Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
kwa mfano kama hiyo gravitation force ina weza kuyabumba maji yasimwagike inashindwaje kuzuia miguu yetu isitembee ikiwa ni miyepesi kuliko density ya maji ya Bahari. hiyo force inalivuta jiwe kubwa kuelekea katikati ya dunia lakini imeshindwa kuyavuta mapulizo?
Ntakujibu kadri niwezavyo naomba tu usome na uelewe Kwa umakini.

1. Swala la kunyanyua mguu kumbuka unatumia energy yaani unatumia force which actually must be greater than the way gravity pulls. Kwahy Force ya mguu wako inakuwa greater than Fg.

2. Swala la pulizio(Puto) ukishindwa kivutwa na gravity ni simple tu, BUOYANCE, hizi Puto zinakuwa filled with gas ambayo ni light than air around them mfano helium. Nini hasa kinatokea hapa na gravity inahusikaje?? Soma Kwa makini hapa chini!!👇

Recall: Fb=density ×Volume×g
Fb==buoyant force, g==acceleration due to gravity

Kumbuka
The buoyant force is an upward force exerted by a fluid (liquid or gas) that opposes the weight of an immersed object. In simpler terms, it's what makes things float!

Kwahy assume density ya air iwe 1.2, na density ya helium iwe 0.18. constant Volume iwe 20,

Tukifanya calculations hapo
Fb = 1.2×20×9.8= 235.2
Weight of helium = mass ×g
Mass = density×volume
=0.18×20
=3.6
Ukicompare hapo kati ya weight ambayo ni downward force na bouyant Force(upward) utaona buoyant force is greater than weight of helium thus upward movement, it's a combination of effect of density and gravity.
 
ndio maana tunaamini kila kinachoizidi hewa uzito kitatafuta base kitue au kutulia. kuhusu kushoto au kulia, wewe mwenyewe ni shahidi hata ukiisahau ndoo tupu chini upepo ukiizidi nguvu ya kushoyo au kulia itasogea na itabaki ardhini labda ikipatikana nguvu ya upepo wa kuinyanyua ndio itaelea. jr density ya hewa na maji ipi kubwa au gravity imechagua vyakuvivuta tuu.?
Hili nimelijibu hapo juu👆
 
Unaamini mwanadamu ni kiumbe halisia ambacho hakikuumbwa jechanzo chake ni kipi.? Mtoto Mchanga au Mtu Mzima.? Namaanisha kabla ya Kuanza kuzaliana?
Kwa kumbukumbu zangu uliuliza kama Kuna kitu halosia Duniani hakijaumbwa na nilikujibu Kwa kukuuliza je wewe umeumbwa? Ulipaswa unijibu kwanza. JE WEWE UMEUMBWA?
 
Nasisitiza nipo hapa kuelimika na kuelimisha wengine, Sishindani nipate ushindi wa hoja maana imeandikwa KILA MTU ATAUCHUKUA MZIGO WAKE MWENYEWE. Na TUNAANGAMIA KWAKUKOSA MAARIFA hapa naweza kua mimi au wewe.
Nakubali kaka
 
Hoja yako niliijibu hivi. ""KUPITIA SAYANSI TUNAONA KWENYE MOVIE BOMU LIKIUA WATU WENGI, JE TUAMINI WALE WATU WANAKUFA KWELI?" ila haukunijibu kwakua ulijua namaanisha sio kwasababu sayansi inafanya kazi basi ni lazima tuiamini, bado tuna nafasi yakutumia akili zetu za kuzaliwa.
Imeshasema ni movie na perception zetu zinatuambia kabisa hayo ni maigizo, la sivyo ukiletea clip tu ya mauaji bila kuambiwa ni movie nadhani utabaki na maswali mengi.
 
Ntakujibu kadri niwezavyo naomba tu usome na uelewe Kwa umakini.

1. Swala la kunyanyua mguu kumbuka unatumia energy yaani unatumia force which actually must be greater than the way gravity pulls. Kwahy Force ya mguu wako inakuwa greater than Fg.

2. Swala la pulizio(Puto) ukishindwa kivutwa na gravity ni simple tu, BUOYANCE, hizi Puto zinakuwa filled with gas ambayo ni light than air around them mfano helium. Nini hasa kinatokea hapa na gravity inahusikaje?? Soma Kwa makini hapa chini!!👇

Recall: Fb=density ×Volume×g
Fb==buoyant force, g==acceleration due to gravity

Kumbuka
The buoyant force is an upward force exerted by a fluid (liquid or gas) that opposes the weight of an immersed object. In simpler terms, it's what makes things float!

Kwahy assume density ya air iwe 1.2, na density ya helium iwe 0.18. constant Volume iwe 20,

Tukifanya calculations hapo
Fb = 1.2×20×9.8= 235.2
Weight of helium = mass ×g
Mass = density×volume
=0.18×20
=3.6
Ukicompare hapo kati ya weight ambayo ni downward force na bouyant Force(upward) utaona buoyant force is greater than weight of helium thus upward movement, it's a combination of effect of density and gravity.
vigezo vya kuthibitisha hoja yako vimejikita darasani zaidi ambapo mimi naamini ndipo tulipodanganyiwa. kumbuka unaamini dunia ni tufe na limezungukwa na sehemu kubwa ya maji ya bahari, ndio nikahoji uzito wa maji na bado unashikiliwa na hiyo nguvu hadi hayamwagiki, ina maana maji yanazidiwa nguvu na force ya miguu kunyanyuka? nikikuwekea pipa la maji juu miguuni utaweza kulinyanyua kwa nguvu ya miguu?
 
namba2 itakua umenisoma vibaya au uandishi wangu haukuacha nafasi ya sentesi moja na nyingine. kwakukujibu sasa. kinachofanya Jua liizunguke dunia ni Nguvu iliyopo kati ya North Pole na South Pole ambayo huzalisha usumaku, naomba nikujibu kifupi ili upate kuuliza mengine yatokanayo na majibu nadhani ndio njia nzuri ya kujifunza..
North pole na south pole ziko wapi kwenye Dunia tambarare? Na kivipi hizi pole zifanye Jua lizunguke na sio huo usumaku wadunia ulivute Jua? Je nini kimeshikilia Jua like angani?
 
Na swali namba moja.. ukubwa haupungui kwa sababu hatuwezi kuliona katika umbali wa lenyewe kupungua kwakua litakua limeshapita na mwanga wake na kutuachia giza ambalo tunaseema ni usiku na kwa asubuhi tunaanza kuuona mwanga kwanza na distance ya lenyewe kunekana tayari linakua karibu na eneo letu linaloangaza so tutabaki kuliona katiaka ukubwa wake napo ni kutokana na hali ya nchi milima na mabonde.
Na ila kama utakua eneo lenye tambarare ndefu utaliona likiwa dogo kiumbo maana nafasi ya uono itaongezeka.
Kuna kitu unamiss hapa sijui Kwa makusudi, bahati mbaya au kutokuwa na uelewa. Kwanza tunakubalina kitu kikienda mbali SIZE inapungua? Kama inapungua kwann useme Jua lisipungue size? Nikuache na swali la msingi ila linahusu hili swali pia.
JE KATI YA NYOTA NA JUA KIPI KINA SIZE KUBWA NA KIPI KIPO MBALI KUTOKA TULIPO?
 
North pole na south pole ziko wapi kwenye Dunia tambarare? Na kivipi hizi pole zifanye Jua lizunguke na sio huo usumaku wadunia ulivute Jua? Je nini kimeshikilia Jua like angani?
North Pole inapatikana katikati ya dunia mpaka juu kwenye Firmanent/anga na Sourthpole nipembezoni mwa dunia palipo na kuta za barafu.
Usumaku unatokana na uwepo wa hizo Nothpole na Southpole bila hizo hakuna Usumaku.
 
jibu unalipata hivi, kila unapozidi kwenda juu Hewa inakua na nguvu kuliko chini, na kitu kitakachokua kizito kuliko hewa ya chini kitashuka chini maana ndiko palipo na hewa iliyo dhaifu kwa uzito huo. na ndio maana unaweza ukachora duara chini na ukishika jiwe mkononi ukiliachia linatua katika duara uilolichora ila ukiwa gorofani ni ngumu jiwe hilo kutua katia hilo duara hata kama upo katika usawa uleule.
hapo ni kwakua utakua juu na hewa ya huko ina nguvu kuliko ya umbali wa mkono wako so jiwe litapata changamoto ya hewa za pande zote isipokua ya chini. hapa nimewaza kwa akili zangu tuu. utanifundisha ikibidi, kinachosababisha usilenge duara ni nini na upo katika usawa ule ule?
Haya maelezo sijajua umejibu swali Gani? Rudia maelezo yangu na swali langu vizuri then unieleweshe vizuri.

Tukija kwenye jibu lako la DENSITY ndo inasababisha vitu vifall nimekuelewa vzr kabisa hujakosea but Kuna kitu kinamiss, kitu Gani? Soma Kwa makini hapa!!👇

Assume umechukua object fulani ukaiweka hewani at some distance from the ground, technically hiyo object lazima itafall si ndio? Of course yes, utasema hiyo object ni more dense than air. Swali la kujiuliza tu kwanini Downward direction ⬇️??
Kumbuka hiyo object kabla haijafall down ilikuwa imezungukwa na Air pande zote(juu, chini, na pembeni) na pande zote hizo Kuna air ambayo ni less dense than hiyo object Sasa swali Bado linabaki ni kitu Gani kinachagua direction ya chini na sio otherwise??
Maelezo yangu haya hapa👆
 
Kuna kitu unamiss hapa sijui Kwa makusudi, bahati mbaya au kutokuwa na uelewa. Kwanza tunakubalina kitu kikienda mbali SIZE inapungua? Kama inapungua kwann useme Jua lisipungue size? Nikuache na swali la msingi ila linahusu hili swali pia.
JE KATI YA NYOTA NA JUA KIPI KINA SIZE KUBWA NA KIPI KIPO MBALI KUTOKA TULIPO?
nyota ni ndogo kuliko Jua, kilicho mbali na sisi tulipo ni nyota. Nyota ni milipuko au shoti zitokeazo katika Firmanent
 
Haya maelezo sijajua umejibu swali Gani? Rudia maelezo yangu na swali langu vizuri then unieleweshe vizuri.

Maelezo yangu haya hapa👆
tuwaachie wasomaji wengine watajua nimejibu hayo maelezo yako au nimepuyanga, maana mi naona nimejibu katika swali husika labda nimekuchanganya kwakusapoti jibu langu kwa mifano
 
tunapinga gavity si term tuu ya kitendo cha vitu kudondoka chini ila kubwa ni kuzuia maji ya bahari maana tunaamini maji hutafuta base yake yenyewe na si sababu ya kuvutwa na force.
Sijakuelewa!!! unasema unapinga gravity kama term inayotumika pale vitu vinapofall down? Kama ndivyo, basi nambie ukiruka juu je hautarudi chini?

hapa mi labda nikuelewa kua kitu kuanguka chini kisayansi inatwa gravity na sio kwamba kimevutwa kalazimishwa kuja chini na nguvu yenye jina hilo.
Kwahy tunakubaliana GRAVITY ipo as a phenomenon??? Tukiachana na maelezo ya jinsi inavyo work out??
 
kuhusu kwanini Jua lisianguke chini na limeshiliwa na nini? jua limeshikiliwa/limedhibitiwa na nguvu za usumaku. (ni somo lingine kama tutakubali linazunguka kama tulionavyo) na linazunguka kwa namna ya kiuwezo wa Mungu mwenyewe katika dhana nzima ya Uumbaji wa Mungu katika vitu na Viumbe vyake kua katika shape ya No9 au kama Coil. Ndio maana Jua na Mwezi huzunguka katika Shape hiyo, na ndio tunapata majira ya mwaka.
Explain a bit more!!
 
Kuna kitu unamiss hapa sijui Kwa makusudi, bahati mbaya au kutokuwa na uelewa. Kwanza tunakubalina kitu kikienda mbali SIZE inapungua? Kama inapungua kwann useme Jua lisipungue size? Nikuache na swali la msingi ila linahusu hili swali pia.
JE KATI YA NYOTA NA JUA KIPI KINA SIZE KUBWA NA KIPI KIPO MBALI KUTOKA TULIPO?
vitu tunavyoviona vinapunggua umbo ni kwa msaada wa mwanga mwngine. ila Jua tunaliona kwa msaada wa Mwanga wake lenyewe so kuliona likibadili shape ni mpaka tuwe katika eneo kubwa sana lililo na utambarare. ila katika mazingira yetu humu mijini kwenye majimba miti na vilima inakua ngumu kido, smtimes hata kuzama na kuchomoza hatulioni zaidi ya mwanga tuu na likiwa limeshakamilika lote
 
Sijakuelewa!!! unasema unapinga gravity kama term inayotumika pale vitu vinapofall down? Kama ndivyo, basi nambie ukiruka juu je hautarudi chini?

Kwahy tunakubaliana GRAVITY ipo as a phenomenon??? Tukiachana na maelezo ya jinsi inavyo work out??
hatukubaliani ila nimekukubalia wewe. halafu kua na mtazamo wakuelimishana zaidi kuliko kukosoana. maana maswali na hoja zako unazonijibu ni kama mtu unaetaka kumlazimisha mtu akubaliane na wewe. wewe niffundishe nikiwa nina swali lijibu then kubali nikufundishe kwa uelewa nilionalo ukiwa na swali uliza.

nasema haya maana maswali yangu mengi hauyajibu zaidi unakomaa kuyahoji majibu yangu ninayokujibu wewe it means unataka mpaka nikubaliane na wewe. kumbuka elimu ya dunia tufe na mimi nimefundishwa basic yake. so nimekua nikiihoja kwa basic ya Flat Earth inayohusisha zaidi milango ya fahamu tuliyonayo.

sasa kabla hatujaendelea naomba uyajibu maswali yangu yenye alama za viulizo tangu mwanzo wa post zangu za usiku huu, maana kuna mengi umeyakwepa kwakunihoji namna ninavyokujibu. tutakesha bila kuelimishana.
 
vigezo vya kuthibitisha hoja yako vimejikita darasani zaidi ambapo mimi naamini ndipo tulipodanganyiwa. kumbuka unaamini dunia ni tufe na limezungukwa na sehemu kubwa ya maji ya bahari, ndio nikahoji uzito wa maji na bado unashikiliwa na hiyo nguvu hadi hayamwagiki, ina maana maji yanazidiwa nguvu na force ya miguu kunyanyuka? nikikuwekea pipa la maji juu miguuni utaweza kulinyanyua kwa nguvu ya miguu?
1. Iwe darasani ama lah!! Unatakiwa ukosoe Kwa hoja kwani darasani Kuna tofaut Gani na hapa tunavyojadiri??

2. Kama maji yana miguu yakinyanyua miguu yake nayo pia itanyanyuka kama ufanyavyo wewe, lkn maji hayana miguu.

3. Mfano wako wa pipa la maji kunyanyuliwa na mguu Bado unaonesha ni kiasi Gani unalack some concepts or knowledge's. Mimi kwenye maelezo yangu niliongelea gravity pull na force unayotumia kunyanyua mguu, kwahy Ili inyanyue mguu inamaana umetumia force Kubwa kuzid Ile inayokuvuta.

Kwa case ya pipa la maji, je pipa la maji linauwezo Kwa generate force lenyewe kama ww unavyoweza Kwa kunyanyua mguu? Jibu ni hapana!! Kwahy unacompare vitu ambayo havihisiani.

Na kujibu swali lako, kama nitakuwa na energy ya kutosha itakayoniwezesha kutumia force Kubwa kunyanyua ambayo itazidi weight ya Hilo pipa yes ntanyanyua. Keep in mind surface area ya miguu yangu pia inakuwa considered kuwezesha kuhold Hilo pipa.
 
Explain a bit more!!
naomba hili nije nalo katika post nyingine, nitajitahidi nikija nianze na hili. kwa sasa naomba nipumzike ktika uzi huu nina mambo yakuyakamiisha kabla sijajipumzisha. Nikuahidi tuu Post nitakayorudi nayo itaelezea namna jua linavyoweza kuzunguka na katika kuzunguka huko tunapataje majira ya mwaka.
 
North Pole inapatikana katikati ya dunia mpaka juu kwenye Firmanent/anga na Sourthpole nipembezoni mwa dunia palipo na kuta za barafu.
Usumaku unatokana na uwepo wa hizo Nothpole na Southpole bila hizo hakuna Usumaku.
Yes nakubali north na south pole zinafanya usumaku, Sasa swali ni kivipi zosababishe Jua lizunguke?
 
nyota ni ndogo kuliko Jua, kilicho mbali na sisi tulipo ni nyota. Nyota ni milipuko au shoti zitokeazo katika Firmanent
Sawa, kama Nyota ni ndogo kuliko Jua na zipo mbali nasisi mbona tunauwezo wa kuziona lakini Jua unasema linaenda mbali linapotea?
 
Back
Top Bottom