Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Kama ni hivyo na unaamini sikukujibu Nakubaliana na wewe Mimi ni Muongo na Ushindi nakupa wewe. kwahiyo nakubalia na wewe Mimi sio Binadamu na kuanzia sasa. sintoendelea na majibizano na wewe. UMESHINDA..!!
Acha kujitoa akili kaka😀😀, kwhy nikisema Mimi sijala inamaana binadamu wote wa Dunia nzima pia hawajala Kwa sababu tu Mimi pia ni binadamu??

Binadamu wa kwanza Adamu na Eva ndio waliumbwa wengine waliofata hawajaumbwa ikiwemo Mimi naww. Au unataka kusema Mungu Bado anafanya uumbaji??
 
Kama ni hivyo na unaamini sikukujibu Nakubaliana na wewe Mimi ni Muongo na Ushindi nakupa wewe.
Halafu sio kwamba nasema we ni uongo kisa hukunijibu Bali nasema we muongo Kwa kusema me nilijibu "mwanadamu hajaumbwa" kitu ambacho sio kweli mbona unapindisha??

Haya ndo maelezo yako ya uongo nayoyasema
unakumbuka tulipoanzia lakini. nilikuuliza kuna kitu gani cha asili hapa duniani ambacho hakijaumbwa? ukajibu mwanadamu.
Ambapo ushahidi ya kuwa wewe umeongea uongo huu hapa👇

Kwahy usitake kupindisha
 
ukisema mimi silagi na ninaishi hapo utakua umejumlisha binadamu wote kama vile kusema mimi nimeumbwa.
mifano mingine inakushushia hadhi yako ya kufikiria. maana ni sawa na kusema magari hayatengenezwi ila yanajitengeneza kwasababu viwanda vina marobot
 
Sawa Mkuu. Uko Sahihi!!
 
@hateeb NkumbiSon
Nipo nasubiri Elimu ya Dunia flat NkumbiSon usikimbilie kwenye kichaka Cha kwamba mm nabishana Bali nataka unielezee. Au nambie ni wapi umenijibu haya maswali.
Na hili👇

@hateeb NkumbiSon
Nipo nasubiri Elimu ya Dunia flat NkumbiSon usikimbilie kwenye kichaka Cha kwamba mm nabishana Bali nataka unielezee. Au nambie ni wapi umenijibu haya maswali.

Na hili👇
Umeandika hiyo Elimu unayo sasa unakitakaje kitu ulichonacho na ukaona hakikupi uhakika, hapa unataka KUBISHANA tuu mimi siwezi maana sio mbishi.
 
Hapa pia umepindisha swali langu😀, sijui Kwa makusudi ama huna kumbukumbu?
Acha kujitoa akili kaka😀😀, kwhy nikisema Mimi sijala inamaana binadamu wote wa Dunia nzima pia hawajala Kwa sababu tu Mimi pia ni binadamu??
Swali langu kama linavyosomeka hapo juu nimesema nikisema "Mimi sijala" je itamaanisha binadamu wote hawajala? Na sio kama ulivyosema hapo juu.

Na hata kwenye huo mfano wako pia Bado haimaanishi Mimi nikisema hivyo "huwa silagi na ninaishi" itamaanisha binadamu wote huwa hawali.
 
Kwahiyo Dunia ndio haiwezi kuzunguka kwa uwezo wa Mungu mwenyewe 😁
 
Umeandika hiyo Elimu unayo sasa unakitakaje kitu ulichonacho na ukaona hakikupi uhakika, hapa unataka KUBISHANA tuu mimi siwezi maana sio mbishi.
Hahahaa!! Je wewe Elimu ya Dunia Duara unayo na unaihoji lakini sijakwambia unataka KUBISHANA, au nimefanya kosa kijifunza ELIMU yako? Unataka iwe ya peke yako?
 
Logarithm
 
Umeandika hiyo Elimu unayo sasa unakitakaje kitu ulichonacho na ukaona hakikupi uhakika, hapa unataka KUBISHANA tuu mimi siwezi maana sio mbishi.
Halafu ndugu yangu usipende kukimbilia nabishana, Mimi nachotaka ni unipe majibu tu, kwann hutaki kunipa majibu?
 
mifano mingine inakushushia hadhi yako ya kufikiria. maana ni sawa na kusema magari hayatengenezwi ila yanajitengeneza kwasababu viwanda vina marobot
Hakuna mahali mfano wangu umenishushia hadhi.

Mfano wako wa magari embu uweke kwenye uumbaji uone kama utaendana? Automatically magari yanatengenezwa from scratch Kwa msaada wa marobot na uwepo wa controllers(binadamu).

And still hujajibu swali langu ww UMEUMBWA??? Mbona unazunguka??
 
Sasa nimeelewa tunapopishania.. ni hivi uwezo wako wakunielewa mimi ni mdogo. pili mimi sikujibu direct na swali au hoja yako kwakua napenda utumie tafakari kulipata jibu la kile ulichouliza.

ni kweli nimejibu ulichouliza tofauti na majibu uliyoyataka wewe. ukisema mimi sijala hapo tutadeal na wewe kama wewe kupitia jina lako. the celebrity hajala.

sasa mimi nikajibu, kama ukisema silagi hapo utakua umejumlisha binadamu wote maana tutasema ni kitu kisichowezekana.

ndio narudi kwako, ulipouliza kua je mimi nimeumbwa? hapo nilichoelewa ni mimi kama binadamu na jibu lake ni ndio. kwasababu natokana na chanzo cha binaadam kuumbwa. kipi sasa ambacho sikukijibu. au kwavile nilikujibu kwa mfumo wa swali la kati ya kichanga na mtu mzima binaadam alianzia wapi? Mbona hili haulijibu.
 
Halafu ndugu yangu usipende kukimbilia nabishana, Mimi nachotaka ni unipe majibu tu, kwann hutaki kunipa majibu?
Mi ndio nakwambia Upo hapa Kubishana maana tayari unachokiuliza una elimu nacho na haukiamini
 
kama unaamini mimi nazunguka kukujibu, acha niamini, uwezo wako wa kunielewa mimi ni mdogo. Asante kwa muda wako kama ni Ushindi nimekupa muda tuu au hadi Makombe?
 
Sisi pia tumeumbwa maana hata huo mfumo wa kuzaliana lengo ni kuendeleza Uumbaji........ Yaani sawa na wewe ufanye innovation ya product mpya then utengeneze mfumo unaowezesha ku recreate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…