Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Nilikuambia Grvaity ipo exaggarated,.. ukiona kitu huwezi kuelezea unasingizia gravity,.... kwa mfano nilikuuliza Maji yanaweza kustick kwenye object ambayo ipo round kama mpira,,.ukajibu maji hayawezi kustick kwenye object yenye umbo hilo yatamwagika,........Unakumbuka si ndiyo
Nilikuuliza simple question tu ukiruka utarudi chini ama la? Naomba nijibu.
 
Then,. nikakuambia kwamba kwa mantiki hiyo kwa kuwa unaamini Dunia ni round basi tuhitimishe kwamba hayawezi kustick,..ukasema hapana kwenye Dunia gravity inashikilia maji yasimwagike,...hapo ndiyo exaggaration of gravity ilipoanzia,... kama kweli gravity inaweza kufanya running water to stick and not fall away from the running ball,.LETE UTHIBITISHO!
Hili swali sijui unataka nikujibu mara ngapi? Na nadhani hujui Gravity inavyoelezewa na ndio tatizo lako
GRAVITY is a name given to what we observe, labda kama neno gravity linakukereketa tafta neno lako, lkn kama unapinga the so called "GRAVITY" basi ruka juu usirudi chini😀. Kitendo Cha vitu kustick kwenye earth ground hata kama vitarushwa juu WATAALAM waliita GRAVITY.

Kwahy kama unataka uite jina lako lingine labda la kisukuma we ita tu hata KISHOSHA KUKAYA lakini haibadirishi observation tunayoiona😀.

Nilikuambia gravity Ina ACT towards the center of the earth. Sasa ukisema uchukue maji uweke kwenye Mpira hapo kumbuka MPIRA na hayo MAJI vyote vinavutwa na gravity to the ground kwahy Kwa case hiyo maji pamoja na Mpira vitafall down.

Lakini Kwa case ya Dunia ipo kwenye space na Ina attract hayo maji towards its center, Sasa ulitaka yamwagike Kwa kuvutwa na force Gani tena?

Shida yako ni concept ya GRAVITY.

Kama hutaki au hukubaliani na haya maelezo basi naomba maelezo yako labda yatakuwa na mantiki zaidi then tukaelewana.
 
Hujajibu swali nililokuuliza lakini,.....usisahau

Mimi nakujibu hapa,...Nikiruka Juu, Nitarudi chini.
Swali lako nimelijibu na nimelijibu tena hapo juu.

Sasa hiyo observation ya wewe kuruka na kurudi chini Wanasayansi waliita GRAVITY.
Just a phenomenon. Ila maelezo juu ya GRAVITY ndo inaitwa Theory na zipo Theory mbili zinazoelezea gravity. Newton gravity na Einstein.

Kama umenielewa naimani mpk tunakubaliana kuwa gravity ipo? Bado unakataa?
 
Hili swali sijui unataka nikujibu mara ngapi? Na nadhani hujui Gravity inavyoelezewa na ndio tatizo lako

Nilikuambia gravity Ina ACT towards the center of the earth. Sasa ukisema uchukue maji uweke kwenye Mpira hapo kumbuka MPIRA na hayo MAJI vyote vinavutwa na gravity to the ground kwahy Kwa case hiyo maji pamoja na Mpira vitafall down.

Lakini Kwa case ya Dunia ipo kwenye space na Ina attract hayo maji towards its center, Sasa ulitaka yamwagike Kwa kuvutwa na force Gani tena?

Shida yako ni concept ya GRAVITY.

Kama hutaki au hukubaliani na haya maelezo basi naomba maelezo yako labda yatakuwa na mantiki zaidi then tukaelewana.
Hujanielewa,.. ili niamini kama kweli gravity inaweza kuzuia maji yasi fall away from running ball-shaped earth,..inatakiwa ulete uthibitisho kusema tu "gravity" haitoshi.

Uthibitisho ndiyo kitu nilichokuomba,.. inawezekana nikaupata?
 
Unaposema ushahidi unamaanisha ushahidi wa namna Gani embu nisaidie hapo?🤔

Kwa sababu sijaishia tu kusema ni GRAVITY Bali nimekuelezea na jinsi inavyofanya kazi.
Kama unaona maelezo yangu hayafai naomba unielezee Kwa maelezo yako tafadhali.
 
Swali lako nimelijibu na nimelijibu tena hapo juu.

Sasa hiyo observation ya wewe kuruka na kurudi chini Wanasayansi waliita GRAVITY.
Just a phenomenon. Ila maelezo juu ya GRAVITY ndo inaitwa Theory na zipo Theory mbili zinazoelezea gravity. Newton gravity na Einstein.

Kama umenielewa naimani mpk tunakubaliana kuwa gravity ipo? Bado unakataa?
Yap,.kama kitendo cha kuruka na kurudi chini ndiyo tunaita GRAVITY,...nakubaliana na wewe gravity ipo.............ninachopinga ni kuihusisha gravity kwenye vitu ambavyo tunashindwa kuweka uhalisia wake,..kwa mfano ukisema Maji hayawezi kustick kwenye Dunia tufe without the help of gravitational force,...unatakiwa uthibitishe kuhusu hilo huwezi ukasema tu kwamba ni kweli more than 70% ya dunia tufe ipo covered na maji lakini maji yanastick kwenye Dunia tufe kwa kushikiliwa na gravity,,..UTHIBITISHO UPO WAPI?

Zingatia kwamba maji ni very fluid,...sasa thibitisha how gravity inayashikilia maji kwenye dunia yenye umbo la tufe (which means its not contained).
 
Unaposema ushahidi unamaanisha ushahidi wa namna Gani embu nisaidie hapo?🤔

Kwa sababu sijaishia tu kusema ni GRAVITY Bali nimekuelezea na jinsi inavyofanya kazi.
Kama unaona maelezo yangu hayafai naomba unielezee Kwa maelezo yako tafadhali.
Naamini unajua kwamba maelezo sio uthibitisho......

Unaweza ukaweka japo ushahidi wa real video inayoonyesha jinsi maji yanavyostick kwenye Dunia tufe inayozunguka......... I mean kama hiyo scenario ni observable & testable fanya namna tuthibitishe kwasababu maelezo pekee hayawezi kuthibitisha kuhusu hili.
 
Yap,.kama kitendo cha kuruka na kurudi chini ndiyo tunaita GRAVITY,...nakubaliana na wewe gravity ipo..........
Sasa kaka, kama unakubaliana namm kuwa gravity ipo na ndio inafanya wewe ukiruka urudi chini, je unauthibitisho Gani kwenye Hilo ?

ninachopinga ni kuihusisha gravity kwenye vitu ambavyo tunashindwa kuweka uhalisia wake,..kwa mfano ukisema Maji hayawezi kustick kwenye Dunia tufe without the help of gravitational force,...unatakiwa uthibitishe kuhusu hilo huwezi ukasema tu kwamba ni kweli more than 70% ya dunia tufe ipo covered na maji lakini maji yanastick kwenye kwenye Dunia tufe kwa kushikiliwa na gravity,,..UTHIBITISHO UPO WAPI?
The same way ambayo wewe ukiruka unarudi chini Kwa sabab ya gravity ndio same way hiyo hiyo hata Kwa maji.
Kwani kati yamaji yaliyo kwenye bahari na Dunia kipi kizito? Yaani maji ya bahari au Dunia?
Zingatia kwamba maji ni very fluid,...sasa thibitisha how gravity inayashikilia maji kwenye dunia yenye umbo la tufe (which means its not contained).
As long as ni matter na yana uzito(mass) yatakuwa attracted same way kama wewe unavyokuwa attracted regardless of their state of matter(liquid, solid or gases)
 
Unaweza ukaweka japo ushahidi wa real video inayoonyesha jinsi maji yanavyostick kwenye Dunia tufe inayozunguka......... I mean kama hiyo scenario ni observable & testable fanya namna tuthibitishe kwasababu maelezo pekee hayawezi kuthibitisha kuhusu hili.
Okay, kama unataka uthibitisho wa aina hiyo Mimi Sina. Sasa naomba unipe wa kwako uliosema wa DENSITY uniletee kavideo tuone jinsi DENSITY inavyofanya vitu vifall na maji yastick kwenye Dunia duara.
 
Sasa kaka, kama unakubaliana namm kuwa gravity ipo na ndio inafanya wewe ukiruka urudi chini, je unauthibitisho Gani kwenye Hilo ?
That's an observable phenomena(hence, NI UTHIBITISHO),.. ukiruka juu utarudi chini ukielezea gravity kwa style hiyo siwezi kukupinga....
The same way ambayo wewe ukiruka unarudi chini Kwa sabab ya gravity ndio same way hiyo hiyo hata Kwa maji.
Kwani kati yamaji yaliyo kwenye bahari na Dunia kipi kizito? Yaani maji ya bahari au Dunia?

As long as ni matter na yana uzito(mass) yatakuwa attracted same way kama wewe unavyokuwa attracted regardless of their state of matter(liquid, solid or gases)
Binadamu anaweza kustick kwenye object ambayo ipo round (lets say mpira 🌎 ).........ila maji kwa kuwa ni kimiminika hayawezi kustick kwenye object ambayo ni ball-shaped.

Mfano umeona hii picha hapa chini,..kama Dunia ikiwa na umbo la aina hii,....maji yatastick vipi without dispersing away from the ball-shaped earth?
FALLING.jpg
 
That's an observable phenomena(hence, NI UTHIBITISHO),.. ukiruka juu utarudi chini ukielezea gravity kwa style hiyo siwezi kukupinga....
Kwahy unakubali kwenye round ball yenye gravity(Dunia) unaweza kuruka na kurudi chini hata kama upo juu au chini ya huo Mpira?
 
Mfano umeona hii picha hapa chini,..kama Dunia ikiwa na umbo la aina hii,....maji yatastick vipi without dispersing away from the ball-shaped earth?
Kwani wewe kilichokufanya uruke na urudi chini ni Kwa sababu ni sold au ni gravity?
 
Kwahy unakubali kwenye round ball yenye gravity(Dunia) unaweza kuruka na kurudi chini hata kama upo juu au chini ya huo Mpira?
Swali lako siwezi kulijibu direct,. kwasababu mimi binafsi sijawahi kujiona kwamba nipo chini ya Dunia........

Muda wote tunajiona tupo above earth's surface,.. nikisema nifanye assumption kwamba nipo chini ya Dunia itakua nime imagine kitu ambacho sijawahi feel.
 
hateeb10
Nimekuomba unipe uthibitisho wewe(wa video kama unavyodai) naona hunipi.

Na labda nikuulize tu THEORETICALLY tukiwa neglect gravity ya dunia tu assume Mpira upo space na una gravity inayovuta vitu vyote vyenye mass towards it. Je, maji yataweza kustick kwenye Mpira wa namna hiyo? THEORETICALLY??
 
Okay vzr, sasa naomba nipate maelezo kutoka kwako, au uthibitisho (video) kutoka kwako juu ya kwann vitu vinafall, na lile swala lako la ILLUSION na REFRACTION kama hutojali
 
Kwani wewe kilichokufanya uruke na urudi chini ni Kwa sababu ni sold au ni gravity?
Unachotakiwa uelewe ni kwamba ni rahisi kwa binadamu kustick in any ball-shaped object kuliko maji......so case ya kuruka ama kutoruka haihusiani kabisa na ishu ya kustick.
 
hateeb10
Nimekuomba unipe uthibitisho wewe(wa video kama unavyodai) naona hunipi.

Na labda nikuulize tu THEORETICALLY tukiwa neglect gravity ya dunia tu assume Mpira upo space na una gravity inayovuta vitu vyote vyenye mass towards it. Je, maji yataweza kustick kwenye Mpira wa namna hiyo? THEORETICALLY??
Video inayothibitisha nini,...

Nikijibu swali lako,.. Ndiyo, Theoretically tunaweza kusema yatastick....but we have to show that practically.
 
Back
Top Bottom