tu, tangu lini Mpira ukawa na edges?? Nikikwambia uzungushe kitu around huo Mpira utafikia kikomo? Au utazungusha mpk utakapo zeeka??πŸ˜„πŸ˜„
Unajicheka jinsi usivyojua maana ya ukomo wa kitu au?
 
Hiyo maximum ya ujazo ndiyo kikomo cha mpira,....ukisema kitu hakina kikomo maana yake kimejaa each & everywhere
Kwahy ww hapo uliposema umeona edges za Mpira kwenye picha ya 1, ulimaanisha uliujaza Mpira au ulimaanisha nn ukirelate na unachosema saivi?

Yaani how volume capacity ya kitu inarelate na edge ya kitu??πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Naww uhakika kama sio raw umetolea wapi?? Maana mm nilipotoa hawajasema kama sio raw, kwahy ww hiyo statement yako ya kuwa sio raw umetoa wapi??
Nina uhakika kwamba sio raw kwasababu Dunia tunavyoiona haipo hivyo kama kwenye picha zako................. Ila kama unaamini Dunia ipo hiviπŸ‘‰πŸŒŽ,........sishangai ukiamini picha hizo kirahisi.
 
Kwahy ww hapo uliposema umeona edges za Mpira kwenye picha ya 1, ulimaanisha uliujaza Mpira au ulimaanisha nn ukirelate na unachosema saivi?

Yaani how volume capacity ya kitu inarelate na edge ya kitu??πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Unajua maana ya ukomo wa kitu?,,,,,isije ikawa hujui tunazungumzia nini hapa
 
Nina uhakika kwamba sio raw kwasababu Dunia tunavyoiona haipo hivyo kama kwenye picha zako................. Ila kama unaamini Dunia ipo hiviπŸ‘‰πŸŒŽ,........sishangai ukiamini picha hizo kirahisi.
Unavyoiona ukiwa wapi?? Na hizo picha zimepigwa kutoka wapi?? Sababu za kusema sio raw ni nn kutokana picha nilizoweka ni nn? Yaani nambie exactly kwamba umeona kitu fulani na fulani sio kugeneralize tu.
 
Kwahy ww hapo uliposema umeona edges za Mpira kwenye picha ya 1, ulimaanisha uliujaza Mpira au ulimaanisha nn ukirelate na unachosema saivi?

Yaani how volume capacity ya kitu inarelate na edge ya kitu??πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Au kwa kukurahisishia,..mpira wako unachukua space kiasi gani?

Mpira wako una kikomo cha space inaochukua,...?
 
Jibu swali mm naww nan asiejua ukomo wa kitu? Nimekwambia zungusha kitu kwenye Mpira uone kama hautazunguka mpk unazeeka bila kufika kikomo
Hujui maana ya edge/mpaka/boundaries ndiyo maana unajichanganya,.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…