Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
tunazungumzia maji kuzuiwa yasimwagike katika Dunia yenye shape ya Mpira kua ni hiyo force. lakini hiyo force imeshindwa kuzuia mguu kunyanyuka. hivi na tukimwaga maji ardhini vile yanavyopotea napo hutokana na Gravity au?
 
Mimi naona nimejibu maswali yote kama Kuna kitu sijajibu sema hapa kwani Kuna shida Gani?
nitakua nayarudia pindi yakihitajika tena ila kam hautojali soma post zangu kuanzia #5492 halafu jibu yote yenye viulizo.
 
Nimeiondoa na ndio maana nimeuliza Ili unipe maelezo kwa kutumia dhana ya Dunia flat au wapi nimekosea?
 
Kaka naona umeanza siasa na ushindani sijui kwann? Kwanza nipo hapa Ili wewe unipe elimu ya Dunia flat Sasa ukitaka tena namm nianze kujibu Kwa kutumia Dunia duara naona tutakuwa tunarudi kwenye kushindana sasa. Au kama umeshindwa kutoa maelezo sio mbaya kusema hujui au kukubali kuwa hicho kitu hakimake sense kuliko kuforce kutoa majibu ambayo hata wewe hujui umeyatoa wapi.

Mfano nikikuuliza unavyosema Jua halipungui size Kwa sababu linatoa mwanga wake na vingne vinapungua size hayo maelezo umeyatoa wapi? Na nini sababu ya kuwa hivyo kwamba Kwa sabab hiki kitu kinatoa mwanga wake basi kamwe halipungui size yake, na kama hakipungui size yake Bado unaacha swali kuwa KAMA HALIPUNGUI SIZE LINAPOTEAJE SASA? AU HUJUI KAMA MNATUMIA DHANA YA PERSPECTIVE AMBAYO INAELEZEA KUWA JUA LINAPUNGUA SIZE HADI LINAPOTEA KWENYE UPEO WETU WA MACHO?
 
Sijui hapa umejibu kuhusu nini, ila swali langu lipo Clear kabisa kuwa kama unasema/mnavyosema kuwa Jua hupotea(sunset) Kwa sababu ya PERSPECTIVE, sasa ni kwann Hilo Jua huwa halipungui size Bali tunaliona kama linazama kama lilivyo na Kuna muda tunaona lipo half kama kwenye picha niliyokuwekea kabla.
Majibu yako hayapo clear Kwa kusema sababu Jua linatoa mwanga wake lenyewe nikakupa mfano kama Kuna taa ipo mbali sana let say 10km away tunaona mwanga wake japo size itakuwa imepungua lakni sasa Kwa maelezo yako haimake sense au kama vipi nipe sabab ya Jua kutoa mwanga wake ndo isababishe hivi. Na je vipi Kwa upande wa mwezi? Je nao unapungua SIZE?
 
tukikutana hapa tena nakuomba uje na sababu za kwanini baadhi ya nchi ikiwemo Uingereza hubadili majira ya saa zao kwakuyarudisha nyuma au kuyaongeza mbele masaa..
Kwanza nilifikri wewe ndo unanipa elimu ya Dunia flat au?
 
tunazungumzia maji kuzuiwa yasimwagike katika Dunia yenye shape ya Mpira kua ni hiyo force. lakini hiyo force imeshindwa kuzuia mguu kunyanyuka. hivi na tukimwaga maji ardhini vile yanavyopotea napo hutokana na Gravity au?
Jaribu kusoma maelezo yangu na uyaelewe vzr. Wewe kinachokuchanganya ni nini hapo? Mguu unaunyanyua umetumia force kuunyanyua je maji yanaweza kunyanyuka yenyewe?

Yaani nikupe mfano wa sumaku, assume hiyo sumaki inase vipande vya bati(chembe chembe)je huwezi kuvitoa kwenye sumaku?

Swala la kumwaga maji ardhi yakapotea ndio ni role ya gravity pia.
 
KWAKUTUMIA AKILI ZAKO NA MILANGO YAKO YA FAHAMU Je Unajiona upo katika umbo gani la dunia, je Jua linaonekana likimove au limesimama? je unahisi Dunia inazunguka au imetulia?
Kwa milango yangu ya fahami siwezi kuona umbo la Dunia Kwasababu siwezi kuona Dunia yote katika 3D lakn naona part ndogo tu ya Dunia nilipo.

Kuhusu Jua kumove au kusimama kiuhalisia siwezi na sijawah kuona Jua linajongea Bali naona effect tu kuwa Jua halipo kwenye position lililokuwepo, kwahy Kwa mantiki hiyo Kwa kutumia milango ya fahamu naweza kusema Jua limemove lakini haimaanishi huo ndo uhalisia, unaweza kuwa kweli au si kweli.

Kuhusu Dunia kuzunguka au kutulia Kwa milango yangu ya fahamu naona tupo stationary lakini pia haimaanishi ndio uhalisia inaweza kuwa kweli au kinyume chake.
 
Hili swali naimani sio langu na sipendi mada kama hizi napenda kuongelea vitu kama hivi.
 
Hili nimeshalijibu👇👇 na mwishoni nilikuuliza swali naona wewe hukunijibu



Hapa pia nimeelezea kama hapo juu kuhusu density na inavyofanya kazi.

Kuhusu kati ya density ya hewa na ya maji ipi Kubwa jibu ni ya maji ni Kubwa kuliko ya hewa 1000kg/m³ na hewa ni 1.225kg/m³.

Usichoelewa ww ni kuwa hata hiyo hewa pia inavutwa lakini resultant force inayopatika ndo inafanya ielee angani.
 
Unaamini mwanadamu ni kiumbe halisia ambacho hakikuumbwa jechanzo chake ni kipi.? Mtoto Mchanga au Mtu Mzima.? Namaanisha kabla ya Kuanza kuzaliana?
Sipendi kuongelea mambo ya kuamini, maana nikikwambia nachoamini tunaweza tusielewane, Mimi nilijibu swali lako vzr tu Kwa kukuuliza je wewe umeumbwa? Na hujanijibu mapka sasa sijui unaogopa? Maana uliniuliza kama Kuna kitu halosiaeambacho hakijaumbwa.
 
NkumbiSon hapa hukunipa majibu
 
jibu unalipata hivi, kila unapozidi kwenda juu Hewa inakua na nguvu kuliko chini, na kitu kitakachokua kizito kuliko hewa ya chini kitashuka chini maana ndiko palipo na hewa iliyo dhaifu kwa uzito huo.
Kwann hewa inakuwa na nguvu huko juu? Ni nini sababu ya hiyo nguvu au inatokea wapi? Na kwann hiyo nguvu iwe kuelekea chini na sio any other direction?
na ndio maana unaweza ukachora duara chini na ukishika jiwe mkononi ukiliachia linatua katika duara uilolichora ila ukiwa gorofani ni ngumu jiwe hilo kutua katia hilo duara hata kama upo katika usawa uleule.

hapo ni kwakua utakua juu na hewa ya huko ina nguvu kuliko ya umbali wa mkono wako so jiwe litapata changamoto ya hewa za pande zote isipokua ya chini. hapa nimewaza kwa akili zangu tuu.
Kwahy hapo ni fikra zako tu? Embu tuachane na majibu ya unavyowaza maana hayana ushahidi wowote naww hapo huyaamini.
utanifundisha ikibidi, kinachosababisha usilenge duara ni nini na upo katika usawa ule ule?
Simply ni Air resistance kama hakuna air resistance hiyo object lazima itue ulipokusidia
 
NkumbiSon hapa nilikupa majibu ukasema natumia vya darasani, kwani si nimeelezea DENSITY unayoisema kuwa ndo sababu ya vitu kufall? Kama unamaelezo tofaut na haya kuhusu jinsi DENSITY inavyosababisha vitu vifall ilete usikomee kujibu simple kama hivyo.
 
Hapa nilikujibu👇
 
Sasa Muongo atakua nani kati ya yule anaetetea kudanganywa na anaeutetea ukweli auoonae kwa macho yake mwenyewe.?
Kwanza ondoa dhana ya kwamba nadanganywa nipe elimu yako kwanza then ndo uje useme nadanganywa je kama ww ndo unanidanganya?
 
Safi, huko kwenye gravity ni force Bado hatujafika. Kwahy mpaka Sasa tuko pamoja kuwa Gravity ipo au utaamua ww utakavyoiita kama unaona neno Gravity linakutatiza???
NkumbiSon si tumekubaliana mpk Sasa kuwa Gravity ipo? Ila jinsi gravity inavyofanya kazi ndo hatujafika ama?
 
Naomba nimsaidie kujibu hilo swali la kuumbwa..,, Jibu ni NDIYO,. "NIMEUMBWA"

Logically,..kama una hakika hujajiumba mwenyewe,..That ,means ni hakika umeumbwa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…