hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Nilichokisema mimi hakiharibu context ya hoja, ni kweli ukibeba vitu viwili vyenye uzito tofauti chenye uzito mkubwa kitakuelemea zaidi na kushuka chini compared na chenye uzito uzito mdogo.Msimamo sio kukosea kitu alafu ung'ang'anie, Kwa mfano ww ulikataa hujasema uzito unavuta chini, nilipokuonesha uliposema umeparuka hujajibu Kwa uoga.
Statement uliyotoa wewe ni mzizi wa hoja hii,..that's what makes the difference.