Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Akijibu hili swali a la gravity nakubaliananae kuanzia sasa hivi.
Hawezi mkuu, Hata understanding capacity yake ipo chini mno ndio maana wengine tuliamua kumpuuza kwanza

Ni mtu ambaye hawezi kusoma maelezo ili aelewe ndio ajibu, Yeye ni mtu ambae anasoma maelezo ili ayajibu bila kujali alielewa au hakuelewa
 
Sasa kwanini mpaka leo unaruka ruka,...Mwaka unaisha na huwezi yaani umeshindwa kabisa kuthibitisha kama Dunia ni tufe na inazunguka?

Kama una uhakika 100% na unachokisema na kukiamini lete uthibitisho,..ukishindwa maana yake unadhania tu!

Sawa????
Basi nmekukubalia wewe Dunia ni Flat, Naomba ujibu kwa ufasaha maswali tunayokuuliza ili tuendelee kujifunza na kuielewa vizuri nadharia yako
 
@hateeb
GRAVITY is a name given to what we observe, labda kama neno gravity linakukereketa tafta neno lako, lkn kama unapinga the so called "GRAVITY" basi ruka juu usirudi chiniπŸ˜€. Kitendo Cha vitu kustick kwenye earth ground hata kama vitarushwa juu WATAALAM waliita GRAVITY.

Kwahy kama unataka uite jina lako lingine labda la kisukuma we ita tu hata KISHOSHA KUKAYA lakini haibadirishi observation tunayoionaπŸ˜€.
 
Mwenzako kasema Mabonde na Gravity ndiyo yanashikilia maji yasianguke away from the spinning impossi-ball,......wewe ukasema unakubaliana nae....NDIYO NIKAULIZA NI KWELI MABONDE YANAZUIA MAJI YASIANGUKE?

Au kuuliza kile mlichodai wenyewe ndiyo kosa....?

Unasema gravity ndiyo inazuia maji yasianguke away from ball-shaped earth,..haya nimekubali,. UTHIBITISHO UPO WAPI AU UNAONGEA TU?
 
Basi nmekukubalia wewe Dunia ni Flat, Naomba ujibu kwa ufasaha maswali tunayokuuliza ili tuendelee kujifunza na kuielewa vizuri nadharia yako
Umekubaliana na uhalisia kwamba Dunia ipo stationary & flat?
 
Au kuuliza kile mlichodai wenyewe ndiyo kosa....?
Unauliza maswali yasiyo na Tija, nimejibu nakubaliananae kwenye gravity au hujui kusoma? Ila swala la mabonde halina direct influence kwenye maji kustick, mfano ukiondoa mabonde na Dunia iwe smooth Bado maji yatastick lakini hakutakuwa na flow, lkn ukiondoa gravity hata mabonde yawepo maji hayawezi kustick.
 
Unasema gravity ndiyo inazuia maji yasianguke away from ball-shaped earth,..haya nimekubali,. UTHIBITISHO UPO WAPI AU UNAONGEA TU?
Thibitisha mwenyewe Ruka juu je hautarudi chini? Sasa hiyo observation ndo tunaita GRAVITY. Au wewe una allergy na neno Gravity?
 
Hawezi mkuu, Hata understanding capacity yake ipo chini mno ndio maana wengine tuliamua kumpuuza kwanza

Ni mtu ambaye hawezi kusoma maelezo ili aelewe ndio ajibu, Yeye ni mtu ambae anasoma maelezo ili ayajibu bila kujali alielewa au hakuelewa
Kwamba understanding capacity yangu ipo chini mno,.... Huenda kipimo ulichotumia kujua understanding capacity yangu ndiyo kile ulichotumia kujua kwamba Dunia inazunguka,..BASI SISHANGAI.
 
Unasema gravity ndiyo inazuia maji yasianguke away from ball-shaped earth,..haya nimekubali,. UTHIBITISHO UPO WAPI AU UNAONGEA TU?
And BTW why ww unataka uthibitishiwe while ww hata maelezo ya unachoita ILLUSION huna??πŸ˜€
 
Kwamba understanding capacity yangu ipo chini mno,.... Huenda kipimo ulichotumia kujua understanding capacity yangu ndiyo kile ulichotumia kujua kwamba Dunia inazunguka,..BASI SISHANGAI.
Ipo chini sana, kama unabisha nijibu ni nn kinafanya vitu vifall?
 
Kwamba understanding capacity yangu ipo chini mno,.... Huenda kipimo ulichotumia kujua understanding capacity yangu ndiyo kile ulichotumia kujua kwamba Dunia inazunguka,..BASI SISHANGAI.
Achana na hayo jikite kwenye kujibu maswali yetu,
Najaribu kuielewa nadharia yako
 
Thibitisha mwenyewe Ruka juu je hautarudi chini? Sasa hiyo observation ndo tunaita GRAVITY. Au wewe una allergy na neno Gravity?
Nakuuliza kuhusu Maji wewe unajibu kuhusu mimi,... Kama unakumbuka mwanzo ulisema Maji hayawezi kustick kwenye ball,... now unasema yanastick kwenye Dunia kwasababu ya gravity,..kumbuka Dunia ni ball-shaped like this 🌎 ⚽......Sasa lete uthibitisho, kusema tu kwamba gravity ndiyo inafanya maji yastick kwenye round ball haitoshi.
 
Basi chukua maji yarushe juu je hayatarudi chini? Yakirudi chini hiyo observation fact inaitwa gravity.
 
Kwahiyo mabonde hayahusiki,...Hahh
 
Basi chukua maji yarushe juu je hayatarudi chini? Yakirudi chini hiyo observation fact inaitwa gravity.
unajua kwamba miongoni mwa kanuni ya maji ili yaweze kukaa sehemu moja let's say Bahari, mto/ ziwa,..inabidi yawe Contained?

Kwa observation chukua mpira (Ball) weka Maji,....Nini kitatokea?

Kisha chukua a flattened object yenye holes ambazo unaweza kujaza maji humo,.....Nini kitatokea?
 
Kwenye kufanya maji yastick mabonde hatahusiki Bali ni Gravity. Mbn unakwepa maswali yangu? Am I a threat to you?
Sasa mwanzo ulivyokubaliana na hiyo hoja ya mabonde ulikua unawaza nini?

Hata hiyo gravity unayosema huwezi kuthibitisha inavyofanya maji yastick kwenye spinning-ball,...unazungumza kisha basi,..
 
unajua kwamba miongoni mwa kanuni ya maji ili yaweze kukaa sehemu moja let's say Bahari, mto/ ziwa,..inabidi yawe Contained?
Sawa kabisa, Sasa chukua container let say ndoo weka maji then inyanyue na uigeuze upside down, je maji yataendelea kukaa kwenye ndoo? Kumbuka hata hapo yapo kwenye container(contained).

Usichojua container inafanya maji yasiflow horizontally tu lakini Haina effect yoyote Kwa maji kustick kwenye Dunia. Ndo maana hata hapo juu nimekwambia role ya mabonde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…