Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Kwa mantiki hiyo tunakubaliana kwamba weight (uzito) usipokuepo na gravity haipo?
Gravity(uvutano)
gravitational force ( nguvu ya uvutano)

Kwahy uvutano siku zote upo, ila nguvu ya uvutano Ili uipime lazima kuwe na mass.
 
hateeb10

Kukuelimisha zaidi,
mass ni measurement ya uwingi wa matter kwenye kitu. So mpaka hapo unaona uwingi wa matter Hauna uelekeo(direction)

Weight ni force ya gravity inayo act kwenye body yenye mass.
 
Hujajibu kijana me sio mjinga kiasibl hicho, mass ni scalar au vector quantity????? Jibu mbn rahisi unaogopa nn?
Oh kumbe ni swali hilo,. sikuzingatia kulijibu cause sioni kama lina affect ukweli kwamba the so called gravity is just Uzito of an object.

Haya ngoja nikujibu sasa ,. Mass ni Scalar quantity.
 
Oh kumbe ni swali hilo,. sikuzingatia kulijibu cause sioni kama lina affect ukweli kwamba the so called gravity is just Uzito of an object.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Haya ngoja nikujibu sasa ,. Mass ni Scalar quantity.
Sasa kama ni scalar quantity unasemaje inavuta vitu chini(direction)????

Na swali la pili nilikuuliza kwann weight Ina ACT downward tu?? Hukujibu pia.
 
Ww ndo umeelimika, ila Bado kidg tu.

Gravity ipo siku zote either kuwe na mass au la! Lkn gravitational force inategemea mass.
Si tumekubaliani uzito usipokuwepo na gravity haipo....au umesahau tayari?

Na kwa kukuongezea,.. uliposema Uzito ni jina lingine la gravity maana yake logically mtu akisema hakuna uzito,. that means hakuna gravity!
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Sasa kama ni scalar quantity unasemaje inavuta vitu chini(direction)????

Na swali la pili nilikuuliza kwann weight Ina ACT downward tu?? Hukujibu pia.
Kwani mimi nimesema inavuta chini?,. Weight ina act downward kwakua hiyo ni natural law kitu chenye uzito kinashuka chini always na sio kwamba kuna imaginary force inayovuta vitu chini hiyo force haipo!!

Wewe simama hapo,.. kisha inua mguu wako mmoja,. unahisi kuna force yoyote inayouvuta huo mguu chini?
 
Si tumekubaliani uzito usipokuwepo na gravity haipo....au umesahau tayari?

Na kwa kukuongezea,.. uliposema Uzito ni jina lingine la gravity maana yake logically mtu akisema hakuna uzito,. that means hakuna gravity!
Nililekebisha maana ulielewa vibaya, nimesema uzito(weight) ni jina lingine(nikimaanisha hakuna tofauti) la gravitational force.

Note: nilichorekebisha instead of gravity weka gravitational force, na nimekueleweaha hapo juu kuhusu hili.
 
Mfano wako sio relevant na mada husika,.. Dunia umeshindwa kuthibitisha kwamba Ina move,...ila Ndege unaweza ukathibitisha kwa njia nyingi tu.

Thibitisha tu kwamba Dunia inazunguka,... usifananishe Dunia na vitu ambavyo haifanani navyo.
Acha ujinga wako ndugu,

Wewe umehusisha milango ya fahamu kuhusu utambuzi na ndio maana nmekuja na huo mfano, ambacho hujaelewa ni nini ?

Maana ya kutoa huo mfano hitimisho lake ni kuwa Dunia ina move with constant speed
 
Nililekebisha maana ulielewa vibaya, nimesema uzito(weight) ni jina lingine(nikimaanisha hakuna tofauti) la gravitational force.

Note: nilichorekebisha instead of gravity weka gravitational force, na nimekueleweaha hapo juu kuhusu hili.
Hahh sio nilielewa vibaya,.. ndiyo ukweli na uhalisia huo.

Ulikua sahihi kabisa uliposema kwamba uzito ni jina lingine la gravity,.. Ulivyosema hivyo ndiyo nikajua kumbe akili yako ipo vizuri ni changamoto tu za kukaririshwa zimeathiri uwezo wako kwa namna fulani.
 
Kwani mimi nimesema inavuta chini?,.
Ila wewe jamaaπŸ‘‡πŸ‘‡

kwa mfano chukua package ya sukari kg 10 na Kg 25 kisha kwa pamoja beba kwa mkono wa kulia na kushoto respectively,...kisha tuambie uzito upi utakua unakuvuta sana chini?

Weight ina act downward kwakua hiyo ni natural law kitu chenye uzito kinashuka chini always na sio kwamba kuna imaginary force inayovuta vitu chini hiyo force haipo!!
Sasa kitu kitashuka chini chenyewe tu, kwahy unataka kusema kitu kinaweza kumove kutoka one point to another bila force(internal or external force)?????
Wewe simama hapo,.. kisha inua mguu wako mmoja,. unahisi kuna force yoyote inayouvuta huo mguu chini?
Kusingekuwa na forcce nisingekuwa natumia nguvu kunyanyua(muscle contraction). Without gravity all bodies are weightless. We feel weighted because of gravity.

Chukua mfano ulipima weight katika maeneo tofauti tofauti, majibu yatakuja tofaut japo tofaut itakuwa ndogo unajua kwann??
 
Hahh sio nilielewa vibaya,.. ndiyo ukweli na uhalisia huo.
Nimekuelewesha tayari hapa
Ulikua sahihi kabisa uliposema kwamba uzito ni jina lingine la gravity,.. Ulivyosema hivyo ndiyo nikajua kumbe akili yako ipo vizuri ni changamoto tu za kukaririshwa zimeathiri uwezo wako kwa namna fulani.
Nadhani umenielewa,, jibu maswali yangu sasa
 
Acha ujinga wako ndugu,

Wewe umehusisha milango ya fahamu kuhusu utambuzi na ndio maana nmekuja na huo mfano, ambacho hujaelewa ni nini ?

Maana ya kutoa huo mfano hitimisho lake ni kuwa Dunia ina move with constant speed
Sasa kama milango ya fahamu haiwezi completely kujua kama object fulani ina move/not,. utatumia mbinu gani kujua kama ina move?

Au tuchukulie tokea uzaliwe na kizazi chenu chote mpo kwenye chombo kinacho move lakini hakuna sign yoyote inayowezesha milango ya fahamu kujua kama mna move/not,.. WEWE UTAJUAJE KAMA HIYO OBJECT INA MOVE?

Au kuuliza hivyo pia ni ujinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…