Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Mammamamaaaa!! Ndo maana nikakuuliza ni nini maana ya internal force??? Hujajibu.

Alafu nipe mifano ya internal force na jinsi inavyoathiri mazingira ya nje Kwa maana motion.
Internal force ni force ambayo inakua generated within an object/system............. mfano Object za plastic huwa zina generate elastic force,. ambapo ukiweka kitu kwenye object ya plastic kinaweza kikarushwa kwenye direction yoyote inategemea,.
 
Hahh vizuri,...kama tokea uzaliwe hujawahi kuhisi gravity ikikuvuta umejuaje kama ipo na inavuta vitu?
Lkn mm ntakujibu,

Hakuna kitu kinachoweza kumove kutoka sehem Moja kwenda nyingne kama hakuna force(either pulling force or pushing force).
 
Internal force ni force ambayo inakua generated within an object/system............. mfano Object za plastic huwa zina generate elastic force,. ambapo ukiweka kitu kwenye object ya plastic kinaweza kikarushwa kwenye direction yoyote inategemea,.
Unaona sasa!!!😀😀

Chukua hiyo plastic weka kitu bila kuapply external force uone kama itaweza kurusha kitu.
 
Labda umejibu swali lingine hili hujajibu,...👉 kama tokea uzaliwe hujawahi kuhisi gravity ikikuvuta umejuaje kama ipo na inavuta vitu?
👇👇
Lkn mm ntakujibu,

Hakuna kitu kinachoweza kumove kutoka sehem Moja kwenda nyingne kama hakuna force(either pulling force or pushing force)
Na Kwa sabab ww ni kichwa kigumu, ntakufafanulia.

Vitu vyote vinavutwa Kwa sabab sikuzote vinamove kuelekea huko chini, kama hamna force basi hakuna motion ya kitu.
 
Hahahaaaaa!! Hapa tulikuwa kwenye internal na external force twende taratibu mbona unaruka?? Jibu swali haya sio maelezo ni swali.
Object yenye internal force inaweza kurusha kitu bila hata ya uwepo wa External force,....

mfano:-
a. Tetemeko la ardhi, linatokana na internal force,.. lakini linaathiri external environment.

b. Ngumi ya binadamu, Inatokana na internal force lakini inawezekana kuathiri external environment.

Nimemaliza.
 
Okay embu tuone!!😎

Tetemeko la ardhi linatokana na external force, ukibisha nambie ni nini sababu za tetemeko la Ardhi?

Nahisi ww Bado huelewi vizuri hizi terms, katika maelezo yangu nilikueleza vizuri kabisa internal force haziwezi kusababisha movement ya kitu "as a whole" Sasa kurusha ngumi kunaweza vipi kufanya umove? Au ni nn kinamove?

Ukitumia mfano wako wa ngumi maana yake hakutakuwa na external force tena Bali zote ni internal force kama unabisha nipe mfano wa external force then utofautishe na mfano wako wa ngumi
Nimemaliza.
 
hateeb10
Sichoki kukupa madini!!

1. Tunaposema nguvu ya ndani tunamaanisha nguvu iliyo ndani ya system. Mfano wewe ni system, nguvu za ndani mfano ni contraction na relaxation ya misuli,

2. Kwahy unaposema nguvu ya nje assume tuwe mm nawewe maana yake hapo Kuna system mbili zofauti(Yaani Mimi na wewe).
ukinipiga ngumi(wewe) Mimi maana yake nguvu yako ya ndani ambayo kwangu mimi ni nguvu ya nje, Mimi ntasema ntasema nguvu ya nje imeniathiri. Na sio nguvu ya ndani.

Kwa lugha nyepesi athari za nguvu ya ndani zinatokana na nguvu iliyo kwenye system hiyo hiyo. Na athari za nguvu ya nje zinatokana na nguvu iliyo kwenye system nyingine.
 
hateeb10
Zaidi na zaidi

1. Nguvu ya ndani: Ni nguvu iliyo ndani ya mfumo huo huo. Mfano, misuli yako kukaza na kulegea ni nguvu ya ndani ndani ya mwili wako. Nguvu hii inaweza kusababisha sehemu za mwili wako kusogea (kama vile mkono, mguu, au kichwa), lakini haiwezi kusogeza kitu nje ya mwili wako bila kuingiliana nacho.

Nguvu ya nje: Ni nguvu inayotoka nje ya mfumo unaozungumziwa. Ikiwa tuna mifumo miwili (kama vile wewe na mimi), basi nguvu kutoka kwako kwenda kwangu ni nguvu ya nje kwangu mimi. Vile vile, nguvu kutoka kwangu kwenda kwako ni nguvu ya nje kwako wewe.
 
hateeb10
Sichoki kukupa madini!!

1. Tunaposema nguvu ya ndani tunamaanisha nguvu iliyo ndani ya system. Mfano wewe ni system, nguvu za ndani mfano ni contraction na relaxation ya misuli,

2. Kwahy unaposema nguvu ya nje assume tuwe mm nawewe maana yake hapo Kuna system mbili zofauti(Yaani Mimi na wewe).
ukinipiga ngumi(wewe) Mimi maana yake nguvu yako ya ndani ambayo kwangu mimi ni nguvu ya nje, Mimi ntasema ntasema nguvu ya nje imeniathiri. Na sio nguvu ya ndani.

Kwa lugha nyepesi athari za nguvu ya ndani zinatokana na nguvu iliyo kwenye system hiyo hiyo. Na athari za nguvu ya nje zinatokana na nguvu iliyo kwenye system nyingine.
Haya sio madini ni kujitetea,.. tulia upate shule.
 
Okay embu tuone!!😎

Tetemeko la ardhi linatokana na external force, ukibisha nambie ni nini sababu za tetemeko la Ardhi?

Nahisi ww Bado huelewi vizuri hizi terms, katika maelezo yangu nilikueleza vizuri kabisa internal force haziwezi kusababisha movement ya kitu "as a whole" Sasa kurusha ngumi kunaweza vipi kufanya umove? Au ni nn kinamove?

Ukitumia mfano wako wa ngumi maana yake hakutakuwa na external force tena Bali zote ni internal force kama unabisha nipe mfano wa external force then utofautishe na mfano wako wa ngumi
Wewe aliyekudanganya kwamba tetemeko la ardhi linatokana na external force ni nani?............ kauli yako hii itawakatisha tamaa hata wenzako wanao ku support humu,... sasa mimi naomba ukasome vizuri kisha uje urekebishe hiyo kauli yako....

Unazidi kujiweka kwenye mazingira magumu,... Mimi nikipiga ngumi sehem mpaka hiyo sehem ikabonyea,... still utasema Internal force ya mwili wangu haiwezi kuathiri external environment...

Naona ushaanza kutoka kwenye key,..
 
Wewe aliyekudanganya kwamba tetemeko la ardhi linatokana na external force ni nani?............ kauli yako hii itawakatisha tamaa hata wenzako wanao ku support humu,... sasa mimi naomba ukasome vizuri kisha uje urekebishe hiyo kauli yako....
Nilijua tu itakuwa ngumu kwako kunielewa!!

Majengo unayoyasema ni system tofaut na tetemeko yaani tetemeko(system 1) majengo(system 2) kwahy kitendo Cha majengo kuanguka kimesababishwa na external force(tetemeko).
 
Back
Top Bottom