Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Ndo maana nasema wewe unachanganya mambo kisa unataka uforce uwe sawa.

Kuna tofauti kati ya Edge na Boundary lakini yanaweza kutumia sawa kulingana na context fulani, lakini haimaanishi yatatumika sawa katika context zote. Kajifunze zaidi.
 
Again, unachanganya boundary na edge!!
 
In physical and practical terms, the boundary of a round object is similar to the "edge" of any other object. It defines where the object ends and the external space begins.
Hii statement ukiisoma vzr utapata kitu, jiulize tu kwann amesema in physical and practical terms? Kwann hajaconclude tu Moja Kwa Moja kuwa edge and boundary are similar terms?

In Geometry context, edge na boundary are different terms with difference meanings.
 
hateeb10
Kuna kitu kinaitwa Great circle route, kajifunze kuhusu hiki kitu kwann ndege hutumia hii route. Ni Kwa sababu Dunia ni duara.

Again, unachanganya boundary na edge!!
Hapa kinachofanya tutofautiane ni kwamba Mmoja WETU amekariri na mwingine anatumia akili zake kutafsiri uhalisia ulivyo.

Basi niseme nimekubaliana na wewe Mpira hauna ukomo.
 
Wewe umekariri vya kuambiwa ila kushughulisha akili yako hutaki,...yaani ingewezekana tuwe ana kwa ana kisha tuchukue Mpira nikuonyeshe physically & practically kwamba mpira una ukomo nadhani ungeacha ubishi usioingia akilini.

Tafakari,..
 
hateeb10
Kuna kitu kinaitwa Great circle route, kajifunze kuhusu hiki kitu kwann ndege hutumia hii route. Ni Kwa sababu Dunia ni duara.

View attachment 3177078
Nani kakudanganya?

Na kwanini Ndege zina fly horizontally bila ku bend down over the so called curvature of the earth?

Ushawahi kuona Ndege Ina fly vertically downward/upward?........

Ndege zina fly horizontally over the flattened earth kwasababu Dunia ni flat.
 
Haitoshi ndio maana nimeuliza, kama una majibu,yaweke wazi hapa.
Sawa,..kama wanaosema Dunia ni tufe linalozunguka unaamini hawana sababu ya kudanganya,...

Basi na Mimi leo nakuambia Dunia ni flat na Imetulia kama unavyoiona na kuihisi,...NIAMINI,, maana Mimi pia sina sababu ya kukudanganya.
 
So its better kila side itoe proof zake za kisayansi na sio kusema kuwa kuna interests wanayopata wanapoaminisha watu kuwa dunia ni round angali dunia ni flat.I got u.
 
Utaambiwa Hilo ni somo lingine😄😄, mara World Order na blah blah nyingne nyingi tu.
Cha kufanya thibitisha kwamba Dunia ni tufe linalozunguka,. Hizo ishu za New World Order Wala hazihusiki kwenye kuthibitisha......

Mwaka unaisha, cha ajabu mpaka leo umeshindwa kuthibitisha:-
1. Dunia ni tufe 🌎
2. Dunia inazunguka.

Ungekua na uthibitisho usingepata shida,. ungethibitisha muda mrefu sana., TATIZO HUNA UTHIBITISHO, TATIZO HUWEZI KUTHIBITISHA.
 
Hapa kinachofanya tutofautiane ni kwamba Mmoja WETU amekariri na mwingine anatumia akili zake kutafsiri uhalisia ulivyo.

Basi niseme nimekubaliana na wewe Mpira hauna ukomo.
Siku zote unasema nimekariri naww unatumia akili😄,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…