The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Wewe akili yako umegundisha GUNDI,,Unazidi kujiweka kwenye mazingira magumu,... Mimi nikipiga ngumi sehem mpaka hiyo sehem ikabonyea,... still utasema Internal force ya mwili wangu haiwezi kuathiri external environment...
Internal force haziwezi kuathiri mwendo wa hicho kitu as a whole katika mazingira ya nje.
Kumbuka tulipotokea, ulisema vitu vinashuka chini Kwa sababu ya mass yake yenyewe(yaani internal force yake)
Sasa mfano wako wa ngumi unaendana vipi na hapa?
Hoja ni kwamba mfumo wa ndani unaweza kusababisha mwendo wa hicho kitu(mfumo) as a whole?? Mpaka Sasa hujanipa mfano wa hicho kitu zaidi unatoka mfano wa jinsi external force(system 1) unavyo athiri kitu kingne(system 2)