The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
From no where?ndiyo hivyo,.. kwani wewe unafikiri internal force yako inatokana na nini?
Nadhani ushaanza kunielewa sasa somo linakuingia vzr, ndo maana huna hoja za kujibu nachoandika humu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
From no where?ndiyo hivyo,.. kwani wewe unafikiri internal force yako inatokana na nini?
Sio kwamba nina shida kwenye force,..bali mimi sijakariri kama wewe.Na ndio maana tangu mwanzo nasema ww unashida kwenye FORCE
Hahh sio kwamba sina hoja sometimes nakua na tight schedule ndiyo maana nachukua muda kujibu,...wewe unaona kuna point gani umeweka humu ambayo haiwezi kuwa questioned at all?From no where?
Nadhani ushaanza kunielewa sasa somo linakuingia vzr, ndo maana huna hoja za kujibu nachoandika humu.
Nimekuuliza kinachofanya gravity ishindwe kuvuta vitu mpaka vifike kwenye center of the earth ni nini?Siasa!!😃😃
Katikati kwenye kiini Cha Dunia, kama kiini Cha yai lilivyo.
Kama unaweza kuchimba mpaka kwenye center chimba ntakuja kukuonesha mwenyewe.
Ndio!!
Ndioo
Soma maelezo yako vizuri!!! Umesema chenye uzito mkubwa kitashuka chini na chenye uzito mdogo huoanda juu. Je shillingi umekaa juu ya majii?? Au umesahau maelezo yako??
Ndiyo ni sahihi chenye uzito mkubwa kitashuka chini,.. putting other factors constant (especially relative density of an objects)Soma maelezo yako vizuri!!! Umesema chenye uzito mkubwa kitashuka chini na chenye uzito mdogo huoanda juu. Je shillingi umekaa juu ya majii?? Au umesahau maelezo yako??
I thought naongea na mtu ambaye anajua kwamba density pia inahusika,..ndiyo maana sikutaka kuelezea na density jinsi inavyo play part.,Hujahusisha density kwenye maelezo yako!!
Wewe una uhakika gani kwamba kwenye flattened earth Jua linazunguka kama hiyo model uliyoweka hapo?.........Akitokea flat earther yoyote akisema Jua linazunguka kwa mtindo 1,2,3....utamuamini? na utasema huu ndiyo msimamo wa watu wote wanaosema Dunia ni flat?MZUNGUKO WA JUA(ACCORDING TO FLAT EARTH): DEBUNK.....
View attachment 3191642
Tazama picha hapo juu👆👆, ukiangalia point iliyopo north pole(katikati kabisa) na ukiangalia orbit ya Jua (ambayo ni circular) utagundua umbali kutoka kwenye hiyo point(north pole) mpk kwenye point yoyote kwenye hiyo orbit ya Jua ni the same (RADIUS).
Sasa hoja yangu ni kwamba;
1. Kama Jua linafika kwenye hiyo point inamaanisha hakuna muda itafika kutakuwa Giza Kwa sababu Jua popote litakapokuwa kwenye orbit yake Bado umbali(RADIUS) itabaki kuwa Ile ile na angle of strike itakuwa Ile ile. So siku zote kutakuwa mchana kwenye point/eneo Hilo kitu ambacho katika uhalisia hakipo hivyo.
2. Kama Jua halifiki kwenye hiyo point inamaanisha hakuna muda kutakuwa na mwanga kwenye hiyo point, yaani siku zote kutakuwa na Giza tu, kitu ambacho katika uhalisia hakipo hivyo.
LAKINI PIA TAZAMA VIDEO HII👇👇
View attachment 3191653
Ukiangalia model juu hapo, utaona Jua na mwezi vinamove in opposite side muda wote yaan jus likiwa upande huu basi Mwezi utakuwa exactly the opposite side.
Kwa maana hiyo there is no possibility Jua na mwezi kuwa observable at the same time.
Sasa ndugu zangu, naamini wote tunakubaliana hili haliendani na uhalisia, bonafsi nimeshuhudia mara kadhaa Jua na mwezi Kwa pamoja wakati wa mchana.
View attachment 3191669
View attachment 3191673
hateeb10
Na ndivyo ambavyo Mungu pia alivyoumba.Kwa upande wangu Mimi,..Jua ndiyo linazunguka Dunia.
Unapenda kukimbilia kukariri😃Sio kwamba nina shida kwenye force,..bali mimi sijakariri kama wewe.
Swali lako general sana, Kuna nguvu(Force) nyingi sana kwenye mwili wa binadamu😃:Wewe unajua kwamba mwili wako una force,..unaweza kuniambia hiyo force inaitwaje?
Simple tu, just question it 😃😃, na ujibu hoja kama nimeeleza uongo.Hahh sio kwamba sina hoja sometimes nakua na tight schedule ndiyo maana nachukua muda kujibu,...wewe unaona kuna point gani umeweka humu ambayo haiwezi kuwa questioned at all?
Kwahy unauliza kitu nilichokielezea😃😃, unasomaga kweli ww??👇👇Nimekuuliza kinachofanya gravity ishindwe kuvuta vitu mpaka vifike kwenye center of the earth ni nini?
Simple tu, RADIAL direction ya movement ya vitu vinapoanguka kwenye earth surface, imagine mtu aliye North pole gravity inamvuta chini yake, pia na mtu aliye sourth pole vile vile, hata alie west na east ni the same so utagundua hiyo direction ya gravity ipo radially towards the center of the earth.Na kama gravity haijawahi kufanikiwa kuvuta kitu chochote mpaka kikafika kwenye center of the earth,.....wewe umejuaje kama lengo la gravity ni kuvuta objects zote mpaka zifike at the center of the earth even though haijawahi kufanya hivyo?
Sasa kwenye mfano wa maji na shillingi kipi kinauzito mkubwa🤣🤣🤣Ndiyo ni sahihi chenye uzito mkubwa kitashuka chini,.. putting other factors constant (especially relative density of an objects)
Sa mbona hueleweki😃😃👇👇I thought naongea na mtu ambaye anajua kwamba density pia inahusika,..ndiyo maana sikutaka kuelezea na density jinsi inavyo play part.,
I thought naongea na mtu ambaye anajua kwamba density pia inahusika,..ndiyo maana sikutaka kuelezea na density jinsi inavyo play part.,
Nimekubali wapi???kwahiyo umekubali kwamba gravity inasingiziwa tu? haivuti kitu chochote including you tokea uzaliwe hujawahi kuhisi ukivutwa.
Si ndo maelezo yenu au? Kama sio nipe maelezo yako😃😃Wewe una uhakika gani kwamba kwenye flattened earth Jua linazunguka kama hiyo model uliyoweka hapo?.
Kwani aliesema hivyo kwenye hiyo model nimemuamini??........Akitokea flat earther yoyote akisema Jua linazunguka kwa mtindo 1,2,3....utamuamini?
Wewe unamsimamo Gani?? Huo ndo msimamo wa flat Earthers otherwise ww sio flat eartherna utasema huu ndiyo msimamo wa watu wote wanaosema Dunia ni flat?
Sasa ndo unambie ww linazungukaje Ili nikukaange vzrKimsingi hiyo model ni nadharia tu just an imagination na haimaanishi kwamba 100% Jua linazunguka hivyo,.
Ulikuwepo kipindi anaumba hivyo???Na ndivyo ambavyo Mungu pia alivyoumba.
Kwahy unauliza kitu nilichokielezea😃😃, unasomaga kweli ww??Nimekuuliza kinachofanya gravity ishindwe kuvuta vitu mpaka vifike kwenye center of the earth ni nini?
Na kama gravity haijawahi kufanikiwa kuvuta kitu chochote mpaka kikafika kwenye center of the earth,.....wewe umejuaje kama lengo la gravity ni kuvuta objects zote mpaka zifike at the center of the earth even though haijawahi kufanya hivyo?
Ndio nilikuwepo.Ulikuwepo kipindi anaumba hivyo???
Leta uthibitisho!!!Ndio nilikuwepo.
Uthibitisho upi?Leta uthibitisho!!!