The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Hahahaa, Sasa jibu Kwa mpangilio, kinachofanya kitu kianguke chini ni nini? 1. Density? Je density ni force mpaka isababishe movement ya kitu? 2. Weight? Je kwann weight Ina ACT downward na sio vingnevyo?Umeamua tu kuwa mbishi,....nimesema density ni miongoni mwa determinants za kitu ku fall/stay in the air,... yaani kimsingi density na weight ni factors ambazo zinategemeana,.... kwani tunaposema kitu fulani ni more/less dense than the other hujui kama na weight inakua imehusika hapo?
Hujajibu swaliπ , πWewe apart from uzito wa kitu,...ushaona external force gani inavuta kitu chini? unaweza kuthibitisha?
je Kuna uwezekano wa kitu kumove bila kuwa na applied external force??
Jibu kwanza swali hapo juuπUlisema mwenyewe kwamba tokea uzaliwe hujawahi kuhisi gravity inakuvuta,...sasa kwanini unalazimisha gravity inavuta vitu chini huoni unaonekana huna akili kulazimisha kitu ambacho ulikiri mwenyewe kwamba hakifanyi kazi ya kukuvuta?
Wewe ndo umechanganyikiwa soma hiiπHahh kijana kachanganyikiwa,.. The celebrity alithibitisha kwamba tokea azaliwe hajawahi kuhisi gravity inamvuta chini,...........nikamuambia logically kama ni hivyo maana yake gravity haipo hataki kukubali anaitetea vibaya mno,...
hateeb10 Chosen Rich Poor Brain ππ Hata yeye haelewi anaelewa nn?π .
ππ Yaani haeleweki, na yeye pia hajielewi, na haelewi kama anaelewa, sijui mnanielewa?
Si alitaka ujibu Kwa sabab ww unasema Jua lipo karibuπ π , Sasa tena unakataa kujibu kwa kutumia point yake???and thats why nikamjibu in sacarsm kwamba "Ikiwa mnadai Jua lipo 93 Million Miles away from earth,..unategemea vipi mimi nikuelezee exactly kwamba Jua lina move 1,2,3...."
ππNakukumbusha kwamba miongoni mwa vitu vya msingi ulivyokubali kwenye mjadala huu ni:-
π π1. Hujawahi kuona wala kuhisi Dunia iki move,.. so kuthibitisha huwezi
Me nimeshasoma, je ww umeshaona Dunia tambarare as a whole?2. Hujawahi kuona kwamba Dunia as a whole ni tufe,...so kuthibitisha huwezi.
Kwann vitu vinafall?? Bado huna majibu3. Tokea uzaliwe hujawahi kuhisi kuvutwa na gravity,.. So that means hakuna hicho kitu kinachovuta watu&vitu chini.
Ni kutoelewa kwako tu, athari za earthquake kwetu ni matokeo ya external force(earthquake). Lugha ngumu sana4. Na ukasema kwamba Earthquake haitokani na internal forces,..kitu ambacho ni uongo.
Ndiyo uwezekano wa kitu ku move bila ya ecternal force upo tofauti na ulivyokariri,....kitu chenye weight kina exert internal force ambayo inasababisha ukikiweka sehemu ambayo weight yake ni ndogo compared to it kita move mpaka pale itakapokutana na kitu chenye uzito kuliko kitu husika.Hujajibu swaliπ , π
Jibu kwanza swali hapo juuπ
Nipe mfanoNdiyo uwezekano wa kitu ku move bila ya ecternal force upo tofauti na ulivyokariri,....kitu chenye weight kina exert internal force ambayo inasababisha ukikiweka sehemu ambayo weight yake ni ndogo compared to it kita move mpaka pale itakapokutana na kitu chenye uzito kuliko kitu husika.
Hahh,.. hapana wakati najadiliana nae hakuna sehem tumezungumzia whether sun is local/ 93 Millions away kama inavyosemwa,.Si alitaka ujibu Kwa sabab ww unasema Jua lipo karibuπ π , Sasa tena unakataa kujibu kwa kutumia point yake???
ππππππππ Mwache celebrity wa watu mpaka sasa kashavurugwa ujue ahahahHahh kijana kachanganyikiwa,.. The celebrity alithibitisha kwamba tokea azaliwe hajawahi kuhisi gravity inamvuta chini,...........nikamuambia logically kama ni hivyo maana yake gravity haipo hataki kukubali anaitetea vibaya mno,...
Kila mtu amesoma,..hata mimi nilisoma kwamba Dunia ni tufe na inazunguka,..ila wote kwa pamoja hapa mimi na wewe tunakubaliana kwamba hakuna uthibitisho Juu ya hilo,........unakubali kwamba hatuna uthibitisho?Me nimeshasoma, je ww umeshaona Dunia tambarare as a whole?
Hahh sitaki tu kurudi nyuma,.ila kuna post yako ulisema directly kwamba earthquake inasababishwa na external forces,...... tuachane na hilo.Ni kutoelewa kwako tu, athari za earthquake kwetu ni matokeo ya external force(earthquake). Lugha ngumu sana
Nivurugwe mm tena? Au ww ndo umevurugwa?ππππππππ Mwache celebrity wa watu mpaka sasa kashavurugwa ujue ahahah
Sasa swali Gani Hilo? Uthibitisho upo, na nimeshakupa, je ww unauthibitisho?Kila mtu amesoma,..hata mimi nilisoma kwamba Dunia ni tufe na inazunguka,..ila wote kwa pamoja hapa mimi na wewe tunakubaliana kwamba hakuna uthibitisho Juu ya hilo,........unakubali kwamba hatuna uthibitisho?
Kuna maswali hujajibu hapo juuKuhusu gravity,...tumehitimisha kwamba haipo kwa kuwa tokea uzaliwe hujawahi kuhisi ikikuvuta,. kama ulivyofundishwa Shuleni...unakubali?
πππππππ Wee si umesema ujawahi hisi ukivutwa na gravityNivurugwe mm tena? Au ww ndo umevurugwa?
Hivi unaelewa kweli kaka,...Nimekuambia Density & Weight kwa pamoja zina influence kipi kiende chini na kipi kibaki juu,....Hahahaa, Sasa jibu Kwa mpangilio, kinachofanya kitu kianguke chini ni nini? 1. Density? Je density ni force mpaka isababishe movement ya kitu? 2. Weight? Je kwann weight Ina ACT downward na sio vingnevyo?
Umesema umenipa uthibitisho,...samahani sijaona huo uthibitisho.Sasa swali Gani Hilo? Uthibitisho upo, na nimeshakupa, je ww unauthibitisho?
Utashangaa anakataa,.. si ulisema hujawahi kuhisi unavutwa na gravity? The celebrity Hahhπππππππ Wee si umesema ujawahi hisi ukivutwa na gravity
Akili yake ilishashindikana, ana ulimwengu wake wa ujinga, Yani kajifungia huko na hataki kutokahateeb10 Chosen Rich Poor Brain ππ Hata yeye haelewi anaelewa nn?π .
ππ Yaani haeleweki, na yeye pia hajielewi, na haelewi kama anaelewa, sijui mnanielewa?
Sawa, na wewe nakupa nafasi weka uthibitisho kwamba Dunia ni tufe π π na Inazunguka,.... kusema mtu fulani ni mjinga haifanyi mtu huyo kuwa mjinga...Akili yake ilishashindikana, ana ulimwengu wake wa ujinga, Yani kajifungia huko na hataki kutoka