Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Na ndio maana tangu mwanzo nasema ww unashida kwenye FORCE
Sio kwamba nina shida kwenye force,..bali mimi sijakariri kama wewe.

Wewe unajua kwamba mwili wako una force,..unaweza kuniambia hiyo force inaitwaje?
 
From no where?
Nadhani ushaanza kunielewa sasa somo linakuingia vzr, ndo maana huna hoja za kujibu nachoandika humu.
Hahh sio kwamba sina hoja sometimes nakua na tight schedule ndiyo maana nachukua muda kujibu,...wewe unaona kuna point gani umeweka humu ambayo haiwezi kuwa questioned at all?
 
Nimekuuliza kinachofanya gravity ishindwe kuvuta vitu mpaka vifike kwenye center of the earth ni nini?

Na kama gravity haijawahi kufanikiwa kuvuta kitu chochote mpaka kikafika kwenye center of the earth,.....wewe umejuaje kama lengo la gravity ni kuvuta objects zote mpaka zifike at the center of the earth even though haijawahi kufanya hivyo?
 
Soma maelezo yako vizuri!!! Umesema chenye uzito mkubwa kitashuka chini na chenye uzito mdogo huoanda juu. Je shillingi umekaa juu ya majii?? Au umesahau maelezo yako??
Ndiyo ni sahihi chenye uzito mkubwa kitashuka chini,.. putting other factors constant (especially relative density of an objects)
 
Hujahusisha density kwenye maelezo yako!!
I thought naongea na mtu ambaye anajua kwamba density pia inahusika,..ndiyo maana sikutaka kuelezea na density jinsi inavyo play part.,

kwahiyo umekubali kwamba gravity inasingiziwa tu? haivuti kitu chochote including you tokea uzaliwe hujawahi kuhisi ukivutwa.
 
Wewe una uhakika gani kwamba kwenye flattened earth Jua linazunguka kama hiyo model uliyoweka hapo?.........Akitokea flat earther yoyote akisema Jua linazunguka kwa mtindo 1,2,3....utamuamini? na utasema huu ndiyo msimamo wa watu wote wanaosema Dunia ni flat?

Kimsingi hiyo model ni nadharia tu just an imagination na haimaanishi kwamba 100% Jua linazunguka hivyo,.
 
Sio kwamba nina shida kwenye force,..bali mimi sijakariri kama wewe.
Unapenda kukimbilia kukariri😃
Wewe unajua kwamba mwili wako una force,..unaweza kuniambia hiyo force inaitwaje?
Swali lako general sana, Kuna nguvu(Force) nyingi sana kwenye mwili wa binadamu😃:

1. Kuna nguvu ya misuli (muscular force)
2. Nguvu ya uvutano(gravitational force)
3. Nguvu ya msuguano(friction force)
4. Na nguvu ya msukumo( especially moyo/cardiac force)
N.k N.k
 
Hahh sio kwamba sina hoja sometimes nakua na tight schedule ndiyo maana nachukua muda kujibu,...wewe unaona kuna point gani umeweka humu ambayo haiwezi kuwa questioned at all?
Simple tu, just question it 😃😃, na ujibu hoja kama nimeeleza uongo.
 
Nimekuuliza kinachofanya gravity ishindwe kuvuta vitu mpaka vifike kwenye center of the earth ni nini?
Kwahy unauliza kitu nilichokielezea😃😃, unasomaga kweli ww??👇👇

Na kama gravity haijawahi kufanikiwa kuvuta kitu chochote mpaka kikafika kwenye center of the earth,.....wewe umejuaje kama lengo la gravity ni kuvuta objects zote mpaka zifike at the center of the earth even though haijawahi kufanya hivyo?
Simple tu, RADIAL direction ya movement ya vitu vinapoanguka kwenye earth surface, imagine mtu aliye North pole gravity inamvuta chini yake, pia na mtu aliye sourth pole vile vile, hata alie west na east ni the same so utagundua hiyo direction ya gravity ipo radially towards the center of the earth.
 
Ndiyo ni sahihi chenye uzito mkubwa kitashuka chini,.. putting other factors constant (especially relative density of an objects)
Sasa kwenye mfano wa maji na shillingi kipi kinauzito mkubwa🤣🤣🤣
 
Wewe una uhakika gani kwamba kwenye flattened earth Jua linazunguka kama hiyo model uliyoweka hapo?.
Si ndo maelezo yenu au? Kama sio nipe maelezo yako😃😃
........Akitokea flat earther yoyote akisema Jua linazunguka kwa mtindo 1,2,3....utamuamini?
Kwani aliesema hivyo kwenye hiyo model nimemuamini??
na utasema huu ndiyo msimamo wa watu wote wanaosema Dunia ni flat?
Wewe unamsimamo Gani?? Huo ndo msimamo wa flat Earthers otherwise ww sio flat earther
Kimsingi hiyo model ni nadharia tu just an imagination na haimaanishi kwamba 100% Jua linazunguka hivyo,.
Sasa ndo unambie ww linazungukaje Ili nikukaange vzr
 
Nimekuuliza kinachofanya gravity ishindwe kuvuta vitu mpaka vifike kwenye center of the earth ni nini?
Kwahy unauliza kitu nilichokielezea😃😃, unasomaga kweli ww??
Na kama gravity haijawahi kufanikiwa kuvuta kitu chochote mpaka kikafika kwenye center of the earth,.....wewe umejuaje kama lengo la gravity ni kuvuta objects zote mpaka zifike at the center of the earth even though haijawahi kufanya hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…