hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Havivutwi chini,..bali vinaanguka chini kuvutwa na kuanguka ni vitu viwili tofauti.Hahahaπππππ tuseme upo sawa,
kwahy tukirudi kwenye kauli yako ambayo ulitaka uikatae πππ na saivi umekubali.
Kwahy unakubaliana namm vitu vyenye uzito vinatutwa chini?
Ngoja nikuulize swali,. Ukishika object yenye chuma ukaelekeza sehemu yenye sumaku,.. Utahisi kuvutwa si Ndiyo?
Au ukivaa kiatu chenye soli ya chuma, Ukinyanyua mguu mmoja then uweke sumaku chini yake, Utahisi kuvutwa si ndiyo?
Huko ndio kuvutwa sasa,..