Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Umeamua tu kuwa mbishi,....nimesema density ni miongoni mwa determinants za kitu ku fall/stay in the air,... yaani kimsingi density na weight ni factors ambazo zinategemeana,.... kwani tunaposema kitu fulani ni more/less dense than the other hujui kama na weight inakua imehusika hapo?
Hahahaa, Sasa jibu Kwa mpangilio, kinachofanya kitu kianguke chini ni nini? 1. Density? Je density ni force mpaka isababishe movement ya kitu? 2. Weight? Je kwann weight Ina ACT downward na sio vingnevyo?
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Wewe apart from uzito wa kitu,...ushaona external force gani inavuta kitu chini? unaweza kuthibitisha?
Hujajibu swali😅, 👇
je Kuna uwezekano wa kitu kumove bila kuwa na applied external force??

Ulisema mwenyewe kwamba tokea uzaliwe hujawahi kuhisi gravity inakuvuta,...sasa kwanini unalazimisha gravity inavuta vitu chini huoni unaonekana huna akili kulazimisha kitu ambacho ulikiri mwenyewe kwamba hakifanyi kazi ya kukuvuta?
Jibu kwanza swali hapo juu👆
 
Hahh kijana kachanganyikiwa,.. The celebrity alithibitisha kwamba tokea azaliwe hajawahi kuhisi gravity inamvuta chini,...........nikamuambia logically kama ni hivyo maana yake gravity haipo hataki kukubali anaitetea vibaya mno,...
Wewe ndo umechanganyikiwa soma hii👇
hateeb10 Chosen Rich Poor Brain 👆👆 Hata yeye haelewi anaelewa nn?😅.

👆👆 Yaani haeleweki, na yeye pia hajielewi, na haelewi kama anaelewa, sijui mnanielewa?
 
and thats why nikamjibu in sacarsm kwamba "Ikiwa mnadai Jua lipo 93 Million Miles away from earth,..unategemea vipi mimi nikuelezee exactly kwamba Jua lina move 1,2,3...."
Si alitaka ujibu Kwa sabab ww unasema Jua lipo karibu😅😅, Sasa tena unakataa kujibu kwa kutumia point yake???
 
Nakukumbusha kwamba miongoni mwa vitu vya msingi ulivyokubali kwenye mjadala huu ni:-
😎😎
1. Hujawahi kuona wala kuhisi Dunia iki move,.. so kuthibitisha huwezi
😅😅
2. Hujawahi kuona kwamba Dunia as a whole ni tufe,...so kuthibitisha huwezi.
Me nimeshasoma, je ww umeshaona Dunia tambarare as a whole?
3. Tokea uzaliwe hujawahi kuhisi kuvutwa na gravity,.. So that means hakuna hicho kitu kinachovuta watu&vitu chini.
Kwann vitu vinafall?? Bado huna majibu
4. Na ukasema kwamba Earthquake haitokani na internal forces,..kitu ambacho ni uongo.
Ni kutoelewa kwako tu, athari za earthquake kwetu ni matokeo ya external force(earthquake). Lugha ngumu sana
 
Hujajibu swali😅, 👇

Jibu kwanza swali hapo juu👆
Ndiyo uwezekano wa kitu ku move bila ya ecternal force upo tofauti na ulivyokariri,....kitu chenye weight kina exert internal force ambayo inasababisha ukikiweka sehemu ambayo weight yake ni ndogo compared to it kita move mpaka pale itakapokutana na kitu chenye uzito kuliko kitu husika.
 
Nipe mfano
 
Si alitaka ujibu Kwa sabab ww unasema Jua lipo karibu😅😅, Sasa tena unakataa kujibu kwa kutumia point yake???
Hahh,.. hapana wakati najadiliana nae hakuna sehem tumezungumzia whether sun is local/ 93 Millions away kama inavyosemwa,.

Japo kiuhalisia mimi naona Jua halipo mbali sana na Duniani kwa distance ya 93 Millions,...
 
Hahh kijana kachanganyikiwa,.. The celebrity alithibitisha kwamba tokea azaliwe hajawahi kuhisi gravity inamvuta chini,...........nikamuambia logically kama ni hivyo maana yake gravity haipo hataki kukubali anaitetea vibaya mno,...
😀😀😀😀😀😀😀😀 Mwache celebrity wa watu mpaka sasa kashavurugwa ujue ahahah
 
Me nimeshasoma, je ww umeshaona Dunia tambarare as a whole?
Kila mtu amesoma,..hata mimi nilisoma kwamba Dunia ni tufe na inazunguka,..ila wote kwa pamoja hapa mimi na wewe tunakubaliana kwamba hakuna uthibitisho Juu ya hilo,........unakubali kwamba hatuna uthibitisho?

Ni kutoelewa kwako tu, athari za earthquake kwetu ni matokeo ya external force(earthquake). Lugha ngumu sana
Hahh sitaki tu kurudi nyuma,.ila kuna post yako ulisema directly kwamba earthquake inasababishwa na external forces,...... tuachane na hilo.

Kuhusu gravity,...tumehitimisha kwamba haipo kwa kuwa tokea uzaliwe hujawahi kuhisi ikikuvuta,. kama ulivyofundishwa Shuleni...unakubali?
 
Hahahaa, Sasa jibu Kwa mpangilio, kinachofanya kitu kianguke chini ni nini? 1. Density? Je density ni force mpaka isababishe movement ya kitu? 2. Weight? Je kwann weight Ina ACT downward na sio vingnevyo?
Ngoja nisubiri jibu la mtaalam hateeb10
 
Kila mtu amesoma,..hata mimi nilisoma kwamba Dunia ni tufe na inazunguka,..ila wote kwa pamoja hapa mimi na wewe tunakubaliana kwamba hakuna uthibitisho Juu ya hilo,........unakubali kwamba hatuna uthibitisho?
Sasa swali Gani Hilo? Uthibitisho upo, na nimeshakupa, je ww unauthibitisho?
Kuhusu gravity,...tumehitimisha kwamba haipo kwa kuwa tokea uzaliwe hujawahi kuhisi ikikuvuta,. kama ulivyofundishwa Shuleni...unakubali?
Kuna maswali hujajibu hapo juu
 
Hahahaa, Sasa jibu Kwa mpangilio, kinachofanya kitu kianguke chini ni nini? 1. Density? Je density ni force mpaka isababishe movement ya kitu? 2. Weight? Je kwann weight Ina ACT downward na sio vingnevyo?
Hivi unaelewa kweli kaka,...Nimekuambia Density & Weight kwa pamoja zina influence kipi kiende chini na kipi kibaki juu,....
Umeuliza, Je Density ni force?,...nakujibu, HAPANA DENSITY SIO FORCE,.
Kuhusu weight,.. Weight,..Yes Weight ina exert force na ni kanuni ya kiasili kitu chenye uzito zaidi kushuka chini kufuata kanuni ya kiasili (Natural law)........zingatia kwamba hakuna force yoyote inayovuta vitu chini kama ulivyokiri mwenyewe kwenye previous posts.
 
Sasa swali Gani Hilo? Uthibitisho upo, na nimeshakupa, je ww unauthibitisho?
Umesema umenipa uthibitisho,...samahani sijaona huo uthibitisho.

Naomba kwa mara ya mwisho uuweke hapa,...baada ya hapo sitokusumbua tena kuhusu uthibitisho wa Dunia kuwa tufe na kuzunguka....

Sorry sana kwa usumbufu,..weka tena uthibitisho kila mtu auone.
 
Akili yake ilishashindikana, ana ulimwengu wake wa ujinga, Yani kajifungia huko na hataki kutoka
Sawa, na wewe nakupa nafasi weka uthibitisho kwamba Dunia ni tufe 👉 🌎 na Inazunguka,.... kusema mtu fulani ni mjinga haifanyi mtu huyo kuwa mjinga...

Mwenzako kakubali kwamba gravity haipo,.. na wewe fanya research kuhusu hilo.
 
Back
Top Bottom