Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Nilikuuliza simple question tu ukiruka utarudi chini ama la? Naomba nijibu.
 
Hili swali sijui unataka nikujibu mara ngapi? Na nadhani hujui Gravity inavyoelezewa na ndio tatizo lako

Nilikuambia gravity Ina ACT towards the center of the earth. Sasa ukisema uchukue maji uweke kwenye Mpira hapo kumbuka MPIRA na hayo MAJI vyote vinavutwa na gravity to the ground kwahy Kwa case hiyo maji pamoja na Mpira vitafall down.

Lakini Kwa case ya Dunia ipo kwenye space na Ina attract hayo maji towards its center, Sasa ulitaka yamwagike Kwa kuvutwa na force Gani tena?

Shida yako ni concept ya GRAVITY.

Kama hutaki au hukubaliani na haya maelezo basi naomba maelezo yako labda yatakuwa na mantiki zaidi then tukaelewana.
 
Hujajibu swali nililokuuliza lakini,.....usisahau

Mimi nakujibu hapa,...Nikiruka Juu, Nitarudi chini.
Swali lako nimelijibu na nimelijibu tena hapo juu.

Sasa hiyo observation ya wewe kuruka na kurudi chini Wanasayansi waliita GRAVITY.
Just a phenomenon. Ila maelezo juu ya GRAVITY ndo inaitwa Theory na zipo Theory mbili zinazoelezea gravity. Newton gravity na Einstein.

Kama umenielewa naimani mpk tunakubaliana kuwa gravity ipo? Bado unakataa?
 
Hujanielewa,.. ili niamini kama kweli gravity inaweza kuzuia maji yasi fall away from running ball-shaped earth,..inatakiwa ulete uthibitisho kusema tu "gravity" haitoshi.

Uthibitisho ndiyo kitu nilichokuomba,.. inawezekana nikaupata?
 
Unaposema ushahidi unamaanisha ushahidi wa namna Gani embu nisaidie hapo?🤔

Kwa sababu sijaishia tu kusema ni GRAVITY Bali nimekuelezea na jinsi inavyofanya kazi.
Kama unaona maelezo yangu hayafai naomba unielezee Kwa maelezo yako tafadhali.
 
Yap,.kama kitendo cha kuruka na kurudi chini ndiyo tunaita GRAVITY,...nakubaliana na wewe gravity ipo.............ninachopinga ni kuihusisha gravity kwenye vitu ambavyo tunashindwa kuweka uhalisia wake,..kwa mfano ukisema Maji hayawezi kustick kwenye Dunia tufe without the help of gravitational force,...unatakiwa uthibitishe kuhusu hilo huwezi ukasema tu kwamba ni kweli more than 70% ya dunia tufe ipo covered na maji lakini maji yanastick kwenye Dunia tufe kwa kushikiliwa na gravity,,..UTHIBITISHO UPO WAPI?

Zingatia kwamba maji ni very fluid,...sasa thibitisha how gravity inayashikilia maji kwenye dunia yenye umbo la tufe (which means its not contained).
 
Unaposema ushahidi unamaanisha ushahidi wa namna Gani embu nisaidie hapo?🤔

Kwa sababu sijaishia tu kusema ni GRAVITY Bali nimekuelezea na jinsi inavyofanya kazi.
Kama unaona maelezo yangu hayafai naomba unielezee Kwa maelezo yako tafadhali.
Naamini unajua kwamba maelezo sio uthibitisho......

Unaweza ukaweka japo ushahidi wa real video inayoonyesha jinsi maji yanavyostick kwenye Dunia tufe inayozunguka......... I mean kama hiyo scenario ni observable & testable fanya namna tuthibitishe kwasababu maelezo pekee hayawezi kuthibitisha kuhusu hili.
 
Yap,.kama kitendo cha kuruka na kurudi chini ndiyo tunaita GRAVITY,...nakubaliana na wewe gravity ipo..........
Sasa kaka, kama unakubaliana namm kuwa gravity ipo na ndio inafanya wewe ukiruka urudi chini, je unauthibitisho Gani kwenye Hilo ?

The same way ambayo wewe ukiruka unarudi chini Kwa sabab ya gravity ndio same way hiyo hiyo hata Kwa maji.
Kwani kati yamaji yaliyo kwenye bahari na Dunia kipi kizito? Yaani maji ya bahari au Dunia?
Zingatia kwamba maji ni very fluid,...sasa thibitisha how gravity inayashikilia maji kwenye dunia yenye umbo la tufe (which means its not contained).
As long as ni matter na yana uzito(mass) yatakuwa attracted same way kama wewe unavyokuwa attracted regardless of their state of matter(liquid, solid or gases)
 
Okay, kama unataka uthibitisho wa aina hiyo Mimi Sina. Sasa naomba unipe wa kwako uliosema wa DENSITY uniletee kavideo tuone jinsi DENSITY inavyofanya vitu vifall na maji yastick kwenye Dunia duara.
 
Sasa kaka, kama unakubaliana namm kuwa gravity ipo na ndio inafanya wewe ukiruka urudi chini, je unauthibitisho Gani kwenye Hilo ?
That's an observable phenomena(hence, NI UTHIBITISHO),.. ukiruka juu utarudi chini ukielezea gravity kwa style hiyo siwezi kukupinga....
Binadamu anaweza kustick kwenye object ambayo ipo round (lets say mpira 🌎 ).........ila maji kwa kuwa ni kimiminika hayawezi kustick kwenye object ambayo ni ball-shaped.

Mfano umeona hii picha hapa chini,..kama Dunia ikiwa na umbo la aina hii,....maji yatastick vipi without dispersing away from the ball-shaped earth?
 
That's an observable phenomena(hence, NI UTHIBITISHO),.. ukiruka juu utarudi chini ukielezea gravity kwa style hiyo siwezi kukupinga....
Kwahy unakubali kwenye round ball yenye gravity(Dunia) unaweza kuruka na kurudi chini hata kama upo juu au chini ya huo Mpira?
 
Mfano umeona hii picha hapa chini,..kama Dunia ikiwa na umbo la aina hii,....maji yatastick vipi without dispersing away from the ball-shaped earth?
Kwani wewe kilichokufanya uruke na urudi chini ni Kwa sababu ni sold au ni gravity?
 
Kwahy unakubali kwenye round ball yenye gravity(Dunia) unaweza kuruka na kurudi chini hata kama upo juu au chini ya huo Mpira?
Swali lako siwezi kulijibu direct,. kwasababu mimi binafsi sijawahi kujiona kwamba nipo chini ya Dunia........

Muda wote tunajiona tupo above earth's surface,.. nikisema nifanye assumption kwamba nipo chini ya Dunia itakua nime imagine kitu ambacho sijawahi feel.
 
hateeb10
Nimekuomba unipe uthibitisho wewe(wa video kama unavyodai) naona hunipi.

Na labda nikuulize tu THEORETICALLY tukiwa neglect gravity ya dunia tu assume Mpira upo space na una gravity inayovuta vitu vyote vyenye mass towards it. Je, maji yataweza kustick kwenye Mpira wa namna hiyo? THEORETICALLY??
 
Okay vzr, sasa naomba nipate maelezo kutoka kwako, au uthibitisho (video) kutoka kwako juu ya kwann vitu vinafall, na lile swala lako la ILLUSION na REFRACTION kama hutojali
 
Kwani wewe kilichokufanya uruke na urudi chini ni Kwa sababu ni sold au ni gravity?
Unachotakiwa uelewe ni kwamba ni rahisi kwa binadamu kustick in any ball-shaped object kuliko maji......so case ya kuruka ama kutoruka haihusiani kabisa na ishu ya kustick.
 
Video inayothibitisha nini,...

Nikijibu swali lako,.. Ndiyo, Theoretically tunaweza kusema yatastick....but we have to show that practically.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…