Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    710
Kubadilika position ni kumove ?
Yap generally change in position indicates movement,.. na kwenye scenario ya Dunia, Jua na Mwezi,. object pekee ambayo haionekani hata kubadilisha position ni Dunia.

Na hata Sayansi inakubali kwamba Jua lina move,..sasa kama wewe unabisha inabidi ulete habari mpya.
 
Msingi wa hoja iliyopo ni Dunia na Jua ni kipi kinazunguka gimba lingine,,

Thibitisha kuwa Dunia haimove na sio akili yako ni ndogo kuelewa mambo,
 
Msingi wa hoja iliyopo ni Dunia na Jua ni kipi kinazunguka gimba lingine,,

Thibitisha kuwa Dunia haimove na sio akili yako ni ndogo kuelewa mambo,
Nithibitishe nini wakati siioni iki move, nasema hai move kwasababu siioni ikifanya hivyo?

Wewe unaesema Ina move ndiyo unatakiwa uthibitishe,..au akili yako ni ndogo kuelewa mambo?
 
-Uthibitisho wa kwanza ni usiku na mchana ( Hapa Dunia inakua inafanya rotation, Tumeshakueleza mara nyingi huko nyuma )
Usiku na mchana sio uthibitisho kwamba Dunia ina move,. Na mimi nikisema Jua lina move ndiyo maana tunapata usiku na mchana,. still itaeleweka vizuri tu.
-Kubadilika kwa majira
Huu pia sio uthibitisho,.. ukitaka ujue kwamba Dunia ipo stationary kuna nchi hazijawahi ku experience msimu wa winter mpaka kuanguka kwa barafu mfano Tanzania,....
-Sunrise and Sunset
Sio uthibitisho,. its just a perspective.

-Ship visibility
Sio uthibitisho,.. Meli zina move horizontally over the ocean without bending toward the curvature.
 
Nimekuomba unambie katika Nadharia yako ya Dunia flat Jua linazunguka vp? Upo kimya🤣🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣Sababu za kuwa katuni?
Ni computer generated images,..na sio real pictures


Siku hizi kuna teknolojia ya drones,.. kwanini isichukuliwe drone moja izunguke tufe zima tumalize utata?.........au kwa ukubwa wa Dunia hakuna Drone itakayoweza kufanya hivyo?

Kama haiwezekani kupata ushahidi basi usilaumu watu wanaoendelea kuhoji,..sio kwamba hawana akili ni kwasababu hawajapata uthibitisho wa kuridhisha,.
 
hateeb10 ndukiii🤣🤣
 
@
hateeb10 Ndukiii
 
hateeb10 Rudi hapa
 
Ni computer generated images,..na sio real pictures
Thibitisha usemacho
Siku hizi kuna teknolojia ya drones,.. kwanini isichukuliwe drone moja izunguke tufe zima tumalize utata?....
Chukua hata ww
.....au kwa ukubwa wa Dunia hakuna Drone itakayoweza kufanya hivyo?
Chukua ww uzungushe
Kama haiwezekani kupata ushahidi basi usilaumu watu wanaoendelea kuhoji,..sio kwamba hawana akili ni kwasababu hawajapata uthibitisho wa kuridhisha,.
Nani kakwambia haiwezekani??🤣🤣
 
hateeb10 Rudi hapa hakuna kukimbia
sasa hiyo hoja si tulishamaliza kitambo sana?.....Density na Weight! kitu kinaweza kikawa na weight kubwa kuliko kingine ila density ikafanya chenye uzito mkubwa kielee na chenye uzito mdogo kizame kulingana na msongamano pamoja na volume ya chembechembe kwenye object husika......

still huoni gravity ikihusika,..labda ulazimishe
 
Hujajibu swali
 
Nithibitishe nini wakati siioni iki move, nasema hai move kwasababu siioni ikifanya hivyo?

Wewe unaesema Ina move ndiyo unatakiwa uthibitishe,..au akili yako ni ndogo kuelewa mambo?
Huwa unachekesha sana haha

Swali lako tumekujibu mara nyingi sana uelekezwe mara ngapi sasa uelewe ?

Huwezi kufeel speed kwasababu inamove at constant speed

Huwa natoa mfano wa hata ndege, Ulishawahi kujiuliza ni kwanini haufeel speed yake ukiwa angani na unatembea na kufanya chochote bila shida ? Umewahi kujiuliza hili swali ?
 
Natamani nikueleweshe kuhusu hiyo great circle route na jinsi hata wewe unavyoweza ku apply kwenye maisha yako ya kila siku,..ila naona itachukua muda sana,.....

Lakini kwa ufupi kabisa,.unatakiwa uelewe kwamba kwenye Dunia ambayo haina obstacle yoyote ya wewe kwenda either East/west kuelekea destination fulani basi unaweza kuchagua kutumia route yoyote itakayofanya ufike destination husika kwa haraka na nafuu zaidi,..

Na hicho ni kitu ambacho hata wewe kwenye safari zako za kawaida unaweza kufanya,..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…