Chosen Rich
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 1,467
- 989
Hawezi mkuu, Hata understanding capacity yake ipo chini mno ndio maana wengine tuliamua kumpuuza kwanzaAkijibu hili swali a la gravity nakubaliananae kuanzia sasa hivi.
Ni mtu ambaye hawezi kusoma maelezo ili aelewe ndio ajibu, Yeye ni mtu ambae anasoma maelezo ili ayajibu bila kujali alielewa au hakuelewa