The celebrity
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,972
- 559
Kwahy mm kusema ukweli kuwa hujui Geometry na Great Circle ni kosa?? Ni ukweli hujuiNB: Nikikujibu maneno ya hovyo tutaonekana wote hatujitambui..., so ngoja nikutangaze mshindi kwenye hilo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahy mm kusema ukweli kuwa hujui Geometry na Great Circle ni kosa?? Ni ukweli hujuiNB: Nikikujibu maneno ya hovyo tutaonekana wote hatujitambui..., so ngoja nikutangaze mshindi kwenye hilo.
Ficha ujinga wako!! Ww unaweza kunionesha exactly point curvature inapoanzia kutokea kwenye Mpira?? Every point is a curvature.Ningekubali kwamba Dunia ni tufe ila mpaka leo sijawahi kuona exactly point/location ambayo Dunia inaanza ku curve.
Sasa nani aliyekuambia kwamba ili sehem tuseme ipo frozen ni mpaka kuwe na kiwango kikubwa cha Maji?Kati ya Mimi naww nani Hana akili? Mars inakiwango kidogo sanaaaa, Cha maji(liquid water), sasa unataka iwe kama frozen Kwa sababu zipi?
Ramani ni flat cause Dunia yenyewe ni flat pia,.. kwani wewe ukiambiwa utengeneze ramani ya Afrika Mashariki utaonyesha na curvature humo ndani?Hahahaaa!! Ramani lazima iwe kwenye flat surface
Kwann unijibu maneno ya hovyoo!! Umeishiwa hoja au?, Mimi sishindi ila ukweli unashinda
Hapana sio kosa,.. ni sahihi kabisa.Kwahy mm kusema ukweli kuwa hujui Geometry na Great Circle ni kosa?? Ni ukweli hujui
Kwahiyo hapo ulipo pia kuna curvature?Ficha ujinga wako!! Ww unaweza kunionesha exactly point curvature inapoanzia kutokea kwenye Mpira?? Every point is a curvature.
Sentensi yako ilikua ielezee kuwa haujui na sio haijulikaniMwisho wa Dunia tambarare haujulikani,. hata mwisho wa Dunia tufe pia haujulikani.
Ningekubali kwamba Dunia ni tufe ila mpaka leo sijawahi kuona exactly point/location ambayo Dunia inaanza ku curve.
Kuna mwenzako hapo anasema kwenye Dunia tufe Every point is a curvature.,....nikamuuliza "hapo ulipo pia kuna mkunjo(curve)?....."Sentensi yako ilikua ielezee kuwa haujui na sio haijulikani
Akili zako unataka ufananishe na watu Billion 7 tuliopo Duniani, fikra duni kabisa hizi
Ndio kila sehemu ni curvature, But huwezi kuona kwasababu wewe ni tiny sana kuliko sehemu ya DuniaKuna mwenzako hapo anasema kwenye Dunia tufe Every point is a curvature.,....nikamuuliza "hapo ulipo pia kuna mkunjo(curve)?....."
Mpaka sasa hajarudi anatafakari,..
Kwahiyo unaamini hapo ulipo kuna mkunjo,..ila kwa kuwa wewe ni tiny sana ndiyo maana huoni huo mkunjo?Ndio kila sehemu ni curvature, But huwezi kuona kwasababu wewe ni tiny sana kuliko sehemu ya Dunia
Nikuulize swali,Kwahiyo unaamini hapo ulipo kuna mkunjo,..ila kwa kuwa wewe ni tiny sana ndiyo maana huoni huo mkunjo?
Basi sawa,.
Siwezi kutoa jibu la moja kwa moja,.. cause Bacteria kuona au kutokuona umbo zima la Binadamu itategemea na intelligence waliyo nayo..,ll
Nikuulize swali,
Japo ni swali ambalo haliendani na mada husika ila nataka uelewe jambo litakalokupa mwanga
Assume bacteria ana macho na ufahamu kama wa kwako binadamu,
Unadhani bacteria aliepo kwenye ngozi au mwili wa binadamu anaweza kuliona umbo zima la binadamu ?
Acha majibu ya kisiasa,Siwezi kutoa jibu la moja kwa moja,.. cause Bacteria kuona au kutokuona umbo zima la Binadamu itategemea na intelligence waliyo nayo..,
Wewe unaweza ukadhani kwamba kiumbe kidogo kama Bacteria kina uoni na intelligence hafifu,.lakini ukifanya uchunguzi unaweza ukapata majibu tofauti na unavyofikiria.
Shida yako ni kuwa haupo tayari kwajili ya kujifunza, Lengo lako kuu ni kushinda kila hoja wala haupo tayari kuielewa hoja ya mtuSiwezi kutoa jibu la moja kwa moja,.. cause Bacteria kuona au kutokuona umbo zima la Binadamu itategemea na intelligence waliyo nayo..,
Wewe unaweza ukadhani kwamba kiumbe kidogo kama Bacteria kina uoni na intelligence hafifu,.lakini ukifanya uchunguzi unaweza ukapata majibu tofauti na unavyofikiria.
Lakini kupitia majibu yako haya,Wewe unaweza ukadhani kwamba kiumbe kidogo kama Bacteria kina uoni na intelligence hafifu,.lakini ukifanya uchunguzi unaweza ukapata majibu tofauti na unavyofikiria.
Sasa nchi zote zitaonekana vipi??😃😃 Akili akili akiliRamani ni flat cause Dunia yenyewe ni flat pia,.. kwani wewe ukiambiwa utengeneze ramani ya Afrika Mashariki utaonyesha na curvature humo ndani?
Projection!! Projection!! Elimu huna kuhusu kitu kaa kimya!!au ukichora ramani ya Tanzania utahusisha na curve cause Zanzibar ipo below the earth's curvature., Hahh
Hapana mkuu,..mimi lengo langu kujifunza ndiyo maana huwa napenda kuuliza maswali kwenye vitu vinavyotatiza,..Shida yako ni kuwa haupo tayari kwajili ya kujifunza, Lengo lako kuu ni kushinda kila hoja wala haupo tayari kuielewa hoja ya mtu
HAPA HATUSHINDANI
Duuh!! Wewe umeongelea ujangwa, na kuhoji kwann hapako frozen!! Sasa kama hakuna kiasi kikubwa Cha maji unategemea kutakuwa ice nyingi kama Antarctica?? Unajua kwenye hiyo Sayari rainfall huwa ni frozen water lkn Kwa kiasi kidg sana??Sasa nani aliyekuambia kwamba ili sehem tuseme ipo frozen ni mpaka kuwe na kiwango kikubwa cha Maji?
Kwahy nini kingine kinaweza kifroze??Water is not a requirement for a planet to be frozen. Any planet or moon with sufficiently low temperatures can freeze other substances depending on its composition,
Sasa oxygen na hivyo vingne vikifroze kutakuwa na barafu???such as methane, nitrogen, or carbon dioxide.
Ujangwa wa hiyo Sayari ni Kwa sabab hakuna mimea iliyopo huko, yaan hakuna lifeWhile frozen water is common and significant for discussions of habitability, frozen worlds can exist without any water at all.
😃😃😃 Wakat ww upo humu na kujibu hoja zangu umeshindwa et huna muda, me nimeshamalizana naww kama ulivyosema awali kuwa NIMESHINDA,Kuna mwenzako hapo anasema kwenye Dunia tufe Every point is a curvature.,....nikamuuliza "hapo ulipo pia kuna mkunjo(curve)?....."
Mpaka sasa hajarudi anatafakari,..
Mimi nipo flexible,..nikipata uthibitisho ambao utafuta mashaka yangu juu ya kwamba Dunia ni tufe na inazunguka,..basi nitabadili mtazamo wangu hata sasa hivi.Lakini kupitia majibu yako haya,
Nataka nikwambie hivi, Kama ambavyo wewe unadhani kuhusu uwezo wa binadamu kuwa ni mdogo kiasi kwamba huamini kuhusu teknolojia ambazo zinatuonyesha kila siku maumbo ya Dunia na unaita ni CGI
Basi fanya uchunguzi wako vizuri utakuja kupata majibu tofauti na ambayo umekua ukifirikia siku zote za maisha yako