The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Ntakujibu kadri niwezavyo naomba tu usome na uelewe Kwa umakini.kwa mfano kama hiyo gravitation force ina weza kuyabumba maji yasimwagike inashindwaje kuzuia miguu yetu isitembee ikiwa ni miyepesi kuliko density ya maji ya Bahari. hiyo force inalivuta jiwe kubwa kuelekea katikati ya dunia lakini imeshindwa kuyavuta mapulizo?
1. Swala la kunyanyua mguu kumbuka unatumia energy yaani unatumia force which actually must be greater than the way gravity pulls. Kwahy Force ya mguu wako inakuwa greater than Fg.
2. Swala la pulizio(Puto) ukishindwa kivutwa na gravity ni simple tu, BUOYANCE, hizi Puto zinakuwa filled with gas ambayo ni light than air around them mfano helium. Nini hasa kinatokea hapa na gravity inahusikaje?? Soma Kwa makini hapa chini!!👇
Recall: Fb=density ×Volume×g
Fb==buoyant force, g==acceleration due to gravity
Kumbuka
The buoyant force is an upward force exerted by a fluid (liquid or gas) that opposes the weight of an immersed object. In simpler terms, it's what makes things float!
Kwahy assume density ya air iwe 1.2, na density ya helium iwe 0.18. constant Volume iwe 20,
Tukifanya calculations hapo
Fb = 1.2×20×9.8= 235.2
Weight of helium = mass ×g
Mass = density×volume
=0.18×20
=3.6
Ukicompare hapo kati ya weight ambayo ni downward force na bouyant Force(upward) utaona buoyant force is greater than weight of helium thus upward movement, it's a combination of effect of density and gravity.