Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    710
Na ndio maana tangu mwanzo nasema ww unashida kwenye FORCE
Sio kwamba nina shida kwenye force,..bali mimi sijakariri kama wewe.

Wewe unajua kwamba mwili wako una force,..unaweza kuniambia hiyo force inaitwaje?
 
From no where?
Nadhani ushaanza kunielewa sasa somo linakuingia vzr, ndo maana huna hoja za kujibu nachoandika humu.
Hahh sio kwamba sina hoja sometimes nakua na tight schedule ndiyo maana nachukua muda kujibu,...wewe unaona kuna point gani umeweka humu ambayo haiwezi kuwa questioned at all?
 
Siasa!!😃😃

Katikati kwenye kiini Cha Dunia, kama kiini Cha yai lilivyo.

Kama unaweza kuchimba mpaka kwenye center chimba ntakuja kukuonesha mwenyewe.

Ndio!!

Ndioo

Soma maelezo yako vizuri!!! Umesema chenye uzito mkubwa kitashuka chini na chenye uzito mdogo huoanda juu. Je shillingi umekaa juu ya majii?? Au umesahau maelezo yako??
Nimekuuliza kinachofanya gravity ishindwe kuvuta vitu mpaka vifike kwenye center of the earth ni nini?

Na kama gravity haijawahi kufanikiwa kuvuta kitu chochote mpaka kikafika kwenye center of the earth,.....wewe umejuaje kama lengo la gravity ni kuvuta objects zote mpaka zifike at the center of the earth even though haijawahi kufanya hivyo?
 
Soma maelezo yako vizuri!!! Umesema chenye uzito mkubwa kitashuka chini na chenye uzito mdogo huoanda juu. Je shillingi umekaa juu ya majii?? Au umesahau maelezo yako??
Ndiyo ni sahihi chenye uzito mkubwa kitashuka chini,.. putting other factors constant (especially relative density of an objects)
 
Hujahusisha density kwenye maelezo yako!!
I thought naongea na mtu ambaye anajua kwamba density pia inahusika,..ndiyo maana sikutaka kuelezea na density jinsi inavyo play part.,

kwahiyo umekubali kwamba gravity inasingiziwa tu? haivuti kitu chochote including you tokea uzaliwe hujawahi kuhisi ukivutwa.
 
MZUNGUKO WA JUA(ACCORDING TO FLAT EARTH): DEBUNK.....

View attachment 3191642

Tazama picha hapo juu👆👆, ukiangalia point iliyopo north pole(katikati kabisa) na ukiangalia orbit ya Jua (ambayo ni circular) utagundua umbali kutoka kwenye hiyo point(north pole) mpk kwenye point yoyote kwenye hiyo orbit ya Jua ni the same (RADIUS).

Sasa hoja yangu ni kwamba;

1. Kama Jua linafika kwenye hiyo point inamaanisha hakuna muda itafika kutakuwa Giza Kwa sababu Jua popote litakapokuwa kwenye orbit yake Bado umbali(RADIUS) itabaki kuwa Ile ile na angle of strike itakuwa Ile ile. So siku zote kutakuwa mchana kwenye point/eneo Hilo kitu ambacho katika uhalisia hakipo hivyo.

2. Kama Jua halifiki kwenye hiyo point inamaanisha hakuna muda kutakuwa na mwanga kwenye hiyo point, yaani siku zote kutakuwa na Giza tu, kitu ambacho katika uhalisia hakipo hivyo.

LAKINI PIA TAZAMA VIDEO HII👇👇

View attachment 3191653

Ukiangalia model juu hapo, utaona Jua na mwezi vinamove in opposite side muda wote yaan jus likiwa upande huu basi Mwezi utakuwa exactly the opposite side.

Kwa maana hiyo there is no possibility Jua na mwezi kuwa observable at the same time.

Sasa ndugu zangu, naamini wote tunakubaliana hili haliendani na uhalisia, bonafsi nimeshuhudia mara kadhaa Jua na mwezi Kwa pamoja wakati wa mchana.

View attachment 3191669

View attachment 3191673

hateeb10
Wewe una uhakika gani kwamba kwenye flattened earth Jua linazunguka kama hiyo model uliyoweka hapo?.........Akitokea flat earther yoyote akisema Jua linazunguka kwa mtindo 1,2,3....utamuamini? na utasema huu ndiyo msimamo wa watu wote wanaosema Dunia ni flat?

Kimsingi hiyo model ni nadharia tu just an imagination na haimaanishi kwamba 100% Jua linazunguka hivyo,.
 
Sio kwamba nina shida kwenye force,..bali mimi sijakariri kama wewe.
Unapenda kukimbilia kukariri😃
Wewe unajua kwamba mwili wako una force,..unaweza kuniambia hiyo force inaitwaje?
Swali lako general sana, Kuna nguvu(Force) nyingi sana kwenye mwili wa binadamu😃:

1. Kuna nguvu ya misuli (muscular force)
2. Nguvu ya uvutano(gravitational force)
3. Nguvu ya msuguano(friction force)
4. Na nguvu ya msukumo( especially moyo/cardiac force)
N.k N.k
 
Hahh sio kwamba sina hoja sometimes nakua na tight schedule ndiyo maana nachukua muda kujibu,...wewe unaona kuna point gani umeweka humu ambayo haiwezi kuwa questioned at all?
Simple tu, just question it 😃😃, na ujibu hoja kama nimeeleza uongo.
 
Nimekuuliza kinachofanya gravity ishindwe kuvuta vitu mpaka vifike kwenye center of the earth ni nini?
Kwahy unauliza kitu nilichokielezea😃😃, unasomaga kweli ww??👇👇

Screenshot_20250104-143448~2.png

Na kama gravity haijawahi kufanikiwa kuvuta kitu chochote mpaka kikafika kwenye center of the earth,.....wewe umejuaje kama lengo la gravity ni kuvuta objects zote mpaka zifike at the center of the earth even though haijawahi kufanya hivyo?
Simple tu, RADIAL direction ya movement ya vitu vinapoanguka kwenye earth surface, imagine mtu aliye North pole gravity inamvuta chini yake, pia na mtu aliye sourth pole vile vile, hata alie west na east ni the same so utagundua hiyo direction ya gravity ipo radially towards the center of the earth.
 
Wewe una uhakika gani kwamba kwenye flattened earth Jua linazunguka kama hiyo model uliyoweka hapo?.
Si ndo maelezo yenu au? Kama sio nipe maelezo yako😃😃
........Akitokea flat earther yoyote akisema Jua linazunguka kwa mtindo 1,2,3....utamuamini?
Kwani aliesema hivyo kwenye hiyo model nimemuamini??
na utasema huu ndiyo msimamo wa watu wote wanaosema Dunia ni flat?
Wewe unamsimamo Gani?? Huo ndo msimamo wa flat Earthers otherwise ww sio flat earther
Kimsingi hiyo model ni nadharia tu just an imagination na haimaanishi kwamba 100% Jua linazunguka hivyo,.
Sasa ndo unambie ww linazungukaje Ili nikukaange vzr
 
Nimekuuliza kinachofanya gravity ishindwe kuvuta vitu mpaka vifike kwenye center of the earth ni nini?
Kwahy unauliza kitu nilichokielezea😃😃, unasomaga kweli ww??

Back
Top Bottom